...Mwisho wa UONGO ni AIBU!

...Mwisho wa UONGO ni AIBU!

Hapana wao walisoma kilicho nukuliwa na vyombo vya habari kutoka kwa NAPE. HIVI KWANINI VIDEO IMELETWA KWA MAFUNGU NA KWANINI KAMA ALIKUWA NAYO ALIKAA KIMYA TUU.

Nape Nnauye NAKUOMBA UWEKE VIDEO YOTE SI VIPANDE HIVI.

NAPE NA KUHAKISHIA WAZEE WETU WATAKUFA KWA MPANGO WA MUMGU LAKINI SI MPANGO WAKO.

Wewe ilete kamili um-prove kuwa yupo wrong. Yeye kisha washushua.
 
umejitahidi kuweka link vizuri lakin naskia makelele tu hakuna kinachosikika....

utawezaje kuisikia vizuri wakati mtambo wao wa kuedit ni feki? We uoni hata ile movie ya lwaka tiliigundua mapema kwamba ni feki
 
- Ben ungeomba Mwenyekiti wako aombe radhi kwa kusema anajua aliyerusha bomu Arusha na baadaye kukataa kuwa hamjui, ungemuomba Katibu wako aombe radhi kwa kupora mke wa watu, kwa kuasi kiapo chake kwa Mungu kwamba atakuwa padri na kumtii Mungu, unapoteza muda mwingi kujali ya wengine wakati ndani mwako kumejaa madudu yale yale unyoyakataa kwa wengine, unafiki haitoshi kuwa jina jema kwako!!

Le Mutuz

Willy,

Naona umeshindwa hoja sasa unatoka nje ya mada na kwenda personal.

Kama unapenda kuzusha na kujadili ndoa za watu hapa sio sehemu yake na tafututa watu wenye fikra hizo.Hata tutofautiane vipi kisiasa hujawahi kunisikia nikijadili masuala yale ya kusikia kuwa umetelekeza watoto USA au masuala ya wewe kuachwa na mke wako.Sijazoea na sio sahihi kuyajadili ingawa wewe unapenda kujadili trivial issues.Please,we are above this petty politics.
 
Willy,

Naona umeshindwa hoja sasa unatoka nje ya mada na kwenda personal.

Kama unapenda kuzusha na kujadili ndoa za watu hapa sio sehemu yake na tafututa watu wenye fikra hizo.Hata tutofautiane vipi kisiasa hujawahi kunisikia nikijadili masuala yale ya kusikia kuwa umetelekeza watoto USA au masuala ya wewe kuachwa na mke wako.Sijazoea na sio sahihi kuyajadili ingawa wewe unapenda kujadili trivial issues.Please,we are above this petty politics.

ww bwana mdogo ni mzushi, muongo na mpotoshaji kama gazeti lenu la tz daima na sasa mawio. Ww ni mtembea na sumu wa kudumu huna moral authority kuandika ujinga wako wako. Waombe radhi watz kwa usaliti wa haki na harakati za vijana
 
Unajua kuwajibu nyie ni kupoteza muda. Namshukuru securitygurd kwa kuweka kipisi cha kwanza. Video hizi zilikuwa kwenye mitandao siku ya pili tu baada ya stori kuchakachuliwa. Wengine hapa wanadai ilikua wapi!! Weka hiyo video yako,usitishie nyau hapa!Lakini cha kufurahisha hata walioandika walishaikanusha lakini kwakukisa hoja mnahangaiaka sanaaaaa! Poleni sina muda wa kupoteza kuwajibu tena kwa hoja mfu!

Maskini nape unatia huruma, naona kazi imekushinda na magamba yatakupiga chini siku si nyingi.huwa unaji contradict sanaa..halafu huna memory nzuri.yaani umezidi kuharibu jina lako.ushauri nenda kawaombe wazee msamaha.kubali yaishe.
 
By Ben Saanane:
Idd Amin Dada alisukumwa na hisia hizi hizi za ubaguzi dhidi ya wazee akaishia kuwafanyia unyama.Usipoweka haya mambo clear au kuomba radhi utaishia kuonekana kwa haiba ile ile ya IDD AMIN Dada.Usipokua makini kuanzia leo utaishia kujenga image ya IDD AMIN DADA

-Usikubali kufanana na naibu katibu mkuu wako kwa kukurupuka na kupanga mambo ya kifedhuli hadi kujitengenezea haiba ya SAVIMBI.

