...Mwisho wa UONGO ni AIBU!

...Mwisho wa UONGO ni AIBU!

Nape anadhani tuko enzi za kusoma PGM chuo cha ualimu,sio sasa utadanganya tena watanzania kwa maneno.

Amesahau teknolojia imekua.amesahau kuwa unaweza kurekodi sauti kwa simu ya kiganjani na video ya tukio zima.
Lakini kwa vile nape yupo kianalojia wenzao chadema wapo kidigitali zaidi.

Mwanadiwani na wengineo kwa vile mkuu wao wa lumumba kaongea hata liwe baya watamuunga mkono.
Ugonjwa mbaya kuliko wote duniani ni ugonjwa wa kutojitambua

Kanusheni basi hajasema wanaopinga serikali mbili hawana akili timamu.
Nape mdogo wangu tulia kajifunze siasa za kistaarabu kwa wenzio unaposafiri..achana na siasa za kiswahili swahili

Ushauri wa bure..

Kwa vile unaongea bila nukta jaribu kuandika hotuba zako.
Nimeziona hotuba zote mbili zikiwa zimeandikwa.Tatizo lenu ushahidi ukiletwa mnakimbia
 
Dogo hata sie wabeba mabox tunajua Nape anawapasua kichwa sana Magwanda hanchelewi kum Denis Msaki. Anasababu gani ya kuja na PenId kama wewe wakati huwa anakujankwanjinanlake kama alivyofanya hapa? Kama kidume njoo kwa jina lako kwanini unajificha!

Poleni vojana mnao kumbatia ccm kwaajili ya matumbo yenu.hata nape mwandosya anaujua ukweli ila uchumia tumbo wake ndio unao msumbua.shame on you!
 
Mods, kama kweli tuna hakikishiwa kuwa JF sio mahali pa mtu kuleta uongo wake na kuendelea kudunda tu humu jukwaani, ningependa huyu mtu anaeitwa Ben Saanane awajibishwa kwa kuleta taarifa ya uongo humu jamvini.

cc: Paw, Buchanan, Moderator

Unaafikiri Moderators ni sawa kama mnavyowatuma DPP,RPCs,OCDs,TISSs kuwatekelezea mambo yenu, hapa unatakiwa uje na hoja madhubiti kwani alichokifanya Nape sio sahihi kwa nini kaleta kipeace cha Video clip badala ya kuleta full clip, tunataka Nape alete hiyo full clip baada ya hapo ndiyo uje na hii hoja yako.
 
Hiyo video imetengenezwa na mwigulu hahaha , hiyo video ni fake..magamba yameshikwa pabaya....shame on you nape mwandosya. Kwanza nape mwenyewe ashajichokea basi tuu ni vile yuko ccm kwa maslahi binafsi.uchumia tumbo ni kitu kibaya sana.kawadanganyeni wajinga.ben saa8 ni mwiba mchungu sana kwa magamba.
 
Umejitahidi kuweka link vizuri lakin naskia makelele tu hakuna kinachosikika....

Tatizo inaweza kuwa nikifaa chako unachosikilizia, mimi mbona nimeisikiliza yote vizuri kabisa. Mavitu ya kisasa yana ma ekwalaiza. Uko wapi weyee?
 
Bila kutumia uongo na ahadi za kitapeli Chadema hawawei kupata wateja

Hahaha hahaha hahaha hapo una maanisha ccm.hayo uliyosema yote ccm ndio huyafanya.chris lukosi unasikitisha sana.kisa unataka tenda toka kwa serekali ya magamba ndio unauza utu wako namna hii? Kweli njaa ni mbaya sana.haya hebu katimize ile ahadi uliyoahidi kwa mama wa marehemu mwangosi. Huenda ukabarikiwa na Mungu kuliko huu ufedhuli na kuuza utu wako ni aibu kijana kutumika kama condoms.
 
Bavicha ni janga la Taifa. Kwao uwongo ndiyo nguzo katika harakati zao za kuudanganya umma.
Haha, hii video aliyoleta Nape nimeipata pia kwa W. J. Malecela. Nikaishia kucheka tu, bila hata ya kujibu kitu. Naona na Nape naye kaingia kwenye mtego huo huo. Bila shaka Wiliam ndiye aliyekupa hii video uiweke.

