...Mwisho wa UONGO ni AIBU!

...Mwisho wa UONGO ni AIBU!

Japo wanasema tabia ya vijana wa UVCCM ni kujipendekeza but wewe unatia fora....hata kama unatafuta bwana,you have surpassed

Inakuhusu nini ww? Shemeji Ben mbona hakujibu tuhuma zake na Makamu mwenyekiti wa UVCCM tunayetaka kumfukuza?Tuhuma zake na Mboni Mhita ni nzito na mwenyekiti Sadifa alishatangaza ni marufuku kuchanganya mapenzi na kazi.
 
ni kawaida sana kwa chadema mtu akiwabana kwa hoja zenye mashiko na kushindwa kufurukuta huanza kuhaha kumchafua lakini mfahamu kuwa nape na mwigulu hawa watu hawachafuki hata matamwagia tope mtavimba mpasuke tu.
 
- HA! ha! ha! My Super Brother Ben, nilikwambia hizi siasa za majitaka kwa kijana mdogo kama wewe mwenye bright political future, sio sawa kwako wanaokutuma ni marafiki sana wa hawa wanaokutuma uwachafue, wanakuponza bure mkuu wangu shituka japo kidogo before it is too late!!

- NI USHAURI WA BURE TU KWAKO!!, KWA SABABU HATA UKIFIKIA NAFASI YA KUWA MKUBWA HUKO CHADEMA BADO UNAHITAJI KUWA NA MAHUSIANO MAZURI NA VIONGOZI WA JUU WA CCM, KAMA WALIVYO VIONGOZI WAKO WA JUU USIWAONE HIVYO NA KUJIFANYA VIBURI MWISHO WA SIKU NI MARAFIKI WA KARIBU SANA NA VIONGOZI WA JUU WA CCM, AMKA KIJANA MDOGO!!

LE MUTUZ

Maneno kuntu kaka.Malecela tatizo huyu dogo jeuri na kiburi kimemjaa.Ana dharau sana.Ndiyo maana tunapinga huyu ibilisi kuingia ndani ya nyumba yetu na uhusiano wa Ben kimapenzi na dada zetu wengine wa UVCCM utatuumiza kama alivyofanya kwa akina Shonza na Mwampamba.Huyu ni shetani haaminiki anatafuta nini
 
'ikulu siyo wodi ya wagonjwa', 'kwani hamuwaoni wagonjwa mahututi wanaotafuta urais mpaka makanisani'

nukuu kutoka kwa Nape ziarani Mara

chanzo:Mawio

Siasa za TZ huwa hazilengi kupata kibali cha kundi la wasomi na wanaofikiri mara mbili bali makofi ya mbumbumbu!
 
Hiyo video imetengenezwa na mwigulu hahaha , hiyo video ni fake..magamba yameshikwa pabaya....shame on you nape mwandosya. Kwanza nape mwenyewe ashajichokea basi tuu ni vile yuko ccm kwa maslahi binafsi.uchumia tumbo ni kitu kibaya sana.kawadanganyeni wajinga.ben saa8 ni mwiba mchungu sana kwa magamba.

big like mkuu.tehe tehe tehe tehe you made my day comrade
 
Nimetafuta jina linalomfaa nape kwa maneno na matendo yake, cjaona zaid ya KABURU, Nape ni KABURU tu, alianza na udini, ukanda, ukabila, amekuja na uzee, wewe ni KABURU basi..... umelewa ukaburu... hii CCM unayoiongoza mbona ni very old husem itakufa? akil za kikaburu hupofusha.. najiulizaga huko CCM cjui kwanin hawaend watu wenye akil timamu za kizalendo badala yake wanapata makaburu!
 
@Nape Nnau
"Wazee wanaosubiri
kufa Kesho"
...mzee Mwandosa akíisikia hii kauli yako atajisikiaje?...
 
Wamekurupuka kama alivyokurupuka Ben Saanane, haya walete na wao video, Nape kaleta ushahidi kamili kuwa waliosema ni waongo, si maneno yake hayo.

Umewashuka shuu.
Hapana wao walisoma kilicho nukuliwa na vyombo vya habari kutoka kwa NAPE. HIVI KWANINI VIDEO IMELETWA KWA MAFUNGU NA KWANINI KAMA ALIKUWA NAYO ALIKAA KIMYA TUU.

Nape Nnauye NAKUOMBA UWEKE VIDEO YOTE SI VIPANDE HIVI.

NAPE NA KUHAKISHIA WAZEE WETU WATAKUFA KWA MPANGO WA MUMGU LAKINI SI MPANGO WAKO.
 
Last edited by a moderator:
@Nape Nnau
"Wazee wanaosubiri
kufa Kesho"
...mzee Mwandosa akíisikia hii kauli yako atajisikiaje?...
Yani hiii kauli wameshaosikia wazee wengi na imewakosesha usingizi wazee wetu wakina MAKAMBA,MALECELA,lowasa,Mangula,Makinda na wengine.

Sijui wazee wetu wamemkosea nini NAPE.
 
Nape nnauye mie namfahamu kwa kumumuona na tangia awe kiongozi wa chama naona ameendelea kukiyumbisha zaidi maana hoja zake zote huwa hazijengi kwa kuangalia mazingira tuliyonayo sasa. Ni mtu wa kukurupuka sana na mara nyingi hawezi kuongea bila kuacha kasheshe ya sintofahamu kwa wanaomsikiliza na hatihati kwa chama. Ajue kwamba ni kijana na bado anasafari ndefu kisiasa.washauri wake wamsaidie kuwa mkweli na kwa kauli zake za sasa akiendelea anaweza kukisababishaia chama chake mtifuano mkubwa na mwisho wa siku wakashindwa kukinadi katika chaguzi zijazo.
 
tatizo Nape amezidi kuongeaongea bila mpangilio.wanaume hawawagi hivyo.au hujaoa?na nahisi,kama umeoa basi ndoa yako haina amani.huwezi kuwa longalonga namna hiyo,na mke wako aweje?mwanaume hukaa chini na kutafakari kabla ya kuzungumza.sio siri nape unakera sana.na katika watu ambao hawafai kuwa viongozi msikitini,kanisani wala katika jamii ni wewe.kaa chini wazee wakupe hekima.ccm ina wazee wenye busara kama akina sitta,warioba,na warioba.ni vizuri ukae chini ya miguu yao ujifunze.huwezi kuja kuwa kiongozi mzuri kama usipojifunza kupata hekima ya ulimi.usikurupuke mzee.unajua,biblia inasema,"hata -------- akinyamaza huonekana mwenye hekima".kinyuma cha hii sentensi ni nini?TAFAKARI........CHUKUA HATUA.
mheshimiwa jk ailikuwa muongeaji sana hapo mwanzo,matokeo yake akaanza kuona kuwa anaanza kujichanganya.mfano.alisema ana list ya wauza unga..na sasa mchi inaharibiwa na hao wauza unga na hachukui hatua yoyote.huoni kuwa ni tatizo?sisi wananchi tutamwelewaje?angalia alivyotangaza vita na mafisadi, na watu tukamwamini sana,sassa mbona kashindwa?BAADA YA HAPO MMEANZA SERA YA HAMSINI KWA HAMSINI(genda equity).HEBU JIULIZE,KWA NINI MNATAKA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA DAKIKA MOJA?KWA NINI MFIKIRIE KU COMPROMISE STANDARDS KWA SABABU TU YA GENDER? HATUWEZI KUMCHAGUA MTU KWA SABABU YA SEX YAKE,NA PIA HATUWEZI KUMKATAA MTU KWA SABABU YA SEX YAKE.CHAMA ILITAKIWA KIPANGE MIKAKATI YA KUWAJENGEA UWEZO WANAWAKE ILI WAWEZE KUFIKIA STANDARDS NA KUCOMPETE NA WANAUME NA KUWASHINDA.NA NAAMINI HIYO INGAKUWA BUSARA.KULIKO KUWABEBABEBA TU ILIMRADI KUFIKIA 50%.TUJIULIZE SWALI,MCHI ZILIZO ASISI MAMBO YA GENDA EQUALITY ,NI NGAPI IMEFIKIA FIFTY-FIFTY? YANI NGOMA WAPIGE WENZENU NINYI MCHEZE BILA KUTAFAKARI MAANA YA HIYO NGOMA?KATIBA YA SASA HAIJAMKANDAMIZA MTU KWA JINSIA YAKE.SASA,KWA NINI MUANZE KUJADILI KUWEKA 50% KWENYE KATIBA???KIKWETE SASA HIUVI NI RAIS.NADHANI SASA ANAONA KWAMBA KUWA RAISI NI ZAIDI YA GENDER.YEYE MWENYEWE TU MWENYE MIAKA MINGI KWENYE SIASA TANGU ENZI ZA MWALIMU,LAKINI BADO NCHI INAMUUMIZA KICHWA.KUKABIDHIWA NCHI SIO MCHEZO.HEBU TAFAKARINI.TUMIENI MUDA WENU KUJADILI MAMBO YA MSINGI YA MAENDELEO YA NCHI,NA CHANGAMOTO ZINAZOLIKABILI TAIFA KWA UJUMLA,IKIWA NI WANAUME,WANAWAKE,PAMOJA NA WATOTO.SIO KUA ABSORBED NA A SINGLE SIDE TU,KWA SABABU ZA KISIASA.NA SIO KUKURUPUKA KUONGEAONGEA KWENYE VYOMBO VYA HABARI.MNAJISHUSHIA P.KWA SASA NAMPONGEZA JK ANGALAU AMEBADILIKA.BADO NA WEWE NAPE.
TAFAKARI....................CHUKUA HATUA...........
 
Kwa kuwa Nape ni msahaulifu anaweza kukana hajawahi kuwa mwanachama wa CCJ na tena hajawahi kusema JMK akiteuliwa kuwa rais atahama nchi. Napeeeee! Unaandamwa na laana za wazee hata kama kuna watu wanakutia moyo wanakudanganya. Kubali ulipotoka uombe msamaha maisha yaende. Jiulize kama leo JMK asingekuwa amekusamehe si ungeshasahaulika? Tatizo lako hujifunzi. Huo ni ushauri wa bure. Unapokuwa kwenye ofisi kubwa kama ya kwako unaachana na mambo ya kijiweni na ku-behave like an adult kama ulivyoshauriwa na Mawio. Kama unataka mambo ya kijiweni achia ofisi za watu. Wewe umekuwa gunia la misumari kwenye chama. Jipime kisha uamue. Fanya maamuzi ya busara. Nimesoma huu uzi kwa makini na kama wewe umefanya hivyo nadhani umeelewa watu wanakuona vipi. Tafakari chukua hatua sahihi.
 
Naamini Nape kalala ataukuta ushauri wako, but nina link ya gazeti la Mtanzania mnaloli reffer hapa likiomba radhi kwa kumnukuu vibaya Nape. Sasa kwa kuwa Bavicha majanga hilo hamkuliona. Nalo mtadai imechakachuliwa
Tupe link ya gazeti hilo likiomba radhi. Huu ni uongo uliokubuhu. Nasoma sana magazeti lakini unalolisema sijaliona. Labda lilinipita bila kuliona, sasa liweke hapa tulione kupitia link uliyonayo.
 
tatizo Nape amezidi kuongeaongea bila mpangilio.wanaume hawawagi hivyo.au hujaoa?na nahisi,kama umeoa basi ndoa yako haina amani.huwezi kuwa longalonga namna hiyo,na mke wako aweje?mwanaume hukaa chini na kutafakari kabla ya kuzungumza.sio siri nape unakera sana.na katika watu ambao hawafai kuwa viongozi msikitini,kanisani wala katika jamii ni wewe.kaa chini wazee wakupe hekima.ccm ina wazee wenye busara kama akina sitta,warioba,na warioba.ni vizuri ukae chini ya miguu yao ujifunze.huwezi kuja kuwa kiongozi mzuri kama usipojifunza kupata hekima ya ulimi.usikurupuke mzee.unajua,biblia inasema,"hata -------- akinyamaza huonekana mwenye hekima".kinyuma cha hii sentensi ni nini?TAFAKARI........CHUKUA HATUA.
mheshimiwa jk ailikuwa muongeaji sana hapo mwanzo,matokeo yake akaanza kuona kuwa anaanza kujichanganya.mfano.alisema ana list ya wauza unga..na sasa mchi inaharibiwa na hao wauza unga na hachukui hatua yoyote.huoni kuwa ni tatizo?sisi wananchi tutamwelewaje?angalia alivyotangaza vita na mafisadi, na watu tukamwamini sana,sassa mbona kashindwa?BAADA YA HAPO MMEANZA SERA YA HAMSINI KWA HAMSINI(genda equity).HEBU JIULIZE,KWA NINI MNATAKA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA DAKIKA MOJA?KWA NINI MFIKIRIE KU COMPROMISE STANDARDS KWA SABABU TU YA GENDER? HATUWEZI KUMCHAGUA MTU KWA SABABU YA SEX YAKE,NA PIA HATUWEZI KUMKATAA MTU KWA SABABU YA SEX YAKE.CHAMA ILITAKIWA KIPANGE MIKAKATI YA KUWAJENGEA UWEZO WANAWAKE ILI WAWEZE KUFIKIA STANDARDS NA KUCOMPETE NA WANAUME NA KUWASHINDA.NA NAAMINI HIYO INGAKUWA BUSARA.KULIKO KUWABEBABEBA TU ILIMRADI KUFIKIA 50%.TUJIULIZE SWALI,MCHI ZILIZO ASISI MAMBO YA GENDA EQUALITY ,NI NGAPI IMEFIKIA FIFTY-FIFTY? YANI NGOMA WAPIGE WENZENU NINYI MCHEZE BILA KUTAFAKARI MAANA YA HIYO NGOMA?KATIBA YA SASA HAIJAMKANDAMIZA MTU KWA JINSIA YAKE.SASA,KWA NINI MUANZE KUJADILI KUWEKA 50% KWENYE KATIBA???KIKWETE SASA HIUVI NI RAIS.NADHANI SASA ANAONA KWAMBA KUWA RAISI NI ZAIDI YA GENDER.YEYE MWENYEWE TU MWENYE MIAKA MINGI KWENYE SIASA TANGU ENZI ZA MWALIMU,LAKINI BADO NCHI INAMUUMIZA KICHWA.KUKABIDHIWA NCHI SIO MCHEZO.HEBU TAFAKARINI.TUMIENI MUDA WENU KUJADILI MAMBO YA MSINGI YA MAENDELEO YA NCHI,NA CHANGAMOTO ZINAZOLIKABILI TAIFA KWA UJUMLA,IKIWA NI WANAUME,WANAWAKE,PAMOJA NA WATOTO.SIO KUA ABSORBED NA A SINGLE SIDE TU,KWA SABABU ZA KISIASA.NA SIO KUKURUPUKA KUONGEAONGEA KWENYE VYOMBO VYA HABARI.MNAJISHUSHIA P.KWA SASA NAMPONGEZA JK ANGALAU AMEBADILIKA.BADO NA WEWE NAPE.
TAFAKARI....................CHUKUA HATUA...........

Duh jamani mhhh .....!
 
Video ya Nape imehaririwa. Huhitaji shahada ya Chuo Kikuu kujua hilo. Inawezekana kweli hakutamka haya anayodaiwa kutamka, lakini hilo haliondoi ukweli kwa video yake imehaririwa na kukatwa vipande vipande. Na kama alitamka kama inavyodaiwa, basi matamshi yake yamo katika vile vipande vilivyokatwa.

Sehemu ya mwanzo ya video hiyo haipo, wala sehemu ya katikati, wala sehemu ya mwisho. Inawezekana kabisa kuwa katika sehemu zilizoondolewa za video hiyo ndizo zenye kile anachodaiwa kukitamka. Kama anataka tumwamini, aiweke video yote, na wala siyo vipande vyake. PERIOD. Othrewise nitaungana na wale wanaodai kuwa alitamka maneno ya kuwataka baba na babu zetu wafe.
 
Du! Kumbe hata big baby umevundua mwisho wa uongo ni aibu? Afadhali. Pengine utajirekebisha. Unatakiwa vilevile kujua. Kuwa mwisho wa kuropoka ni aibu.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Mkuu, Comment yako ina m touch Nape Nnauye Directly, sasa sijaona Mantiki ya wewe Kuni Quote Mtoto wa Kiume Mie
 
Back
Top Bottom