Mwendeshaji na Mshiriki wa Zinduna Show Wikii hii

Mwendeshaji na Mshiriki wa Zinduna Show Wikii hii

Mi naomba niwe msikilizaji ila nitatupia maswali.
Nachagua Invisible na @Roullete
 
Last edited by a moderator:
Heheheheheeee BADILI TABIA umfanyie tathmin ya nini tena?

tathmini ya kina na urefu, plus upana na umemba wake jf, tathmini ya pamba zake na kili kilicho chake.... Hadi tathmini ya kuhesabu mbavu zake itafanyika.......
 
Last edited by a moderator:
miss u too mke mwanzangu.....
Nipo hoi hapa....
Huyu mwanaume atatutengua viuno....
usimuendekeze atatuua kweli, mi huwa maneno mengiiiiiiiiiiiii, lakini muda ukifika najifanya naumwa kha!
 
Dah! Kweli wee ndo hujui kufananisha kabisa... Haya mwangalie Yummy anavyoonekana kwa sasa.... Hapo akiwa na sweetlady kushoto na Catherine kulia.

Copy+of+fm+416.jpg

Asprin ndio nini kuniexpose hivyo! Mi naogopa ngumi za girlfriend wako@cacico.
 
Last edited by a moderator:
khaaaaaaa shem wangu wa ukweeeee mi mithd u leo, lol! kam basi tule, atatukuta au??

Hawezi shem si unaona hadi sa ivi bado hajatokezea? Tena nakulisha kabisaaa nini cha kujibana bana? Kha
 
Back
Top Bottom