Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
Wewe tu hujui kupenda au unaiga mapenzi ya tamthilia (preta na paco).....
Lakn wenzio tuna yale ya ukweee toka kwa Mungu...kitu AGAPE...
Umesema kweli aseee....
Wewe tu hujui kupenda au unaiga mapenzi ya tamthilia (preta na paco).....
Lakn wenzio tuna yale ya ukweee toka kwa Mungu...kitu AGAPE...
khaaaaa bby sasa unaanza kugawa wake zako??? mhh! nakupenda pia sugar babu wangu!
Wewe tena, hivi kababy boy kangu kanaendeleaje?khaaaaa bby sasa unaanza kugawa wake zako??? mhh! nakupenda pia sugar babu wangu!
Umesema kweli aseee....
![]()
Erickb52 enjdelea kuwa mtiifu maana nilishaona dalili za kuja kupiga chabo room kwangu wakati wa usikuKwa Yummy naogopa Mr Rocky asijenimaliza aisee siunajua keshampa mambo hadi kitumbo kimeibuka?
Lol bora nibaki zangu kwa Valu Valu wangu BADILI TABIA na Remmy
Hahahaaaaa sipigi tena coz nishaata maufundi toka kwa Erotica na cacico so hapa nimebakiza kaazi tu na ukaguzi hadi Asprin akose wa kumkagua coz wote watakuwa washakimbilia kwanguErickb52 enjdelea kuwa mtiifu maana nilishaona dalili za kuja kupiga chabo room kwangu wakati wa usiku
Nitatoboa hayo macho na msumari
Hahahahaa kwani nina kosa gani?Halafu kuna mke wako nimekutana nae Meatu anasema ulimpa mimba na ukamkimbia analelea mapacha watatu peke yake huko meatu
Jiandae aise ukakomboe watoto wako maana wanaangamia aise
Kumbe Erickb52 ulikuwa mchafuzi eeehh
jichekee mwaya, maana! khaaaa!Heheheeheeee
mwenzangu ndiye mimi haswaaaaaa, tena ni triplets hao, huwezi amini, baba yao mmoja kamuita klorokwini khaaaaaa!Hahahaaa cacico ni picha yako hii?
Hahahahaa kwani nina kosa gani?
Mi nimekamilisha maandiko ya kuijaza dunia
Hehehee nimeambiwa nawe Ijumaa ulipewa hifadhi kwa muda the
Hatuchekani Mr Rocky
triplets wanaendelea vema papito! wewe tu.Wewe tena, hivi kababy boy kangu kanaendeleaje?
![]()