pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 6,442
- 4,831
Wilaya ya Ikwiriri?Uongozi wa Young Africans Sports Club umetangaza kutangaza kifo cha Mwanachama wake, Haji Omari Ramadhani Mpili kilichotokea usiku tarehe 27, Septemba 2026 katika Kituo cha Afya cha Wilaya ya Ikwiriri, Mkoa wa Pwani alipokuwa akipatiwa matibabu.
Mazishi yanatarajia kufanyika Septemba 28 majira ya saa 10:O0 Jioni katika Makaburi ya Msikiti mkubwa, Wilaya ya Ikwiriri, Mkoa wa Pwani.
View attachment 3679521
View attachment 3679531