Mwendeshaji na Mshiriki wa Zinduna Show Wikii hii

Mwendeshaji na Mshiriki wa Zinduna Show Wikii hii

Hapo penye red ndio huwa panaleta matatizo duniani....siku hizi kweli mabadiliko...
Mapenzi siku hizi ni kizungumkuti...

avatar19506_6.gif
 
nitakuota tena leo, nimalize kabisa ndoto yangu, jana iliishia katikati lolest!
Dah cacico mi leo ntawahi sana kulala maana nataka utakaokuwa unaota twende sambamba kama Rapa na Beat
 
Last edited by a moderator:
:A S thumbs_up::bange::violin::clap2:
Hahahaaa hatuelewi kitu
Kwani ndoto huwa zinapangwa Asprin ?
Siunajikuta umeota tu eeeh?
Acha wivu hadi ndotoni mimi na wewe tena?
 
Last edited by a moderator:
Heheheeee safari hii utashangaa ndoto inaisha ila unaamua kuendelea ukiamini ndoto itaendelea heheheee
Mwaaaaa
raha ya kukuota nikuote ijumaa, ili hata nikiamka saa 4 iwe poa tu! kuliko katikati ya wiki then naamka mapema kuwahi job, khaaaa kesho don forget to tel mi about your dream.
 
Back
Top Bottom