Hahahaa usimuite maana akija hakawii kutaka cha Alasili na Jioni kama Rejao na Cantalisia
Hahahaaa Mr Rocky umenichekesha aisee lol
Unajua unaweza kuijaza dunia bila kujua wakati unajiatia raha fulani fulani na mwenzako anaonogewa na kusahau kuwa kuna kuijaza dunia lol
Hilo ni kosa la nani?
Mi sina kosa coz matumizi natoa na shida ni kwako baada ya kumtelekeza Yummy wa watu na kitumbo utadhani kameza tikiti maji
Hahahaaaaaa
Kwenda zako!
Yummy hajatelekezwa bana na niko nae hapa nampepea taratibu
Anapata raha yake bana
Sio wewe uliijaza dunia na ukakimbia majukumu aise
Nenda bana kawakomboe watoto wako wana shida sana
halafu sasa walivyofanana na wewe utafikiri usiku huo ulikuwa umemeza photocopy aise
Na aende zake kweli lol !.....anapenda kukagua huyu khaaa!
Hahahaaaaa aiseee unaua lolYummy hajatelekezwa bana na niko nae hapa nampepea taratibu
Anapata raha yake bana
Sio wewe uliijaza dunia na ukakimbia majukumu aise
Nenda bana kawakomboe watoto wako wana shida sana
halafu sasa walivyofanana na wewe utafikiri usiku huo ulikuwa umemeza photocopy aise
sweetlady mwambie bana anajua tuu kukagua akishakagua hata matokeo hataki kabisaHehehehe bora umwambie aisee lol.....anapenda kukagua afu kulea kunamshinda!
Erickb52 wanafanana na wewe bana sio mama yaoHahahaaaaa aiseee unaua lol
Wanafanana na mimi au mama yao?
Heheheeee kwani Mr Rocky huko hakuna vituo vya kulelea watoto walotelekezwa?
Labda baba yao hana uwezo wa kuwatunzaBaba yao upo kwanini wapelekwe kwenye vituo?
Hahahaaa siendi leo si hadi Vin Diesel aende safari? Remmy we unataka niende leo?
Halafu nahisi yule mdogo ni wakwako maana siamini ni wangu coz wakati anazaliwa nilikuwa sijaonana na mama yake miezi 24 so atakuwaje wangu?sweetlady mwambie bana anajua tuu kukagua akishakagua hata matokeo hataki kabisa
yeye anakimbilia kukagua kwingine
Erickb52 wanafanana na wewe bana sio mama yao
Ndo maana nakuambia ulimeza photocopy siku hiyo imetoka kama wewe
Na miguu yako ya kushoto yote hivyo hivyo
Na wana vichwa kama chako vile
Nenda bana
Kule hakuna kituo
na kwa nini wapelekwe vituoni wakati wewe baba yao upo bana unakula msosi wa zigzag wakati watoto wanalala njaa