Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

Yani kama kwa kauli hiyo alikuwa akimuhusisha Sumaye vile tu alitaka kuitumia haki yake ya Kidemokrasia.
Basi tuseme ukweli alivuruga mnoo..

Yani katika nyakati hizi ambapo tunaelekea kileleni amechemka.

Kifupi kashapoteza pambano.

Sad.
 
Ulichokiandiaka hata hakihitaji kujibiwa lakini kwa faida ya wengine ambao hawawezi kufikiria zaidi ya mipaka ya matumbo yao na mirengo ya kisiasa kama wewe naomba nikujibu.

Ili uweze kutoa tafsiri sahihi juu ya suala lolote lililozungumzwa lazima uongozwe na mada ya mazungumzo, muktadha wa mazungumzo, mazingira ya mazungumzo pamoja na mada ya mazungumzo, sitaki kukufafanulia haya isipokuwa mwenyewe utumie tu hicho kibebeo cha masikio yako kuhusianisha na alichokiongea Mh Mbowe halafu upate tafsiri ya kauli yake.

Ile kauli ya Mbowe ilimaanisha tu kuwa nafasi ya uwenyekiti wa CHADEMA siyo ya kumpa mtu kwa majaribio, ikimaanisha kwamba tumpe huyu ili tuone labda naye atafanyaje, kwamba ataboronga au atafanya kwa kadri ambavyo itastawisha chama na kulinda misingi yake. Badala yake nafasi ile inatakiwa umpe mtu ambaye historia yake ya utendaji kazi si ya kutilia shaka, misimamo yake ni dhabiti na imani yake juu ya chama pia ni dhabiti. Haikuwa na maana yoyote ya kumtisha mtu yoyote asichukue fomu kugombea bali ni kutaka kuwakumbusha tu wanaotaka nafasi hiyo juu ya uzito wa jukumu la uenyeketi pamoja na kuwakumbusha wapiga kura misingi ya kuzingatia wakati wa kumchagua mwenyekiti wa chama chao.

Hiyo tafsiri nyingine mnayoivisha kauli ile ni maneno tu ya ajabu ya kuokoteza baada ya kushiba juisi ya ukwaju na kuhisi joto lililosababishwa na kujisokotea skafu yenye rangi ya bendera ya taifa ukidhani itakufanya wewe uonekane mzalendo zaidi.

Kwa hiyo wafikishie wenzio ujumbe waambie watu siku hizi wanaulewa wa mambo, vile vibanda tulivyowajengea tukaviita shule inaonekana wanatumia vizuri na si kama tulivyotegemea. Kwetu sisi madarasa si kuta nne tu zenye paa zinazotumika kututenganisha na mitaa kwa muda bali ni mahali pa utulivu tunayoitumia kutanua misuli ya bongo zetu.
 
Hahaha Mbowe anatisha, yani Simaye na ulinzi wote huo akatishwa na kauli akakimbia?!
 
Yani kama kwa kauli hiyo alikuwa akimuhusisha Sumaye vile tu alitaka kuitumia haki yake ya Kidemokrasia.
Basi tuseme ukweli alivuruga mnoo..

Yani katika nyakati hizi ambapo tunaelekea kileleni amechemka.

Kifupi kashapoteza pambano.

Sad.
Amekuwa akihubiri demokrasia lakini kwa hili hata Mimi sijapenda mungu anamuona !1992-haijulikani
 
Yani kama kwa kauli hiyo alikuwa akimuhusisha Sumaye vile tu alitaka kuitumia haki yake ya Kidemokrasia.
Basi tuseme ukweli alivuruga mnoo..

Yani katika nyakati hizi ambapo tunaelekea kileleni amechemka.

Kifupi kashapoteza pambano.

Sad.
Anaweza kuwa amepoteza pambano lakini vita inaendelea. Tutafika tu tena kwa Ushindi mkubwa.
 
Back
Top Bottom