...Mwisho wa UONGO ni AIBU!

...Mwisho wa UONGO ni AIBU!

Bavicha ni janga la Taifa. Kwao uwongo ndiyo nguzo katika harakati zao za kuudanganya umma.

Na wendawazimu ni kujibu/ kuchangia hoja kwa 'point' isiyohusiana na mjadala. pia ni akili ndogo, tena mihemko ya kike. mtu aliweka hoja nukuu, mhusika amejibu, aliyeweka hoja awali, ameweka tena kumkanusha mhusika, wewe unakuja na point hata haina uhusiano na kinachoongelewa. si lazima uandike, wakati mwingine busara ni kusikiliza wengine bila kuongea. Hivi kwa nini hampevuki?
 
Bavicha ni janga la Taifa. Kwao uwongo ndiyo nguzo katika harakati zao za kuudanganya umma.

acha kumfanya binadmu mwenzako BWANA, badilika ndugu tumia akili acha kutumia spinal cord kufikiri
 
Kwa Ben Saanane, Mawio na wote wanaowatuma, MSISAHAU MWISHO WA UONGO AIBU!

Huu ndio ukweli wa nilichosema juu ya wazee. Sasa pimeni wenyewe aibu ya nani kwa uzushi wenu! Si kila unacholishwa unabeba!

Kikwete akipitishwa kugombea naihama nchi...tayari au bado?
Wazee wanaopinga serikali tatu wanasubiri kufa.....he!
Ikulu sio wodi ya wagonjwa....hamuoni wagonjwa mahututi wanavyousaka urais makanisani.....mmmmmhhhhh
 
Last edited by a moderator:
Na wendawazimu ni kujibu/ kuchangia hoja kwa 'point' isiyohusiana na mjadala. pia ni akili ndogo, tena mihemko ya kike. mtu aliweka hoja nukuu, mhusika amejibu, aliyeweka hoja awali, ameweka tena kumkanusha mhusika, wewe unakuja na point hata haina uhusiano na kinachoongelewa. si lazima uandike, wakati mwingine busara ni kusikiliza wengine bila kuongea. Hivi kwa nini hampevuki?

- He! he! he! yaani hii topic kumbe bado inaendelea tu sasa kuarasa 12 Majanga haya!!

Le Mutuz
 
Idd Amin Dada alisukumwa na hisia hizi hizi za ubaguzi dhidi ya wazee akaishia kuwafanyia unyama.Usipoweka haya mambo clear au kuomba radhi utaishia kuonekana kwa haiba ile ile ya IDD AMIN Dada.Usipokua makini kuanzia leo utaishia kujenga image ya IDD AMIN DADA

-Usikubali kufanana na naibu katibu mkuu wako kwa kukurupuka na kupanga mambo ya kifedhuli hadi kujitengenezea haiba ya SAVIMBI.

Sio kitu kizuri kwa kizazi hiki na vizazi vijavyo.Hebu tuusafishe uwanja wetu wa kufanya siasa za kistaarabu bila ubaguzi kaka.Kuanzia hapo tutajifunza kufanya siasa zenye tija kupitia sera sahihi zitakazowasaidia wazee wetu badala ya kuwadharau na kuwanyanyapaa kuwa wanasubiri kufa.

- Ben ungeomba Mwenyekiti wako aombe radhi kwa kusema anajua aliyerusha bomu Arusha na baadaye kukataa kuwa hamjui, ungemuomba Katibu wako aombe radhi kwa kupora mke wa watu, kwa kuasi kiapo chake kwa Mungu kwamba atakuwa padri na kumtii Mungu, unapoteza muda mwingi kujali ya wengine wakati ndani mwako kumejaa madudu yale yale unyoyakataa kwa wengine, unafiki haitoshi kuwa jina jema kwako!!

Le Mutuz
 
Yani hiii kauli wameshaosikia wazee wengi na imewakosesha usingizi wazee wetu wakina MAKAMBA,MALECELA,lowasa,Mangula,Makinda na wengine.

Sijui wazee wetu wamemkosea nini NAPE.
Huyu dogo Nape nafikiri alikosa paternal love utotoni.Hiyo hali imeathiri ukuaji wake,ndo maana amekuwa na maono hasi kwa wazee wanaume.
 
