Kesi ya Nyani unampelekea Tumbili kwani huyu na Nape wana tofauti gani? Type ya akina Lusinde wao wanatoa matusi kama nyoka anavyorusha mate, hakuna aliye afadhali hapo@w.j.malecela njoo huku ujaribu kuokoa jahazi

Lete original nyie mabingwa wa kukataa hata ugaidi mnaukataa
Nape Nnauye kumshinda Ben kwenye hoja itakua muujiza.Tofauti ni kuwa Ben anajenga hoja kisomi na anashawishi hata unayempinga ila mwenzake Nape na akina W.Malecela wamebobea kwenye mipasho ambako Ben pia anamudu.Nilicheka sana jasho lilivyomtoka huyu mtoto wa mzee Malecela.Alipewa za uso hadi akapoteza network akaishia kumtukana kada Mwenzake Mchambuzi ambaye kimsingi katika ujenzi wa hoja amewaacha maccm wenzake mbali.Nilipenda jinsi Ben alivyomgeuzia Wilium Kibao kuwa kauli ya Nape inamlenga Yeye maana ana miaka zaidi ya 50 na pia inamlenga Mzee Malecela(ex Pm) .Jamaa alikumbwa na ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu ghafla.Sasa leo naona Nape anapewa za uso baada ya kujitahidi kuokoa jahazi usiku kucha.Idd itakua mbaya sana kwake maana ameambiwa kwamba uongo ni asili yake kwani hata alipoanza kutoa majibu tu amezusha tuhuma ambazo hana data nazo kuwa Ben anatumwa.Bila kupoteza ajizi kauli hiyo ikatumika kuthibitisha tuhuma dhidi yake.Inahitaji uwezo mkubwa wa debate kumshinda kamanda BenYaani kweli kabisa hoja ya Saanane ndo unaijibu na haka kavideo chako ambacho hakana hata punje ya majibu kwa maswali aliyouliza Ben?
Ningekuelewa haraka sana kama ungeweka hoja baada ya hoja kwa yote aliyoainisha Ben.
Inaitwa ukomavu wa kiakili na fikra na nguvu ya hoja hususan kwa mtu kama wewe unaeongea na vijana wengi Tz hii kupitia ofisi uliyopewa.
Jipange. La sivyo utashangaa vijana wadogo zaidi wanapewa kazi yako hiyo ya uenezi hapo mbeleni.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
@w.j.malecela njoo huku ujaribu kuokoa jahazi
Nape nawewe unakuja na madudu ya video za Mwigulu za ku edit?
Unataka tuilete hapa video nzima ya ulichoongea siku ile?
Mbona ile ya soweto nyie hamuileti au munaiedit au ni kwa ajili ya "SYMPATHY VOTE" 2015?Nape nawewe unakuja na madudu ya video za Mwigulu za ku edit?
Unataka tuilete hapa video nzima ya ulichoongea siku ile?
Jambo baya zaidi kwako nikuwa HOJA ya Ben Saanane haikuishia kwenye kauli yako kwa wazee tu,
Ilikusa mambo mengi ya husuyo wewe na siasa za nchi hii, mbona unajaribu kujibu moja tu tena sio kujibu bali kujivua nguo zaidi?