Hivi nyie akina Nape Nnauye na Lumumba street including MwanaDiwani huwa mnadhani kwamba humu JF watu wote ni wajingawajinga kama ninyi? Hivi mnataka kumchezea nani akili? Kama wewe Nape hii video ulikuwa nayo tangu siku ile magazeti ya Mtanzania, Tanzania daima na Mwananchi yalipoandika habari yako, kwanini hukuitoa wakati huo?

Ngoja nikwambie kitu Nape, video uliyoiweka hapa ilikuwa uploaded Youtube tar 29 July, magazeti yameandika habari yako tar 31 July. Kwanini hukutuwekea hii video tangu siku hiyo? Ilikuwaje ukaja kukanusha kauli yako hapa ukiwa maneno matupu? Unayetaka kumdanganya hapa ni nani?
 
Last edited by a moderator:
Ndo zenu mkikosa hoja huwa mnadandia uongo wa hovyo. Mmeambiwa hapo Mwisho wa uongo aibu! Boss wenu kaumbuka kwa kutengeneza uongo! Chutameni! Shame on you!
Umefikia wapi kuhusu hii ahadi?
Kwa hakika sasa si siri tena siku za gamba kubwa CCM Edward Ngoyaye Lowassa a.k.a Fisadi wa Richmonduli ndani ya CCM zinahesabika.

Hii ni kutokana na ukweli kwamba kifikia tar 12/02/2013 Kamati Kuu ya CCM itakuwa imeundwa na baada ya kupata pigo kubwa kwa Makamu Mwenyekiti Mzee Mangula, Katibu Mkuu Kinana na Kurudishwa kwa adui yake mkubwa Nape basi pigo la mwisho kwa EL ni uundwaji wa CC ambao kwa vyanzo vya jikoni kabisa..hakuna mtu wake hata mmoja.

Ikumbukwe vikao vitatu vya mwanzo vya uchujaji majina ya urais ni Sekretarieti chini ya Kinana na Nape, Kamati ndogo ya Maadili chini ya Mangula na Kamati Kuu chini ya JK...na kote huku hakuna kupiga kura ni mjadala tu then maamuzi..

Haya niyasemayo yalimkuta Lowassa mwaka 1995 aliondolewa kwenye kinyang'anyiro bila kura, yalimkuta pia Malecela aliondolewa bila kufilishwa kwenye kura...historia itajirudia 2015.
 
Tuseme Nape Uliteleza Ulimi, haya sasa tuambie CCM mnafuata Itikadi Ipi kwa sasa baada ya ile ya siasa ya ujamaa na kujitegemea?...
 
Turudi sasa kwenye hoja mkuu...yapo wapi hayo maneno mnayodai Nape kasema?
Dah! Ghafla nimepanda toka kuitwa dogo mpaka kuwa "Mkuu!" Ndugu yetu huyu ana mambo kweli kweli. mara wengine awaite "Babu" mara "Dogo" vyeo vya utotoni na ukiwa na akili zinapwaya ni matatizo kweli kwenye jamii.

Nape Nnauye kuna njia moja rahisi kabisa ya kujitoa hili fupa kooni. Njia yenyewe haigharimu muda au pesa nyingi kuliko zinazotumika katika kupanga upya, kuandaa na kueneza propaganda ambazo jinsi zinavyofanywa na mtu wa upeo wa kadri na kumbukumbu ndogo zinazidi kumbomoa badala ya kumsafisha. Njia yenyewe ni hii:

Kama wewe mwenyewe wahiamini hii clip kwamba ni "bona fide genuine" katika sakata lako, na kweli umesingiziwa hukusema, basi yashitaki magazeti yote yaliyopotosha matamshi yako. Mshtaki pia Mzee Mengi aliye tweet kuuonyesha upumbafu uliokithiri katika yale matamshi.

Usipofanya hivyo, haya mengine yote unayofanya ni mbwembwe tu na propaganda za mtaani
 
Back
Top Bottom