Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
Hapo red futa upesi kabla husband Vin Diesel hajasoma......ndoa itakuwa matatani!
Nasubiri kulipwa deni!
Bila kukutaja haoni raha huyu shaibu....msamehe tu
Hapo red futa upesi kabla husband Vin Diesel hajasoma......ndoa itakuwa matatani!
Nasubiri kulipwa deni!
nikipewa show mimi siwezi kuiendesha ki chit chat. Itakua ni live broadcast kwenye skypegroup au tunatafuta namna nyingine ya kuwakutanisha live. Tenda ya kuuza popcorn na vinywaji atapewa bishanga, na kama kuna mpango wa kitihot basi preta atatununulia kwa askofu. Ikiwa nitapewa kuendesha show, nadhani nitawaalika
- zomba na matola kwa review ya miaka 7 ya utawala wa kikwete na what to expect in 2015 (refa:emt)
- ashadii na gaijin kwa mazungumzo kuhusu mila na tamaduni za africa (refa bht)
- mekatilili na askari kanzu kuhusu viwango mbali mbali vya maendeleao katika nchi za eac (refa satta)
- dr riwa na mzizimkavu kuhusu tiba za asili vs tiba za kisasa (refa king'asti)
- kiranga na william malecela kuhusu nafasi ya vijana katika siasa na uendeshaji wa nchi (refa: fjm)
- naweza pia kuwaalika kiranga na h1n1 kujadili suala la kuwepo au kutokuwepo kwa mungu (refa nn)
- bishanga na nyani ngabu kuhusu... Well, kuhusu bishanga na nn. They are a show by themselves (refa lizzy)
- nikimwalika invisible nitamwalika alone coz mimi na yeye tunatofautiana sana kimawazo. (refa: x-paster)
- another good combination ni excellent na t bag hatari washindishane ku-crack jokes (refa: Jaguar)
- mwisho kabisa naweza kuwajadilisha zinduna mwenyewe na kimbweka kuhusu picha gani zinafaa na zipi hazifai kuwekwa lile jukwaa la watu wazima (refa: boflo)
Umeshaanza kupendelea... wewe naona utafaa kujadili ha Dr, MA, MBA, MSc, PhD, Hon, Mhe Hamisi Kigwangalla kuhusu mchango wake katika maendeleo ya sekta ya afya Tanzania. Refa: Freema Agyeman
R imekuwaje unisuggest ureferee huku unajua fika nitachukua side, tena side itayomake sense. Kufurahisha genge siwezi.
Bila kukutaja haoni raha huyu shaibu....msamehe tu
Mzima?
Hehehehe Vin Diesel kwani ushajimilikishia mtoto sweetlady ?
Kaizer shem wangu wa ukweeeee! mambo niaje?? mi mithd u sana khaaaaaaaa! huyo mtu unayemtegemea uzima hapa, mwambie asikuzingue wala kukuumiza nisijemnyonya macho live! lol!Uzima wangu unamtegemea sana mtu mmoja hapa. Vip wewe?
Heheheheeee aisee mi pia nahisi niliota na nikajimaliza ila sikumbuki niliota na nani sikumbuki hope ndio ulikuwa wewe!nilibanwa sana! ila kiukweliiiiiii jana mi nilikuota, nilikuota kiavatar yako! nili-enjoyje sasa??
Heheheeeee Vin Diesel mbona unajidai aisee kuna asilimia 101 kwenye mahabati?
Halafu ujue cacico nilikumiss sana jana siku nzima sijakuona lol
nilibanwa sana! ila kiukweliiiiiii jana mi nilikuota, nilikuota kiavatar yako! nili-enjoyje sasa??
Heheheheeee aisee mi pia nahisi niliota na nikajimaliza ila sikumbuki niliota na nani sikumbuki hope ndio ulikuwa wewe!
Dah cacico umenifanya baridi iniishe hapa
nitakuota tena leo, nimalize kabisa ndoto yangu, jana iliishia katikati lolest!
😛eep::ranger::ranger:
:ranger::ranger:
:A S-frusty:😛eep: