TANZIA Mzee Mpili wa Yanga afariki dunia

TANZIA Mzee Mpili wa Yanga afariki dunia

REST IN PEACE, ELDER MPILI

Football Intel Africa is deeply saddened by the passing of Haji Omari Ramadhani Mpili, a cherished member and dedicated supporter of Young Africans SC.

We send our heartfelt condolences to his family, friends, Young Africans SC, and the entire Tanzanian football community.

May his soul Rest in Peace.

#footballintel #Tanzania #Yanga #daimambelenyumamwiko
 
1000111690.jpg
 
Wazee kama hawa huwa wanafanya nini vilabu vya mpira kama si kuwa kwenye kamati za kishirikina? Hawa huwa wanatakiwa kustaafu ushabiki na uanachama wanapozeeka
 
Uongozi wa Young Africans Sports Club umetangaza kutangaza kifo cha Mwanachama wake, Haji Omari Ramadhani Mpili kilichotokea usiku tarehe 27, Septemba 2026 katika Kituo cha Afya cha Wilaya ya Ikwiriri, Mkoa wa Pwani alipokuwa akipatiwa matibabu.

Mazishi yanatarajia kufanyika Septemba 28 majira ya saa 10:O0 Jioni katika Makaburi ya Msikiti mkubwa, Wilaya ya Ikwiriri, Mkoa wa Pwani.

View attachment 3679521

View attachment 3679531
Poleni ndugu ,jamaa na marafiki.

M.A.P H.O.R.M
 
Uongozi wa Young Africans Sports Club umetangaza kutangaza kifo cha Mwanachama wake, Haji Omari Ramadhani Mpili kilichotokea usiku tarehe 27, Septemba 2026 katika Kituo cha Afya cha Wilaya ya Ikwiriri, Mkoa wa Pwani alipokuwa akipatiwa matibabu.

Mazishi yanatarajia kufanyika Septemba 28 majira ya saa 10:O0 Jioni katika Makaburi ya Msikiti mkubwa, Wilaya ya Ikwiriri, Mkoa wa Pwani.

View attachment 3679521

View attachment 3679531
RIP Mzee Mpili.
Tupo njia moja, tupo nyuma yako.
 
Wale wa kusema Yanga wamemtanguliza kwa ajili ya Derby wanaanza ku-comment saa ngapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom