My all time JF crush, Happy womens Day

My all time JF crush, Happy womens Day

Status
Not open for further replies.
Kwa hiyo baada ya kumjua, nini kinafuata...tumuombee Malume apate kibali kwa sista au tumuachie apambane kivyake?
Mzee baba kama tu PM umekosa kibali, achana na hizo mambo...pigania mengine, maisha yana mambo mengi huwezi kulalia kitu kimoja miaka yote hiyo.

Wanasema sio fungu lako.
Tumuombee kibali
Tuombeane jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Na mimi asije akanila block maana nishajitosa..
 
Kwa hiyo baada ya kumjua, nini kinafuata...tumuombee Malume apate kibali kwa sista au tumuachie apambane kivyake?
Mzee baba kama tu PM umekosa kibali, achana na hizo mambo...pigania mengine, maisha yana mambo mengi huwezi kulalia kitu kimoja miaka yote hiyo.

Wanasema sio fungu lako.
Asante Chief
 
Nilishawahi kuwa kwenye hiyo hali Chief so naielewa vizuri sanaaaa..nilijikaza kuliko kawaida kumtamkia wala kumfungulia uzi..nilianza kusoma JF offline kwa muda wa mwaka I promised myself sitomfuatilia tena huyu master.nilichagua kumpotezea mazima..it wasn’t easy aiseh..

Gesi wat sasa....ni namuona wa kawaida kabisa na stori tunapigaga hapa hapa kwenye comment na hajijui na hatokuja kujijua
Mkuu ww hukumtendea haki mwamba, ungemtumia hata kaPM kamoja tu ka kumsalimia
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom