Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,960
Kaka Paskali, nakusalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano..!!This is true, Nape ni mwenzetu humu, tupo naye kwa ID yake ya nape mnauye, ila pia yupo yupo!.
Naomba kuthibitisha ana ngozi ngumu!.
P
Mara ya mwisho Nape Nnauye kuonekana humu ilikuwa lini? Maana hili kaburi ulilolifufua ni mwaka 2013..!! Almost miaka 9 iliyopita