Tetesi: Maandamano ni vita ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

Billal Saadat

Senior Member
Nov 30, 2022
169
356
Maandamano ya Mbowe ni kutaka kujiimarisha CHADEMA.

The Moment Mbowe anamuacha Lissu kwenye kamati ya maridhiano 6 x 6 Lissu aliamua kufunga roho yake kwa kutokubaliana na maridhiano hata ndani ya chama aliendelea kumpinga Mbowe juu ya maridhiano hayo ambayo yalileta mpasuko ndani ya CHADEMA.

Mbowe alichukua muda kumjibu Lissu juu ya faida ya maridhiano ambayo tuliona matunda yake moja Wafungwa wa kisiasa waliachiwa, kuruhusiwa kwa mikutano ya siasa, CHADEMA kuanza kupokea ruzuku. Kuundwa kwa kikosi kazi, marekebisho ya haki jinai pamoja na muswada wa marekebisho ya sheria za uchaguzi.

Lissu alipoona Mbowe yupo busy na maridhiano alitumia mwanya huo kufanya kampeni za chini chini kumuangusha Mbowe nafasi ya Uenyekiti kwa kupita ngome muhimu na kuwashika wajumbe muhimu na kuwaambia kuwa Mwenyekiti ni msaliti aliwaangusha sana kwa kukubali maridhiano.

Lissu alieneza siasa za chini kufikia kuwaambia wanaharakati kuwa anatengwa na Mbowe kwa kutokupewa heshima anayostahiki kama Makamu Mwenyekiti wa Chama. Hili linafahamika kwa wanaharakati wengi wanaomuunga mkono Lissu.

Lissu alifikia hatua ya kusema Mbowe anawadanganya kwenye maridhiano ni kama wachumia tumbo wengine wa kisiasa wanaofikiria juu ya matumbo yao na si kwa ajili ya mustakabali wa chama chao sababu ya kupenyeza sumu hii ni kuachwa miongoni mwa wajumbe wa kamati ya maridhiano kutoka Chadema.

Mbowe is now sadly deflated political wise,muda unakwenda na hauko upande wake tena kwasasa kuanza na mbilinge za maandamano ni huzuni kuona Mbowe akimalizwa na Tundu Lissu kisiasa after all that struggle za maridhiano cha zaidi kumkosea adabu Rais Samia kuwa amekosa imani naye video zake zipo zinamuhukumu Mbowe.

Mbowe amechagua njia ngumu ya kuondoa sumu ya Lissu pale CHADEMA, Maandamano is a reaction of that long held frustrations, kila kitu kwa Mbowe kimevurugika hana cha kuonyesha tena kwenye ulingo wa siasa. Lissu amemshika pabaya Mbowe mbaya zaidi amemtenga kwenye maridhiano amemtenga kwenye maandamano amebaki mwenyewe.

Mezani kwa Mbowe kuna mambo mawili tu it’s time to rest now there is nothing that will come out from maandamano! Lissu ameshika njia zote hata za wafadhili wa chama wanasikiliza kauli ya Lissu ndiyo chaguo lao kwasasa! Mbowe alireact maandamano kama sehemu ya kumjenga kisiasa ndani ya chama hayatofanikiwa atakufa kisiasa.

Au Mbowe acahgue kupambana na Lissu hadi mwisho hakuna heshima aliyoipata zaidi kama alivyokuwa kwenye maridhiano amemsingizia Rais Samia kutokutekeleza yaliyokuwemo kwenye maridhiano huku kuna ushahidi wa wazi wa faida za maridhiano hayo.

Sishangai kuona jopo la kulainisha msimamo kumtaka Lissu aungane na Mbowe kwenye maandamano hayo. wakati Mbowe anatangaza maandamao Lissu yupo nchini Ivory Coast akiwapa hamasa Taifa Stars hii ni siasa za kujianda kuja kugombea nafasi ya Uenyekiti Chadema.

Punda anayekaribia kufa hurusha mateke. Mbowe ametegwa na mtego wa Lissu ameyavunja maridhiano kwa kutaka kulinda nafasi yake ndani ya CHADEMA na Lissu Amemkaba koo…!!
 
Nobody cares, tunataka maandamano tu.
 
CCM chama kikongwe kilichoongoza nchi hii tangu 1961, miaka 63 kimedhihirisha pasi na shaka kwamba wameshindwa kujibu hoja za CDM kuhusu Tume huru ya uchaguzi - badala yake makada wake wanakuja na vitisho kwa kutumia majeshi na mashabulizi binafsi kwa Mwenyekiti Mbowe.

