Leo Tarehe 15 feb 2024 ni siku ya baraka Jijini Mwanza, baada ya umati wa wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki maandamano ya amani ya kupinga ugumu wa maisha n miswada mibovu ya sheria za uchaguzi.

Hiki hapa ni kituo cha Igoma.

View attachment 2904724View attachment 2904726View attachment 2904727
nafuatilia kwa karibu sana mahangaiko yenu hapo mwanza,

na actually nimeomgea na singo kigaila muda mfupi ulopita ameniambia anapata maji kidogo mahali amechemsha sana...

ameniambia kuna changamoto ya mtandao kidogo online, limepokelewa hilo..

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Screenshot_2024-02-15-11-14-44-1.png
 
Ni nani *mshauri wa ruhusa za maandamano??

Mbona siyo kawaida?

Ni kwanini sasa hivi 2024/2025 mwaka wa uchaguzi?

Kuna jambo hapa si kawaida kwetu!

Zamani ilikuwa CHADEMA wakifanya maazimio tu ya kuandamana tayari taarifa za 'kiintelijensia' zinasambaa, na kuzuia maandamano.
Kwamba hukutaka waruhusiwe kuandamana?

Kuandamana ni suala la haki kulingana na katiba yetu bila kujali ni wakati wa uchaguzi au lah.
Nafikiri unayajua yote haya, labda kama unafanya dhihaka.
 
Back
Top Bottom