Sio kitu kizuri kwa kizazi hiki na vizazi vijavyo.Hebu tuusafishe uwanja wetu wa kufanya siasa za kistaarabu bila ubaguzi kaka.Kuanzia hapo tutajifunza kufanya siasa zenye tija kupitia sera sahihi zitakazowasaidia wazee wetu badala ya kuwadharau na kuwanyanyapaa kuwa wanasubiri kufa.
- Ben ungeomba Mwenyekiti wako aombe radhi kwa kusema anajua aliyerusha bomu Arusha na baadaye kukataa kuwa hamjui, ungemuomba Katibu wako aombe radhi kwa kupora mke wa watu, kwa kuasi kiapo chake kwa Mungu kwamba atakuwa padri na kumtii Mungu, unapoteza muda mwingi kujali ya wengine wakati ndani mwako kumejaa madudu yale yale unyoyakataa kwa wengine, unafiki haitoshi kuwa jina jema kwako!!

Le Mutuz

Reply Report Post
 
Kwa Ben Saanane, Mawio na wote wanaowatuma, MSISAHAU MWISHO WA UONGO AIBU!

Huu ndio ukweli wa nilichosema juu ya wazee. Sasa pimeni wenyewe aibu ya nani kwa uzushi wenu! Si kila unacholishwa unabeba!




Unajua kaka Nape Nnauye falsafa ya ushirikishwaji kwako na wengi wa viongozi wa sasa wameihama kabisa na hii inatokana bila shaka na hofu kubwa ya shinikizo la mabadiliko yasio kuwa na dira ya wazi. Hili unalolifanya hapa, pamoja na mengine mengi, ni typical Top-Bottom approach na si zuri hata kidogo hasa kwa swala nyeti kama hili. Ninachokiona binafsi ni unalinda maslahi ya mfumo usio rasmi ulioko ndani ya chama na kufanya hivi lazima uwalishe sumu wanachama wasifikiri kwa mawazo yao, bali kwa mawazo yenu viongozi.

Kuwepo kwa Mchakato wa katiba ni hatua inayohitaji kusikiliza wanachama na mwisho wakati wa tathmini mjadili. wwe kama kiongozi ungefanya hili sio mbele ya vyombe vya habari, bali ndani ya viokao vyenu ili kushawishi wengi waamini kile chama kinaona ndio msimamo mzuri.

Kuna mahali pa siasa na manipulation lakini kwa hili swala mnawauzia wapinzani sera za kutushambulia. Wananchi wananona tusijihadae kaka. Binafsi sijatulia kabisa, naamini hekima na busara ya hali ya juu ndiyo itaimarisha tunachotaka, sio siasa za majigambo na majivuno na kutumia vijembe. Ukitaka hili wewe tafuta watu wa record mijadala ya mitaani bila kujua upate kile wanachosema. CCM ya leo sio ile ya wakati ule. CHADEMA hawana sababu ya kupanda chati hivi, ni makosa madogo sana yanayosababishwa na kukataa ukweli kuwa kauli zetu za hadhalrani zina walakini na zinatoa nafasi ya kutafsiriwa na wapinzani wetu.

Facilitate and do not Facipulate (Manipualtion) ili watu nao wapate nafasi ya kufikiri. Hapo unachofanya unaongea kama vile wananchi ndio wanasema kumbe ni nyinyi viongozi wetu wachache wa juu mmekaa mkaona hilo. bahati mbaya najua kwenye vikao hamkukubaliana wote ingawa sishangazwi. Kupinga Mingi Mkuu wa Rasimu ni kumuaibisha Mwenyekiti wetu wa CCM na kumdhalilisha maana nina uhakika aliijua rasimu hii na angeweza ksuhawishi mambo yawe jinsi mnavyotaka.Pia mnaidhalilisha CCM kama chama tawala kilichoko madarakani na bahati mbaya sana Viongozi wetu wa nchi hii ambao wameshika nyadhifa nyeti na waliaminiwa na Mwenyekiti wetu wa CCM mh Rais kupewa nafasi hizi!

maoni haya unayoyatoa kwakweli mmewahi sana na mnatuchanganya maana vikao vya mwanzo mlisema mnawapelekea wananchi wanahcama wa CCm wataamua, kinachowafanya mtoe misimamo hii ni nini na imetoka wapi? kama hata maoni ya wanachama bado hayajatathminiwa? Au ndio yaleyale yanaweeza kukuudhi lakini wanasema viongozi mnaogopa kivuli cha upinzani (jambo ambalo kama ni kweli ni aibu kabisa). soma alama za nyakati, kuna mambo menig humo ya msingi ila nadhani mnapaparika na mnatuchanganya wanachama wenu. Mnafoji taratibu, mnapingana na kauli zenu wenyewe kwa kivuli cha kufanya siasa, mnalazimisha mambo na mara nyingi mnaacha mantiki mnatumia vijembe (seasa za vijembe zimepitwa na wakati tunaangalia dunia nzima sikuhizi na tunapima siasa etu na za ulimwengu amkeni) na mnawahi mno kabla hata ya wakati, ni nini hofu gani kwa chama chenye nguvu kama CCM?
 
Last edited by a moderator:
CCM TUKO IMARA, TUNAJENGA NCHI YETU,HIVI nape kweli hii ni kauli yako,so hii ni nchi ya CCM peke yenu msiozidi hata watu millioni 4,sawa mbona mambo ya CCJ mpaka leo huwa utaki kabisa kuyaongelea si wewe au kiranja wenu MR sitta na MR mwakyembe?
 
Nape nilitegemea wewe kama Kiongozi utajutia kauli ulizotoa. Waliokuwekea kauli zako wamesahau hii ya siku za hivi karibuni uliyosema wenye akili timamu ni wale wanaosimamia msimamo wa serikali mbili, ikiwa na maana kuwa wasio waumini wa msimamo huo hawana akili timamu.

Rasimu ya Katiba imeletwa tujadili wote kwa kuheshimu uhuru wa mawazo. Wewe unasema sisi tusiounga mkono hoja za CCM hatuna akili timamu. Nilitegemea hili unalielewa hata baada ya kujadiliwa na vyombo vya habari na mitandao, kukomaa kwako kwa jambo hili sikuungi mkono.

Kila tamko lina gharama, lakini sisi tunakuambia kwenye mitandao tu. Subiri wazee kama watakuelewa au watanzania wengine watakaotafsiri kauli zako.

Hili tusi wa kwanza kumfikia ni Mh Waziri Mkuu Mstaafu Mwenyekiti wa Tume na Jaji Mstaafu Warioba, w pili ni Mwenyekiti wake wa CCM kwa kumchagua mtu ambaye hana akili timamu na kukubali Rasimu kuwekwa hadharani hawezi kuiweka hadharani kama hakuiona kabla.
 
Pole sana Nape kama umeonewa.Binafsi sina tena muda wa kukusikiliza.Nimechoshwa na ujinga wako.
 
LUKOSI vipi JK na magamba ya siku 90 mwaka na kitu kimya,MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA.vipi kuhusu kuwa na majina ya wauza unga,huyo ndio JK muasisi wa uongo na ccm yao,siasa ya ujamaa na kujitegemea kila siku ombaomba kama matonya
 
ww bwana mdogo ni mzushi, muongo na mpotoshaji kama gazeti lenu la tz daima na sasa mawio. Ww ni mtembea na sumu wa kudumu huna moral authority kuandika ujinga wako wako. Waombe radhi watz kwa usaliti wa haki na harakati za vijana

Pambana nae kwa hoja sasa.
 
Ninasubiri Kikao cha kesho. Baada ya .... kukataa kuwaalika ndugu zake wenye hoja tofauti na ya kwao... mwenye Nyumba kasikia watu wanabisha hodi kawaambia karibu, sasa sipati picha atasimama mlangoni au itabidi akatembee tembee mtaani kuzuga akisubiri wageni wamalize mazungumzo na Mkuu ili kupisha aibu... siasa bwana!
 
Kwa Ben Saanane, Mawio na wote wanaowatuma, MSISAHAU MWISHO WA UONGO AIBU!

Huu ndio ukweli wa nilichosema juu ya wazee. Sasa pimeni wenyewe aibu ya nani kwa uzushi wenu! Si kila unacholishwa unabeba!



mkaamua kumteka
 
Waziri wa Mawasiliano ambaye ni mgeni rasmi wa kutoa zawadi za stories of change amesema yeye ni member wa Jamii Forums

Amesema tofauti na wengine yeye ana ngozi ngumu ya kustahimili matusi. Na wakati mwingine huwa anayasoma kabla ya kulala.

Possibly Nape anatumia ID ambayo haijulikani so kuweni makini mnapotukana watu.

Nafuatilia youtube

View attachment 2420687
This is true, Nape ni mwenzetu humu, tupo naye kwa ID yake ya nape mnauye, ila pia yupo yupo!.
Mwenye ngozi ngumu ni hapa JF ni Pascal Mayalla wengine ngozi ya u-bwbw
Naomba kuthibitisha ana ngozi ngumu!.
P
 
Back
Top Bottom