Sasa ni hivi, muda wa kutishana tishana ushaisha.
 
Maandamano ya Mbowe ni kutaka kujiimarisha CHADEMA.

The Moment Mbowe anamuacha Lissu kwenye kamati ya maridhiano 6 x 6 Lissu aliamua kufunga roho yake kwa kutokubaliana na maridhiano hata ndani ya chama aliendelea kumpinga Mbowe juu ya maridhiano hayo ambayo yalileta mpasuko ndani ya CHADEMA.

Mbowe alichukua muda kumjibu Lissu juu ya faida ya maridhiano ambayo tuliona matunda yake moja Wafungwa wa kisiasa waliachiwa, kuruhusiwa kwa mikutano ya siasa, CHADEMA kuanza kupokea ruzuku. Kuundwa kwa kikosi kazi, marekebisho ya haki jinai pamoja na muswada wa marekebisho ya sheria za uchaguzi.

Lissu alipoona Mbowe yupo busy na maridhiano alitumia mwanya huo kufanya kampeni za chini chini kumuangusha Mbowe nafasi ya Uenyekiti kwa kupita ngome muhimu na kuwashika wajumbe muhimu na kuwaambia kuwa Mwenyekiti ni msaliti aliwaangusha sana kwa kukubali maridhiano.

Lissu alieneza siasa za chini kufikia kuwaambia wanaharakati kuwa anatengwa na Mbowe kwa kutokupewa heshima anayostahiki kama Makamu Mwenyekiti wa Chama. Hili linafahamika kwa wanaharakati wengi wanaomuunga mkono Lissu.

Lissu alifikia hatua ya kusema Mbowe anawadanganya kwenye maridhiano ni kama wachumia tumbo wengine wa kisiasa wanaofikiria juu ya matumbo yao na si kwa ajili ya mustakabali wa chama chao sababu ya kupenyeza sumu hii ni kuachwa miongoni mwa wajumbe wa kamati ya maridhiano kutoka Chadema.

Mbowe is now sadly deflated political wise,muda unakwenda na hauko upande wake tena kwasasa kuanza na mbilinge za maandamano ni huzuni kuona Mbowe akimalizwa na Tundu Lissu kisiasa after all that struggle za maridhiano cha zaidi kumkosea adabu Rais Samia kuwa amekosa imani naye video zake zipo zinamuhukumu Mbowe.

Mbowe amechagua njia ngumu ya kuondoa sumu ya Lissu pale CHADEMA, Maandamano is a reaction of that long held frustrations, kila kitu kwa Mbowe kimevurugika hana cha kuonyesha tena kwenye ulingo wa siasa. Lissu amemshika pabaya Mbowe mbaya zaidi amemtenga kwenye maridhiano amemtenga kwenye maandamano amebaki mwenyewe.

Mezani kwa Mbowe kuna mambo mawili tu it’s time to rest now there is nothing that will come out from maandamano! Lissu ameshika njia zote hata za wafadhili wa chama wanasikiliza kauli ya Lissu ndiyo chaguo lao kwasasa! Mbowe alireact maandamano kama sehemu ya kumjenga kisiasa ndani ya chama hayatofanikiwa atakufa kisiasa.

Au Mbowe acahgue kupambana na Lissu hadi mwisho hakuna heshima aliyoipata zaidi kama alivyokuwa kwenye maridhiano amemsingizia Rais Samia kutokutekeleza yaliyokuwemo kwenye maridhiano huku kuna ushahidi wa wazi wa faida za maridhiano hayo.

Sishangai kuona jopo la kulainisha msimamo kumtaka Lissu aungane na Mbowe kwenye maandamano hayo. wakati Mbowe anatangaza maandamao Lissu yupo nchini Ivory Coast akiwapa hamasa Taifa Stars hii ni siasa za kujianda kuja kugombea nafasi ya Uenyekiti Chadema.

Punda anayekaribia kufa hurusha mateke. Mbowe ametegwa na mtego wa Lissu ameyavunja maridhiano kwa kutaka kulinda nafasi yake ndani ya CHADEMA na Lissu Amemkaba koo…!!
CCM imepanic.
Imeenda kufukua mashine chakavu kufufua kiwanda cha uongo.

Enewei. CHADEMA wameshikilia pembe la fahali, hakuna kuachia hafi kisomeke
 
Back
Top Bottom