Mwendeshaji na Mshiriki wa Zinduna Show Wikii hii

Erickb52

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
18,539
11,442
Wapendwa, mwandaaji wa Zunduna Show bibie Zinduna ameniachia jukumu la kuchagua atakayeendesha kipindi na atakayekuwa mgeni so nafikiria haya:
Mwendeshaji awe Bishanga na mgeni awe The secretary ila nahofia ngumi kuzuka katikati ya kipindi
Mwendeshaji awe platozoom na mgeni awe charminglady -Nahofu wanabembelezana kurudiana
Mwendeshaji awe Mr Rocky na mgeni awe Yummy -Hawa nahisi watazungumzia mimba yao na Kijacho chao
Mwendeshaji awe Erotica -Mh nahofia atabadili Chit-Chat kuwa Jukwaa la wakubwa
Mwendeshaji akiwa Kaizer na Mgeni CUTE -Kaizer atamtongoza Cute muda wote hadi aharibu kipindi
Mwendeshaji akiwa beibe nasty na mgeni Judgement -Hawa nahisi watazungumzia Sato na Sangala tu
Mwendeshaji awe mtu chake na Mgeni Preta -Heheheee TANMO na KakaKiiza wataharibu show kwa wivu
Mwendeshaji akiwa cacico na mgeni Young_Master Mh hawa sijajua kama hawana visasi
Mwendeshaji akiwa Asprin na mgeni Catherine nahofia anaweza fanya ukaguzi katikati ya Show
Mwendeshaji akiwa sweetlady na Mgeni awe Kongosho -Watabaki kupiga umbea tu lol
Mwendeshaji akiwa BADILI TABIA na mgeni BAGAH -hawa hawajatulia show itanoga
Mwendeshaji awe Smiling Saint -Atamsahau mgeni na kuanza safari zake

Au natamani mimi niwe Mwendeshaji na Mgeni awe Amyner ila nahofia wambea kuniharibia tena
Au Roulette awe Mwendeshaji na Mgeni awe Invisible Lol nahisi show itakuwa bomba sana
Jamani nawaombeni mnisaidie kupata wahisika kabla ya jumamosi na watakaochaguliwa wahakikishe wanaandaa show mapema!
Kwa niaba ya Zinduna naomba kuwakilisha

Mwendeshaji akiwa cacico na mgeni Young Master Mh hawa sijajua kama hawana visasi
Mwendeshaji akiwa Asprin na mgeni Catherine nahofia anaweza fanya ukaguzi katikati ya Show
Mwendeshaji akiwa sweetlady na Mgeni awe Kongosho -Watabaki kupiga umbea tu lol
Mwendeshaji akiwa BADILI TABIA na mgeni BAGAH -hawa hawajatulia show itanoga
Mwendeshaji awe Smiling Saint -Atamsahau mgeni na kuanza safari zake

Au natamani mimi niwe Mwendeshaji na Mgeni awe Amyner ila nahofia wambea kuniharibia tena
Au Roulette awe Mwendeshaji na Mgeni awe Invisible Lol nahisi show itakuwa bomba sana
Jamani nawaombeni mnisaidie kupata wahisika kabla ya jumamosi na watakaochaguliwa wahakikishe wanaandaa show mapema!
Kwa niaba ya Zinduna naomba kuwakilisha
Erickb52

naomba niendeshe mimi, na mgeni awe cacico tukumbushiane enzi zetu. Tumetoka mbali sie...

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
naomba kuwa msikilizaji, maana kitakachotokea baada ya hapo, ni kung'oana meno na kucha hadharani na si msituni lol!
 
Wapendwa, mwandaaji wa Zunduna Show bibie Zinduna ameniachia jukumu la kuchagua atakayeendesha kipindi na atakayekuwa mgeni so nafikiria haya:
Mwendeshaji awe Bishanga na mgeni awe The secretary ila nahofia ngumi kuzuka katikati ya kipindi
Mwendeshaji awe platozoom na mgeni awe charminglady -Nahofu wanabembelezana kurudiana
Mwendeshaji awe Mr Rocky na mgeni awe Yummy -Hawa nahisi watazungumzia mimba yao na Kijacho chao
Mwendeshaji awe Erotica -Mh nahofia atabadili Chit-Chat kuwa Jukwaa la wakubwa
Mwendeshaji akiwa Kaizer na Mgeni CUTE -Kaizer atamtongoza Cute muda wote hadi aharibu kipindi
Mwendeshaji akiwa beibe nasty na mgeni Judgement -Hawa nahisi watazungumzia Sato na Sangala tu
Mwendeshaji awe mtu chake na Mgeni Preta -Heheheee TANMO na KakaKiiza wataharibu show kwa wivu
Mwendeshaji akiwa cacico na mgeni Young_Master Mh hawa sijajua kama hawana visasi
Mwendeshaji akiwa Asprin na mgeni Catherine nahofia anaweza fanya ukaguzi katikati ya Show
Mwendeshaji akiwa sweetlady na Mgeni awe Kongosho -Watabaki kupiga umbea tu lol
Mwendeshaji akiwa BADILI TABIA na mgeni BAGAH -hawa hawajatulia show itanoga
Mwendeshaji awe Smiling Saint -Atamsahau mgeni na kuanza safari zake

