Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
Tuhamishie beach mtaani hommie.... walivyo na aibu watagoma kutujoin, tunafaidi peke yetu.
Tuhamishie beach mtaani hommie.... walivyo na aibu watagoma kutujoin, tunafaidi peke yetu.
![]()
We Asprin naomba tuheshimiane kwa wake zetu originalOMG! Yaani my wives Yummy na cacico mmeamua kunifanyia usaliti hazarani namna hii? Amakweli ng'ombe wa maskini hazai. Kwahiyo nimebakiwa na mke mmoja tu mwaminifu BADILI TABIA....
Kwa hasira ntatembea mtaani uchi leo.
![]()
Best zangu Kaizer, Bishanga na Erickb52 hebu njooni mnitafutie mbadala wa hawa wake.... Nichagulieni wawili kati ya charminglady, sweetlady, Catherine, CUTE, ummu kulthum, Erotica na Amyner.
Chondechonde msimwambie Kongosho tafazali.
Tena weye nrudishie kile kivazi nlichokununulia siku ya valentine.
![]()
shemeji, mbona tena kunipalia makaa jikoni, tena makaa ya mawe??? lol!
Kwi kwi kwi kwiiiii BADILI TABIA hebu fika pande hizi uchekeee mtu anavyojipa mahopuuu!
Ama kweli wewe Asprin ni kipofu haswaaa yaani hao mabesti zako ungejua ndio wanaokuchakachulia mmmhh acha ni :shut-mouth:
OMG! Yaani my wives Yummy na cacico mmeamua kunifanyia usaliti hazarani namna hii? Amakweli ng'ombe wa maskini hazai. Kwahiyo nimebakiwa na mke mmoja tu mwaminifu BADILI TABIA....