Hehehehe Vin Diesel kwani ushajimilikishia mtoto sweetlady ?
mama kadogoo mi mithd u! mwahhhh!Inakuhuuuuu?
Sana tu tena ukome kumchanganya Vin Diesel na hao vidume vyakoInakuhuuuuu?
Sana tu tena ukome kumchanganya Vin Diesel na hao vidume vyako
Aaaaaaah si unajisemea hapa tu kisa unaogopa watu ila we ushaiga tabia za BADILI TABIAHahhahaha ujue nimecheka kwa sauti ulivyosisitiza 'sana tu' lol.....afu uache kuniharibia ndoa bana .... Vin Diesel simchanganyi na yeyote.
Vin Diesel akiondoka tu hahahaaaa kiurainiiiiii siunajua ile kitu muhimu kwa afya aiseeUtakaa sana kusubiri niachike !
Aaaaaaah si unajisemea hapa tu kisa unaogopa watu ila we ushaiga tabia za BADILI TABIA
Vin Diesel akiondoka tu hahahaaaa kiurainiiiiii siunajua ile kitu muhimu kwa afya aisee
najua hutakataa kukaguliwa coz hujazoea
Halfu leo uniote kama cacico alivyonifaniyia jana eeeeh
Hahahaaa Mr Rocky umenichekesha aisee lolKosa lako hupeleki matumizi bana
Watoto wanakula ugali wa mtama asubuhi na mapema wakati wewe mezani unajaza mara soseji mara mkate mara mandazi, mayai sijui juice na vitakataka kibao
Halafu kabati lako unajaza suti za kumwaga wakati wao wanashindia kipande cha kanga
Acha zako bana Erickb52
Kuijaza dunia ni pamoja na kuwajali aise
Hahahaa usimuite maana akija hakawii kutaka cha Alasili na Jioni kama Rejao na CantalisiaNgoja nikamuite afu uje ueleze tabia gani nilizoiga kwake!