Unajua kuwajibu nyie ni kupoteza muda. Namshukuru securitygurd kwa kuweka kipisi cha kwanza. Video hizi zilikuwa kwenye mitandao siku ya pili tu baada ya stori kuchakachuliwa. Wengine hapa wanadai ilikua wapi!! Weka hiyo video yako,usitishie nyau hapa!Lakini cha kufurahisha hata walioandika walishaikanusha lakini kwakukisa hoja mnahangaiaka sanaaaaa! Poleni sina muda wa kupoteza kuwajibu tena kwa hoja mfu!
Kama ulijua hungeweza kuhimili hoja na vioja vya wana-jamvi kwanini ukauleta uzi huu? Ukiyavulia maji nguo yaoge, kwanini sasa unakimbia? Kama huna muda wa kupoteza kujibu watu, ulipata wapi muda wa kuanzisha uzi huu!? Au unataka na mimi niamini kuwa kweli wewe huwa unakimbia hoja!?
 
Mods, kama kweli tuna hakikishiwa kuwa JF sio mahali pa mtu kuleta uongo wake na kuendelea kudunda tu humu jukwaani, ningependa huyu mtu anaeitwa Ben Saanane awajibishwa kwa kuleta taarifa ya uongo humu jamvini.

cc: Paw, Buchanan, Moderator

At least ungetumia hata akili ya kuendea haja kubwa ukajua kwamba ben saanane aliweka source ya habari yake!
Kila siku zinavyozidi kwenda mbele ndio nazidi kukushushia heshima kwa uwezo wako mdogo wa kujenga hoja

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Naona nape kawateua ACHEBE na MWANADIWANI kutetea utumob wake!

Thread yoyote ya nape lazma ahakikishe kuna vijana wamekuwa assigned kuitetea!

Well done,do your job

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Ni akili ndogo sana tu unayohitaji kujua kwamba Nape anapotumia neno "babu" kwa Dkt. Slaa analitumia kwa lengo la kumkebehi au kumdhalilisha kama sio kumtusi. Je, Dkt. Slaa ni babu kwa Nape kinasaba au kiumri? Kama ni kinasaba basi Nape yuko sahihi asilimia mia na namuunga mkono lakini kama anamwita babu kwa sababu za kiumri,je ni kweli kwamba Nape amemwona Dkt. slaa ndo pekee mwenye umri wa kuitwa babu Tanzania nzima? Nimemsikia Nape mara nyingi akiwahita Mzee wangu King'unge,Mzee wangu Malicela, Mzee Makamba, n.k. ni kipi kinachomsukuma kumwita Dkt. Slaa tofauti na wengine? Au anamweshimu saaana Dkt. Slaa kuliko hao wengine, hii hahitaji saikolojia kubwa kuona dharau za Nape kwa Dkt. Slaa. Well, tuseme ya babu Slaa ni kwa sababu ya umri,na ya kwenye hii Thread anaposema Ben SaaTisa, je unaitafsri vipi? Ebu jaribuni kuwa na fikra chanya na hata mtu anapofanya upuuzi mwelezeni, mkosoeni ajirekebishe ndio ustaarabu na ukomavu tunaouhitaji katika jamii yetu ya sasa. EBU TUACHE ULIMBUKENI HATA KWENYE MAMBO YA KIPUUZI ETI TUNAJIFANYA HAZIMO, ILA KAMA HAZIMO KWELI HAPO SIO KOSA LENU ENDELEZENI HUO UPOFU WENU WA FIKRA - HASARA NI KWENU MNAOFIFISHA MAWAZO YENU NA VIZAZI VYENU.

Lonesome,
Bila kuathiri majibu ya Nape akiamua kuja kujibu lakini, hivi mwanaume mwenye mtoto mwenye watoto naye anaitwaje kama sio Babu?!! Dr. Slaa ana watoto wenye watoto nao, kama sio babu tumwite bibi? Linageukaje kuwa tusi hili???!
 
Masikio yako huwa yanasikia kwa kutumia nini na coordination ya unachosikia na ubongo wako una hakika iko sahihi kweli au kuna neurons ambazo zime-trip, nakupa pole! eti na wewe na mlezi wa chama. Mbowe amesema mara nyingi na amerudia tena na tena kwamba polisi ni watuhumiwa na hawawezi kumtaka awakabidhi ushahidi ila wakutane mahakamani. Nafikiri inabidi umuulize ndugu yenu Mwigulu Nchemba aliyetangaza kuwa msipoichagua CCM mtakufa kama ndama na kweli kesho yake watu wakalipuliwa kama wanyama, mtakufa mkinywa damu za watu.....shen.zi zenu. Well, nafikiri umshauri pia baba yako kwanza kabla haujamwona katibu wa cdm, halafu na mwenyekiti wako ambaye anatesa hadi familia za watu mahabusu mwambie aache. Kama kuna madudu ndani ya cdm basi ni kutu na uozo mtupu kwako - CCM kama alivyowahi kusema Mzee Nyerere kuwa CCM kumeoza. Ni kweli hata akili yako inaakisi hilo!!

- Ben ungeomba Mwenyekiti wako aombe radhi kwa kusema anajua aliyerusha bomu Arusha na baadaye kukataa kuwa hamjui, ungemuomba Katibu wako aombe radhi kwa kupora mke wa watu, kwa kuasi kiapo chake kwa Mungu kwamba atakuwa padri na kumtii Mungu, unapoteza muda mwingi kujali ya wengine wakati ndani mwako kumejaa madudu yale yale unyoyakataa kwa wengine, unafiki haitoshi kuwa jina jema kwako!!

Le Mutuz
 
Kuna andiko moja linasema ".....mpumba.v.u hata ukimtwanga kwenye kinu upumba.v.u wake hautamtoka........" kwa hiyo tuko kwenye experimental process ili tuwathibitishe upum.mba.vu wenu. After all due processes have failed, we are on the last resort, mate, busy grinding your heads in laboratory mill......wait for the results!!

- He! he! he! yaani hii topic kumbe bado inaendelea tu sasa kuarasa 12 Majanga haya!!

Le Mutuz
 
- Ben ungeomba Mwenyekiti wako aombe radhi kwa kusema anajua aliyerusha bomu Arusha na baadaye kukataa kuwa hamjui, ungemuomba Katibu wako aombe radhi kwa kupora mke wa watu, kwa kuasi kiapo chake kwa Mungu kwamba atakuwa padri na kumtii Mungu, unapoteza muda mwingi kujali ya wengine wakati ndani mwako kumejaa madudu yale yale unyoyakataa kwa wengine, unafiki haitoshi kuwa jina jema kwako!!

Le Mutuz

Always out of Topic!

Ben atawapelekesha sana kwa sababu viongozi wote hapo Lumumba hamna uwezo wa kushindana naye kwa hoja.

Kilichobaki unajibu mahoka kama ulivyoandika hapo juu.

Kikongwe mzima mwenye miaka 60 unajidhalilisha kujibu utumbo kwa hoja ya Ben ambaye kiuhalisia ni sawa na mwanao wa kumzaa.

Jitambue uonekane mtu mzima.Unatia aibu sana wazee wenzako.
 
Kweli mwisho wa uongo ni aibu ndo maana hata mbinu za ugaidi zilizokuwa zina fanywa na ccm mwisho wake umekuja kuwa aibu kwa mwigulu nchemba nape na Maccm yote.
 
- He! he! he! yaani hii topic kumbe bado inaendelea tu sasa kuarasa 12 Majanga haya!!

Le Mutuz

Mtu akikusoma anaweza kudhani ni kijana mwenye umri unaolingana na Ben Saanane.

Akiambiwa wewe ni mzee wa miaka 60 anaweza kuzimia kwa shinikizo la damu.
 
Naona nape kawateua ACHEBE na MWANADIWANI kutetea utumob wake!

Thread yoyote ya nape lazma ahakikishe kuna vijana wamekuwa assigned kuitetea!

Well done,do your job

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Wala hajateua watu bali ni yeye mwenyewe katika ID tofauti. Hamjajua tu?
 
- Ben ungeomba Mwenyekiti wako aombe radhi kwa kusema anajua aliyerusha bomu Arusha na baadaye kukataa kuwa hamjui, ungemuomba Katibu wako aombe radhi kwa kupora mke wa watu, kwa kuasi kiapo chake kwa Mungu kwamba atakuwa padri na kumtii Mungu, unapoteza muda mwingi kujali ya wengine wakati ndani mwako kumejaa madudu yale yale unyoyakataa kwa wengine, unafiki haitoshi kuwa jina jema kwako!!

Le Mutuz
Inasemakana una miaka zaidi ya hamsini...bado yanayokutoka kichwani mwako ni haya...aisee kweli Majanga
 
yaani hili jamaa nepi ni kilaza ana akili kama za mwenyekiti wake very poor yaani ni dhaifu
 
Back
Top Bottom