Nape Nnauye kumshinda Ben kwenye hoja itakua muujiza.Tofauti ni kuwa Ben anajenga hoja kisomi na anashawishi hata unayempinga ila mwenzake Nape na akina W.Malecela wamebobea kwenye mipasho ambako Ben pia anamudu.Nilicheka sana jasho lilivyomtoka huyu mtoto wa mzee Malecela.Alipewa za uso hadi akapoteza network akaishia kumtukana kada Mwenzake Mchambuzi ambaye kimsingi katika ujenzi wa hoja amewaacha maccm wenzake mbali.Nilipenda jinsi Ben alivyomgeuzia Wilium Kibao kuwa kauli ya Nape inamlenga Yeye maana ana miaka zaidi ya 50 na pia inamlenga Mzee Malecela(ex Pm) .Jamaa alikumbwa na ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu ghafla.Sasa leo naona Nape anapewa za uso baada ya kujitahidi kuokoa jahazi usiku kucha.Idd itakua mbaya sana kwake maana ameambiwa kwamba uongo ni asili yake kwani hata alipoanza kutoa majibu tu amezusha tuhuma ambazo hana data nazo kuwa Ben anatumwa.Bila kupoteza ajizi kauli hiyo ikatumika kuthibitisha tuhuma dhidi yake.Inahitaji uwezo mkubwa wa debate kumshinda kamanda Ben
Ha ha haUnajua kuwajibu nyie ni kupoteza muda. Namshukuru securitygurd kwa kuweka kipisi cha kwanza. Video hizi zilikuwa kwenye mitandao siku ya pili tu baada ya stori kuchakachuliwa. Wengine hapa wanadai ilikua wapi!! Weka hiyo video yako,usitishie nyau hapa!Lakini cha kufurahisha hata walioandika walishaikanusha lakini kwakukisa hoja mnahangaiaka sanaaaaa! Poleni sina muda wa kupoteza kuwajibu tena kwa hoja mfu!
Unajua kuwajibu nyie ni kupoteza muda. Namshukuru securitygurd kwa kuweka kipisi cha kwanza. Video hizi zilikuwa kwenye mitandao siku ya pili tu baada ya stori kuchakachuliwa. Wengine hapa wanadai ilikua wapi!! Weka hiyo video yako,usitishie nyau hapa!Lakini cha kufurahisha hata walioandika walishaikanusha lakini kwakukisa hoja mnahangaiaka sanaaaaa! Poleni sina muda wa kupoteza kuwajibu tena kwa hoja mfu!

Hayo maneno tumesha ya zoea siuiweke hapa au ndio mtaji bwana mdogo dah wadanganyika bwana!Gazeti la Mtanzania na Mwananchi yaliripoti habari hii kama ulivyorekodiwa,
Je ni lini yaliwahi kuandika habari ya kuikanusha habari hiyo?
Video ipo uliyozunguza zaidi ya dakika 15, na tayari 98% ya wazee waishio mijini washaona, sasa wewe unaamini umei edit na umeruka kiunzi?
Wale vijana uliowatuma wafuatilie video kwa waandishi wa habari na wawalipe pesa ili wasirushe hewani wamekuingiza mjini, wamekula 20m zenu tu,
Wamekupa copy, original tunayo na
Sisi tutaendelea kuwaonyesha wazee wote nchini kile ulichoongea siku ile mbele ya wanahabari wa nchi hii,
Hivi we nae umetokea pori gani make haueleweki ni binadamu au mnyama,haujulikani unachangia nini au ni nini msimamo wako,kwamba unatetea alichokisema Nape au ni nini
Mzee Mengi umeona tweet yake hapo akilaumu alichokiongea Nape wewe unasema Ben anakurupuka,sishangai ni kawaida yenu kujipendekeza ili muweze kupata posho na bia muendelee kuishi mjini kwa migongo ya watu kwa hiyo hata akiandika au akisema tusi mtamtetea make ni waganga njaa tu
Unaleta mambo ya kike ya kijinga watu wanaongea na kujadili mambo ya maana unaleta mambo ya Josephina kwenye kauli alizozitoa Nape ni wapi alimgusia Josephina?
Hawa wadudu aina ya huyu mbweha ni kukaa jikoni hawana lolote vichwa panzi tu kazi yao kuzaa,kupika na kuwalaza wanaume unono akili hamna kabisa
Hebu usituletee habari za kike hapa kaongee na wanawake wenzio huko hili jukwaa halikufai kwa akili yako hiyo idiot
Video unayoisapoti unauhakika nayo? Kwa hiyo Mengi anaugomvi na Nape hadi amzulie kwenye hiyo Tweet?
Utajuaje hiyo clip ni genuine haikuchakachuliwa? Unaelewa nini kwenye hilo?
FaizaFoxy inaonekana hata wewe kwenu hauna wazazi wewe kama unasapoti upumbavu,hebu kabla haujaandika kitu elewa kwanza unachokiandika acha KUKURUPUKA
Ushahidi kamili ni upi ikiwa hawezi kututhibitishia kuwa video haijawa edited?