Au natamani mimi niwe Mwendeshaji na Mgeni awe Amyner ila nahofia wambea kuniharibia tena
Au Roulette awe Mwendeshaji na Mgeni awe Invisible Lol nahisi show itakuwa bomba sana
Jamani nawaombeni mnisaidie kupata wahisika kabla ya jumamosi na watakaochaguliwa wahakikishe wanaandaa show mapema!
Kwa niaba ya Zinduna naomba kuwakilisha
Erickb52

nikisema mmepewa libwata mnanisema haya sasa idadi ya mademu ni wengi ma men wachache
 
Mimi na mtu chake hatuwezi kufanya kazi pamoja labda tuwe pekee yetu kwani huyo mtu chake mchokozi lakini nitaomba kwa Preta kama yupo tayari kwenye hii show!!Lakini mimi nitamshawishi asiikubali kwani.....kitakachoendelea huko....mimi simo!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu weekend hii unavyoianza sijajua vizuri kama
utapona kifungo.

Nisikupendelee kwa nini? Zamani ulikuwa mtoto mzuri, mamako alikupenda sana. siku hizi umekuwa mkubwa hutaki kufuata nyayo za mama yako kwenye malezi...... kwanini lakini huthamini wanao?

attachment.php
 
Erickb52 na Kongosho ingekuwaje.

Wapendwa, mwandaaji wa Zunduna Show bibie Zinduna ameniachia jukumu la kuchagua atakayeendesha kipindi na atakayekuwa mgeni so nafikiria haya:
Mwendeshaji awe Bishanga na mgeni awe The secretary ila nahofia ngumi kuzuka katikati ya kipindi
Mwendeshaji awe platozoom na mgeni awe charminglady -Nahofu wanabembelezana kurudiana
Mwendeshaji awe Mr Rocky na mgeni awe Yummy -Hawa nahisi watazungumzia mimba yao na Kijacho chao
Mwendeshaji awe Erotica -Mh nahofia atabadili Chit-Chat kuwa Jukwaa la wakubwa
Mwendeshaji akiwa Kaizer na Mgeni CUTE -Kaizer atamtongoza Cute muda wote hadi aharibu kipindi
Mwendeshaji akiwa beibe nasty na mgeni Judgement -Hawa nahisi watazungumzia Sato na Sangala tu
Mwendeshaji awe mtu chake na Mgeni Preta -Heheheee TANMO na KakaKiiza wataharibu show kwa wivu
Mwendeshaji akiwa cacico na mgeni Young_Master Mh hawa sijajua kama hawana visasi
Mwendeshaji akiwa Asprin na mgeni Catherine nahofia anaweza fanya ukaguzi katikati ya Show
Mwendeshaji akiwa sweetlady na Mgeni awe Kongosho -Watabaki kupiga umbea tu lol
Mwendeshaji akiwa BADILI TABIA na mgeni BAGAH -hawa hawajatulia show itanoga
Mwendeshaji awe Smiling Saint -Atamsahau mgeni na kuanza safari zake

Au natamani mimi niwe Mwendeshaji na Mgeni awe Amyner ila nahofia wambea kuniharibia tena
Au Roulette awe Mwendeshaji na Mgeni awe Invisible Lol nahisi show itakuwa bomba sana
Jamani nawaombeni mnisaidie kupata wahisika kabla ya jumamosi na watakaochaguliwa wahakikishe wanaandaa show mapema!
Kwa niaba ya Zinduna naomba kuwakilisha
Erickb52
 
Erotica atafaa sana kuwa mwendeshaji maana tutaenjoy sana, weekend hii. Tutakuwa tunatazama show tukiwa kitandani Na viburudisho vyetu.
 
Back
Top Bottom