Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

www.sumuhaionjwi.com
RIP Wangwe... Pole Zitto.. Bye Sumaye
Hao Chadema sasa ndio wajifunze! Sio kila mtu anayawenza mapambano ya upinzani. Imagine! Leo palikuwa na rundo la polisi ndani na nje ya ukumbi, na pia palikuwa magari mawili ya polisi yanaranda randa hapo chini. Hakunaga mpinzani analindwa hivyo na polisi zama hizi.
Chadema waache kupokea makorokocho ya CCM! Especially yaliyofikia umri wa kustaafu. Wawajenge watu wao wenyewe tangu wakiwa vijana. Acheni kuokoteza majitu ya CCM yanayowazia matumbo yao, si kila mtu kaumbwa kupambana kutetea wengine! Haya ndio matokeo.
 
Ralph Tyler,

Huyu Mzee asituchanganye. Sisi tunajua the end game of this. Aende tu huko CCM asituchoshe.

Kwa upande wa pili, Mbowe needs to go. He needs to leave that seat. CHADEMA needs a complete overhaul.
 
Hivi huyu huyu Sumaye, na miaka yake hii mi nne akiwa CHADEMA, alitaka ashike uongozi wa juu kabisa (M/kiti ) wa CHADEMA? Serious?

Hivi hajui kwamba, hata kumpa uwenyekiti wa Kanda, ilikuwa ni heshima kubwa mno kwake?

Kwake demokrasia nikuongoza wengine tu, siyo wengine kumwongoza?

Kwamba, kuwa mgombea pekee Kanda ya Pwani kwake ilikuwa demokrasia, ila wapiga kura kumkataa, kwake imekuwa sio demokrasia?

Hivi huko ccm, anaubavu hata tu wa kutangaza nia ya kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti wa ccm taifa, achilia mbali kugombea kwenyewe?

Hivi hawa watu wanaokuwa wamekimbia CCM na kwenda vyama pinzani, wana matatizo gani?
Wanadhani ubabe ubabe walikuwa nao huko ndio huo huo wanaweza kuutumia na kule?
Halafu unashangaa kabisa mtu ana sapoti ujinga ujinga wa mzee huyu!!

Kwanza, binafsi nimefurahishwa sana na uamzi wake wa kupumzika siasa, ingawa najua kabisa amerudi nyumbani "time will tell"
Kwa kuwa naiona chadema isiyo na makandokando inazaliwa tena.

Pili nashauri (Kama alivyowahi kushauri humu wakili msomi P. Mselewa) kwamba, ni mda mwafaka kwa CHADEMA na vyama vya upinzani kwa ujumla, kuwatimua wooote waliotoka ccm kwa mihemko ya kukosa vyeo au nafasi za kugombea, warudi walikotoka.

Na Kama mtabaki nao, msiruhusu kuwapa vyeo mapema au nafasi za kugombea mapema (kama Lowassa) badala yake muwe na mda mrefu wa kuwapima. Pole mr. 0
 
Kuna wengine Mungu ametuumba na Maono makubwa sana tu. Nakumbuka ni hapa hapa JamiiForums kama kawaida yangu GENTAMYCINE huwa napenda kutoa Maono yangu ambapo nilisema na nikawahakikishia wana CHADEMA kuwa Umoja wao ni wa Kinafiki tupu na kwamba ndani yao kuna ' Mpasuko ' mkubwa tu wa Wao kwa Wao ila unafichwa kwa gharama za Kuisema CCM na Mheshimiwa Rais na kwamba ipo Siku itafika CHADEMA ' itaparaganyika ' na hawatoamini nikaishia kupokea Kejeli, Dhihaka na Matusi kwakuwa tu Mimi najulikana ni Shabiki ' kindaki kindaki ' wa CCM.

Je, niliyoyasema na kuyaona mapema leo hii hayatokei? Na nasikia japo sijathibitisha bado kuwa kuna ' Mwana Kanda Maaalum ' Mmoja ambaye nakiri alikuwa ni Mmoja wa ' Firebrand ' ndani ya Chama cha CHADEMA na ambaye hakuna ambaye angeamini kuwa kwa jinsi alivyokuwa anaweza Kubadilika anaenda Kuja Kundini Kwetu CCM huku akiambatana na Wabunge wengine Wanawake Wawili katika kile kinachoonekana kuwa Mwenyekiti Wao amechokwa na ametengeneza Makundi makubwa ya Kiubaguzi na Kiukabila ndani ya Chama.

Nitukaneni na leo pia tafadhalini ila Maono yangu kamwe huwa hayaendi bure na hayakosei pale nikiwa nayatoa kwani yamebarikiwa.
 
Tayari una negative thought. Kwamba mgombea binafsi haitakaa iwepo.Tupambane katiba iruhusu wagombea binafsi.
Wewe ndo unasema kuwa haitakaa iwepo,

Kama kweli Nia ipo ya kutafuta katiba mpya Basi itapatikana hata Kama Ni miaka mingi ijayo ...
 
[QUOTE="Siwamilele,
Lowasa alijiunga leo kesho mgombea Urais, hamkuona Uraisi ni nafasi sensitive kuliko huo Umwenyekiti wa chama tena chama cha hovyo
 
Hekima ya hali ya juu imetumika. Kila la heri, Waziri Mkuu mstaafu wa Serikali ya Tanzania, Mh. Frederick Sumaye.
 
Leo ndio nimegundua kuwa Sumaye alipaswa awe Mwenyekiti cdm

Leo nakumbuka sasa sababu ya zito kuitwa msaliti ilikuwa n kuanzisha mtandao wa kura ili akigombea ashinde.
Tukamwita msaliti

Shida ya cdm haina watu wenye uwezo wa kuwa wenyekiti taifa maana wengi n petty people hivyo kama sumaye angeweza km ccm chini ya magufuli imeimarika kwa nn tusimwamin sumaye

Shida hao watoto waliolelewa na cdm ndio wanataka waimiliki cdm

Leo nimeamin cdm inashida ya ndan

Nilipinga sana taarifa siri ya tiss kuwa mbowe amehusika lkn naamini inawezekana zikawepo nadharia zote mbili juu ya lisu
Cdm kujisafisha mpaka aje katibu atakayekubali kunyoosha Secretariat ya chama ili iheshimike na ndio itafute wagombea KWA sucsess pkan
 
Hoja ya CCM na mgawanyiko wa mitazamo ndan ya CHADEMA haviingiliani, binafsi naunga hoja yako na hili Hayo yaishe tuwe kama CCM hawafukuzan uchama Bali tukubali kupingana kwa hoja hata nje ya chama sekretariet iwe sikivu na vumilivu pia kamati kuu

Wengi CHADEMA na wategemezi wa Mbowe na kama Mbowe halitaki hilo akaondoe fomu GENTAMYCINE,
 
Back
Top Bottom