Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

So predictable. Japo Jombaa anapoint za msingi sana na hii ndio ilikua baba lao.

"Niliamua kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti taifa ili kuuthibitishia umma kwamba sio kweli kwamba nafasi ya uenyekiti Ni kwa ajili ya Mbowe tu" lakini yajayo yalifedhehesha, wamechukua wajumbe na kuwaficha hotelini na kuwapa rushwa.

Alinena mnenaji kwamba, HAIWEZEKANI KILA MTU AKAWA ANASEMA WEWE MBAYA UKIAMUA KUJITAFAKARI UTAGUNDUA KWAMBA NI KWELI JAPO UNAWEZA USIWAAMBIE WATU.
 
Tukisema Mbowe ni dictator nyumbu hawaelewi, ila sasa wanaanza kuelewa, kilichomkuta Zitto ndio kimemkuta Sumaye, huko CDM ukitaka tu kugombea uenyekiti - taifa, lazima ufukuzwe au utaitwa msaliti au utazimwa ktk kura za awali ndani ya CDM
Kwani hapo kafukuzwa na nani?je ungekuwa na mgombea mwenzake tofauti na kivuli ingekuwaje?tuseme ameona malengo Yake yameshindwa ameamua kukimbia kwa kisingizio kama Dkt slaa demokrasia naona ipo sana hapo hawa jamaa Chadema wako imara sana
 
Mamluki wote watajijuja muda utakavyokua unaenda hatimae itabaki Cream I sio na do a...Yetu Macho..waende tu!!!
 
Roving Journalist,
Ina maana lengo lako kugombea uenyekiti wa CHADEMA taifa ilikuwa ni lazima wakuchague? Tatizo la waliotoka CCM ni kutaka kupewa uongozi. Yaani Kila aliyetoka CCM jambo lake la kwanza ni madaraka. Angalia Lowassa, Sumaye,Waitara, Mwambe,n.k.

Halafu ndugu Sumaye, Mbona unaililia sana hii nafasi, kwani ulikuwa na lengo gani? Inatia mashaka kwamba ninyi bado roho ipo CCM na kibaya zaidi ninyi mliotoka CCM hamuaminiki!
 
Roving Journalist,
Hili lilijulikana tangu mwanzo kwamba ninyi mpo kwa muda tu. Wana CCM sifa mbaya zote ni zao. Usaliti, risasi, uroho wa madaraka, n.k. Naomba ukifika huko uendako kajaribu kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti wa CCM taifa, yawezekana wakakupa mwayego.
 
jd41,
Hivi ni kwa nini CCM na vibaraka wake wa ndani na nje ya Chama hawataki Mbowe awe Mwenyekiti? Sipati jibu hakika. Hukuti wanalalamikia utaratibu wa CCM wa kumpa Rais wa nchi awe ndiye mwenyekiti wao piga ua, ila nongwa ni Mbowe. tatizo ni cheo tu cha uenyekiti au Mbowe kuwa mwenyekiti ni kikwazo cha wao kufanya yao? Nini hasa nipo kwenye cheo cha mwenyekiti wa Chadema Taifa? Mbona hiyo nafasi inaliliwa sana? Kuna nini?
 
Sasa alikuwa hajui kama ndani ya Chadema hakuna demokrasia ? Kwani Lowassa aliwekwa vipi kuwa mgombea Urais Chadema ? Chadema hakuna demokrasia wala maendeleo.
Demokrasia ni kuchaguliwa tu? Kutokuchaguliwa siyo demokrasia? Alitaka awe amepita bila kupingwa?
 
Waziri mkuu mstaafu cheo kikubwa sn sijui huko anachokitafuta nn tamaa nyingine hizi angetulia km mwenzake mzee pinda anakula pension yake huku anafuga nyuki
 
Daudi Mchambuzi unamsikia mzee Sumaye, kazi ya upinzani ni kuifanya CCM isilale usingizi na siyo kushika Dola...... Uwepo wa Upinzani mnufaika namba 1 ni CCM!

Kama hivyo ndivyo mbona baadhi ya wanaCCM hawataki hata kusikia upinzani?
 
Nimefuatilia kwa makini maelezo ya Sumaye kuhusu kujitoa kwake CHADEMA na katika siasa kwa ujumla. Anadai CHADEMA hakuna demokrasia na kwamba mabadiliko yanahitajika kurekebisha uendeshaji wa chama.

Kwa nini Sumaye haanzishi chama chake ili wengine wajifunze?
 
Alitaka kuonyesha demokrasia cdm akashindwa!!!!
Angechaguliwa angeyasema haya?
 
Hakuna haaja .
Tumeshaona Demokrasia inavopaswa kuwa ndani ya CHADEMA.
2025 tutaitumia.
 
Tushaambiwa kuwa ukitaka kugombea uenyekiti CDM unaonekana huna adabu ko msitushawishi kwa vyovyote
 
Back
Top Bottom