Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,789
- 218,431
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Maandalizi ya Maandamano ya Amani ya kupinga Ugumu wa Maisha , dhiki na ufukara uliopitiliza , yalioambatana na kupinga Miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa bungeni yamekamilika .
Leo Naibu Katibu Mkuu wa Chadema , Benson Kigaila ameongoza kikao cha Wadau kwa ajili ya kuwezesha maandamano hayo ya amani kwa viwango vya Kimataifa
Habari nyingine zinaeleza kwamba , baada ya Maandamano hayo ya Tarehe 15/02/2024 , Viongozi wa Chadema wataelekea Monduli ili kushiriki Mazishi ya Lowassa
==========