mzee mpili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MO11

    Mzee Mpili wa Ikwiriri kwa Mkapa umeenda kufanya nini?

    Hawa jamaa zetu mpira umeshawashinda, kazi kutumia wazee wacheze nje ya uwanja, watakuja kufa bure. Wewe siyo mchezaji unakuja kuangalia nini? Hawa utopolo humu ndipo walipowekeza; uchawi, uchawi, uchawi, tu! Na waarabu hawarogeki "Mbwa nyinyi". - Lucy Eymael
  2. Uzalendo wa Kitanzania

    Unadhani Kwanini Mzee Mpili Alisinzia Uwanjani

    Picha imeambatanishwa Maoni yako mdau
  3. SN.BARRY

    Mzee Haji Mpili awa balozi wa kuzuia na Kupambana na Rushwa

    Hapo ndio uwezo wao wa ubunifu ulipoishia Mkuu wa wiliaya ya Rufiji kushoto pamoja na Mkurugezi wa halmashuri ya wilaya ya Rufiji (Kulia) wakimtambulisha balozi wakuzuia na kupambana na Rushwa mzee Haji Mpili jana wilayani humo
  4. Komeo Lachuma

    Wakati Simba wanatembeza Kombe la Ubingwa VPL, Sisi Yanga tunamtembeza Mzee Mpili kwa kutupatia ushindi dhidi ya Simba

    Mzee wangu aliwahi nambia vipaumbele vya Mzungu na Mswahili ni tofauti sana. Mzungu anawaza kuwa mwaka huu nataka nivumbue kitu fulani kiisaidie jamii mswahili anasema mwaka huu nikizikamata tu naoa mtoto mbichii. halafu mswahili atakaa kijiweni akilalamika kuwa mzungu anamhujumu. mzungu atakaa...
  5. luangalila

    Kumpa millage Mzee Mpili naona sawa na kuukubali upuuzi/ ulimbukeni

    Wadau wa soka husema mpira wa miguu ni science lakini hali ni tofauti kwa upande wetu huku Tanzania, ambapo matukio ya kuwapa watu millage kupitia mgongo wa soka yametamalaki na bado hakuna maendeleo ya huo mchezo. Waswahili husema kijiji bila wazee hakuna baraka lkn sio kwa vitendo vya...
  6. K

    Yanga, wanachana na mashabiki wake wanamuamini kweli Mzee Mpili?

    siku za karibuni ameibuka mzee wetu anaefahamika kwa jina mzee mpili akionekana na kujinasibu kuwa yeye ana watu na mechi ya juzi ya watani yeye ndo aliicheza na mechi ya kigoma fainali ya kombe la azam sport imeshaisha asilimia 90 kuwa yanga anashinda!!!je umnamuamini kweli wanayanga uyu mzee...
  7. kukumsela

    Mzee Mpili tumekukosea nini sisi mashabiki wa Simba Sport Club?

    Mzee wangu najua unasoma uzi huu sasa hivi nakuomba kwa niaba ya mashabiki wa Simba SC utusamehe kama tulikukwaza kwasababu umetuandamana sana. Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom