Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,548
- 88,539
Yaani ulivyotaja Mwaka ndiyo kabisa umeshanihakikishia kuwa niliyekuwa namfikiria ndiyeMy crush ana ID ya 2010
Yaani ulivyotaja Mwaka ndiyo kabisa umeshanihakikishia kuwa niliyekuwa namfikiria ndiyeMy crush ana ID ya 2010
Mimi kuna mdada humu aliniambia ananielewa sana tatizo pombe...najitahidi niweze kuacha huenda akanipandishia uziWatani wa jadi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu nitumie Screenshot nami nicheke jamaniYote Tisa
Kumi,Funga kazi comment ya behaviourist..
Nilicheka nikataka nidondoke njiani[emoji1787][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Najua kunidanganya huwezi halafu Mimi mtu akinidanganya nagundua.
Mweee kwahiyo niendelee tu kuvumilia hadi mwisho wa taji ya ushindi[emoji134]
Dah[emoji134]
Ila mimi nakaza hapo.
Sitaki kukupandisha wala kukushusha zaidi
Labda aamue tu kukupandishia uziMimi kuna mdada humu aliniambia ananielewa sana tatizo pombe...najitahidi niweze kuacha huenda akanipandishia uzi
Hahaa ana bahati ya ...... (kama id yake)Acha wivu, sio mtu mzima, i can gues labda she in around 32 au 33, kuna mahaki niliona ameandika alimaliza chuo 2011 kwa hiyo nahisi sio mtu mzima sema tu bahati ilimfondokea akaolewa mapema na kuoata watoti mapema, natamani hata ningemuoa mimi na kumzalisha
Kuna yule Gorgeous mim, yule madam wa Bs, na yule Mnyaki labdaHawa hawawezi kuwa japo nao wanaqualify kabisa kabisa tena mno. Mtoa mada anasema alidata baada ya kuona crush wake kachangia uzi fulani mwaka 2014. Carleen na Paula Paul siyo wakongwe kihivyo labda kama walikuwepo halafu wakabadili ID...
Uzi ulifutwa fasta kabla sijascreenshotHebu nitumie Screenshot nami nicheke jamani
My dia mjukuu mpenzi Joanah
Dah jamani[emoji23][emoji23][emoji23]Mvumilivu hula mbivu
Nitaje kweli???Taja tu mjadala ufungwe
Hahaa ana bahati ya ...... (kama id yake)
Nimeshamjua na nimeshafungua code kwa watakaoelewa wataelewa! Kama ni huyo hata hauwezi amini the moment namaliza kusoma uzi wako id iliyonijia kichwani ya kwanza ni yake maana binafsi hata mimi namkubali sana ila ndiyo kama ulivyosema hazoeleki kirahisi!Hakuna aliemtaja, you can see how unique she is