...Mwisho wa UONGO ni AIBU!

...Mwisho wa UONGO ni AIBU!



Sehemu nyingine ya Video hii hapa...

Ukiwa mtu mzima na unaelewa nchi utajenga hoja kwa misingi ya kuboresha, Nape ni moja ya vijana wanaoelewa na siasa zake zimekuwa safi na kukubalika tumsikilize na hapa.[
Security Guardy, Endelea kuleta vipande kwa njia hiyo hiyo mpaka story nzima ama mkanda before editing ukamilike ili tujue ukweli
 
Last edited by a moderator:
Vitu vingine ni vema tuwe tunaangalia na malezi, wakati sisi wengine tunajivunia wazee wetu na tunawaombea waishi milele wangine wanawakandia na kuwaombea wafe.

Maswali kwa Nappe:
1. Hivi Nappe unawazazi wote wawili kwa maana ya Baba na Mama.?

2.kwa umri wako tayari wazazi wako ni wazee, vipi unawaombea wafe.?

Unamwambiaje huyu bibi, afe au aendelee kuwa hai ili aipigie kura ccm 2015 uploadfromtaptalk1376039559335.jpg
 
- Yaani this is the best of JF, yaani FACTS zunawekwa hapa wananchi wanapewa mchele na pumba ahsante sana Katibu wa Uenezi wa Chama changu this is just super!!

KIDUMU CHAMA CHA MAPUNDUZI!!

Le Mutuz


Ha ha ha ha ha !

Naona hapa utapata ka-cheo
 
Kama wewe unajua imechakachuliwa, lete ya kwako ambayo haijachakachuliwa tuione.

Jenga hoja kwa evidence na siyo mihemko ya kibavicha.

Hizi kelele unazopiga ni kelele za debe tupu. Huoni huyo aliyeleta uwongo kuhusiana na hili swala ameamua kufunga thread yake haraka na kuukimbia uongo wake.

Alafu wewe, mbona huwa unawashwa sana? Anayetakiwa kujibu kama imechakachuliwa au sivyo ni Nape, sasa kiherehere kinatoka wapi?
 
Lonesome,
Bila kuathiri majibu ya Nape akiamua kuja kujibu lakini, hivi mwanaume mwenye mtoto mwenye watoto naye anaitwaje kama sio Babu?!! Dr. Slaa ana watoto wenye watoto nao, kama sio babu tumwite bibi? Linageukaje kuwa tusi hili???!

Semantics is the structural meaning of meaning....kwa wanaoelewa Affirmative meaning....watamuelewa NAPE anamaanisha nini kuita Babu.
 
"Wenye akili timamu ni wale wanaounga mkono serikali 2". Hii kauli ilitolewa na Nape Nnauye na kunukuliwa na gazeti la uhuru la tarehe 05.08.2013. Hili halihitaji ushahidi bali ni suala tu la kwenda maktaba na kuomba gazeti la uhuru la tarehe husika.

Suala la serikali 3 lilipendekezwa na wananchi waliohojiwa katika tume ya jaji Nyalali na ile ya jaji Kisanga. Kwa hivyo, kauli ya Nape ililenga kuwatukana WANANCHI (ambao ndio waliopendekeza serikali 3). Kwamba wananchi ni MACHIZI tu ila Nape na CCM yake ndio wenye akili timamu. Haya, hili nalo unasemaje mh Nape? Au ulinukuliwa vibaya na gazeti la CCM?
 
Nape Nnauye naomba uweke mkanda mzima.

Nakushangaa william.j.malecela unasahau kuwa nape anaposema wazee wetu wanasubiri kufa na wewe ni mmoja wa wazee wetu na bado tuna kuhitaji sasa sijui kwa nini unatetea mauaji ya kutumia mdomo yanayofanywa na Nape Nnauye?
 
Last edited by a moderator:
Nape alishajikataa zamaanii. Akaamua kumfuata shetani na mambo yake yote. Laana zinamfuata sasa hajitambui mwenzenu huyo muombeeni. Kuishi bila amani moyoni ni kitu kibaya sana. Heshima imeshuka. Hana wafuasi tena R.I.P CCJ.
 
Semantics is the structural meaning of meaning....kwa wanaoelewa Affirmative meaning....watamuelewa NAPE anamaanisha nini kuita Babu.

Kwa jinsi alivyotumia hilo neno hamaanishi kingine zaidi ya dharau na mabezo. Mbona hajawahi kusema babu Kikwete au Mwandosya? Mbona hamwiti Mangula babu? Nape amepoteza mvuto kwa sababu ya mdomo wake. Hivi anakumbukaalichowaambia watu wa Mwanza wakati fulani walipomzomea? Aje akanushe na yale matusi aliyoyatoa. Nape, it is high time you grew up and behaved like an adult. You are tarnishing the image of CCM dude!

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Unajua kuwajibu nyie ni kupoteza muda. Namshukuru securitygurd kwa kuweka kipisi cha kwanza. Video hizi zilikuwa kwenye mitandao siku ya pili tu baada ya stori kuchakachuliwa. Wengine hapa wanadai ilikua wapi!! Weka hiyo video yako,usitishie nyau hapa!Lakini cha kufurahisha hata walioandika walishaikanusha lakini kwakukisa hoja mnahangaiaka sanaaaaa! Poleni sina muda wa kupoteza kuwajibu tena kwa hoja mfu!

Idd Amin Dada alisukumwa na hisia hizi hizi za ubaguzi dhidi ya wazee akaishia kuwafanyia unyama.Usipoweka haya mambo clear au kuomba radhi utaishia kuonekana kwa haiba ile ile ya IDD AMIN Dada.Usipokua makini kuanzia leo utaishia kujenga image ya IDD AMIN DADA

-Usikubali kufanana na naibu katibu mkuu wako kwa kukurupuka na kupanga mambo ya kifedhuli hadi kujitengenezea haiba ya SAVIMBI.

Sio kitu kizuri kwa kizazi hiki na vizazi vijavyo.Hebu tuusafishe uwanja wetu wa kufanya siasa za kistaarabu bila ubaguzi kaka.Kuanzia hapo tutajifunza kufanya siasa zenye tija kupitia sera sahihi zitakazowasaidia wazee wetu badala ya kuwadharau na kuwanyanyapaa kuwa wanasubiri kufa.
 
- HA! ha! ha! My Super Brother Ben, nilikwambia hizi siasa za majitaka kwa kijana mdogo kama wewe mwenye bright political future, sio sawa kwako wanaokutuma ni marafiki sana wa hawa wanaokutuma uwachafue, wanakuponza bure mkuu wangu shituka japo kidogo before it is too late!!

- NI USHAURI WA BURE TU KWAKO!!, KWA SABABU HATA UKIFIKIA NAFASI YA KUWA MKUBWA HUKO CHADEMA BADO UNAHITAJI KUWA NA MAHUSIANO MAZURI NA VIONGOZI WA JUU WA CCM, KAMA WALIVYO VIONGOZI WAKO WA JUU USIWAONE HIVYO NA KUJIFANYA VIBURI MWISHO WA SIKU NI MARAFIKI WA KARIBU SANA NA VIONGOZI WA JUU WA CCM, AMKA KIJANA MDOGO!!

LE MUTUZ

Ukifuatilia vizuri kauli ya Nape hata wewe Le Mutuz unasubiri kufa tu maana miaka 55 sio michache, tena miaka 55 huku hauna kazi maalum ya kukuingizia kipato na Mzee bado anadunda tu. Ingawa a good point is Nape anamaanisha hata Mzee wetu Sam naye anasubiri kufa, na akifa wewe utanufaika kwa KURITHI ''mali'' za Mzee, which is good for you. Hata wewe unatamani our 8-5 timetable but ndo hivyo tena huna shuguli maalum na kubakia kusinzia kwenye makochi ya Mama Kilango
 


Sehemu nyingine ya Video hii hapa...

Ukiwa mtu mzima na unaelewa nchi utajenga hoja kwa misingi ya kuboresha, Nape ni moja ya vijana wanaoelewa na siasa zake zimekuwa safi na kukubalika tumsikilize na hapa.


Na hii ni ID ya NAPE...?
 
Last edited by a moderator:
Acha na hawa mkuu Nape wanaweza kukuharibia siku na hata unaweza kuwatukana bure.angalia Pm yako kaka.Hawa ni mabingwa wa kugeuza maneno na siasa za propaganda chafu

Japo wanasema tabia ya vijana wa UVCCM ni kujipendekeza but wewe unatia fora....hata kama unatafuta bwana,you have surpassed
 
Kwa jinsi alivyotumia hilo neno hamaanishi kingine zaidi ya dharau na mabezo. Mbona hajawahi kusema babu Kikwete au Mwandosya? Mbona hamwiti Mangula babu? Nape amepoteza mvuto kwa sababu ya mdomo wake. Hivi anakumbukaalichowaambia watu wa Mwanza wakati fulani walipomzomea? Aje akanushe na yale matusi aliyoyatoa. Nape, it is high time you grew up and behaved like an adult. You are tarnishing the image of CCM dude!

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Precisely.....ndicho ninachotaka anaemtetea NAPE aelewe!
 
Back
Top Bottom