Mwendeshaji na Mshiriki wa Zinduna Show Wikii hii

Na wewe njoo huku nikufundishe kudansi kabla ya ukaguzi

attachment.php

Hahahaaaaa.....
Ku dansi kwa hivo wala sitaki.
Bora nibaki Na ushamba wangu.
 
Afu mbona hamumuhongereshi Bishanga alivyoamua kujilipua jukwaa la siasa?.....nendeni mkamwokoe manake karibu atanyongwa!

Kuna mtu anaitwa SIMplicity,kanilipua huko jukwa la siasa kanambia....'kwenza zako mmu kwenye jukwaa lenu la ngono', yaani mpaka vimenishuka,nilitamani nimporomoshee tusi lakini nikaona mmmhhhh
 
Last edited by a moderator:

umeniua mbavu zangu, mzima wewe?
 
Kuna mtu anaitwa SIMplicity,kanilipua huko jukwa la siasa kanambia....'kwenza zako mmu kwenye jukwaa lenu la ngono', yaani mpaka vimenishuka,nilitamani nimporomoshee tusi lakini nikaona mmmhhhh

ndo kakwambia hivyo ngnja nikampe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom