Nahisi wewe ndiye unazungumziwa hapa.
Thank you Extrovert, I appreciate the compliment.Maelezo yanaelekea kumlenga Paula Paul hivi ila kama yanakataa hivi yanamuendea Carleen kwa mbali. Mi sio mnajimu ila mtoa mada hawezi kuwa mbali na hizo ID😹
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama sio wewe bahati, you're intelligent, mshauri mzuri, you write a lot of sense mda wote, fact nisiyoijua ni status yako kimahusiano( married/unmarried). Karata yangu imetumbukia kwako sis darling [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Mpendwa sio mimi kabisa mweeh
Mwambie tu kwa nia njema japo huwezi kuwa naye maana tayari ana ndoa.Sidhani kama ni jambo zuri ukizingatia kwamba ni mke wa mtu na anaheshimika sana hapa jamvini
You are wrong, very wrong, cha kike kabisa, huyu ninaemzungumzia hapa huwa anaweka wazi kabisa kwamba ameolewa na ana watotoKama sio wewe bahati, you're intelligent, mshauri mzuri, you write a lot of sense mda wote, fact nisiyoijua ni status yako kimahusiano( married/unmarried). Karata yangu imetumbukia kwako sis darling [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzee hadi umekula block? Huyo kiumbe ni hatari sana, mimi nina moyo mdogo, nisingeweza...ningepotea kwa muda humu[emoji39][emoji39]Ninarmzungumzia hapa hata kwenye huu uzi hajatokea na jana baada ya kuweka uzi aliniblock[emoji24],
Oh sawaSio lengo la uzi, lengo la uzi ni kuwatakia crush heri ya siku ya wanawake
Nimejaribu kupotea kwa muda baada ya kuona ananipotezea hajibu PM zangu ila nikashindwa kabisa kukaa bila kuingia humu nisipomuona nahisi kupagawa kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzee hadi umekula block? Huyo kiumbe ni hatari sana, mimi nina moyo mdogo, nisingeweza...ningepotea kwa muda humu[emoji39][emoji39]
Aw, Thank you, SHIMBA YA BUYENZE.Hawa hawawezi kuwa japo nao wanaqualify kabisa kabisa tena mno. Mtoa mada anasema alidata baada ya kuona crush wake kachangia uzi fulani mwaka 2014. Carleen na Paula Paul siyo wakongwe kihivyo labda kama walikuwepo halafu wakabadili ID...
Kama sio wewe bahati, you're intelligent, mshauri mzuri, you write a lot of sense mda wote, fact nisiyoijua ni status yako kimahusiano( married/unmarried). Karata yangu imetumbukia kwako sis darling [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Mkuu mtaje tu
Tukakusaidie kumwambia