Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,741
218,332
Leo Tarehe 15 feb 2024 ni siku ya baraka Jijini Mwanza, baada ya umati wa wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki maandamano ya amani ya kupinga ugumu wa maisha n miswada mibovu ya sheria za uchaguzi.

Hiki hapa ni kituo cha Igoma.

Screenshot_2024-02-15-10-35-23-1.png
Screenshot_2024-02-15-10-32-23-1.png
Screenshot_2024-02-15-10-32-01-1.png
Screenshot_2024-02-15-11-14-44-1.png


=====

Viwanja vya Furahisha vyazidiwa watu wamesimama mguu mmoja mmoja , ukisimama miguu miwili umekanyaga mtu

Screenshot_2024-02-15-17-16-55-1.png
 
Ni nani *mshauri wa ruhusa za maandamano??

Mbona siyo kawaida?

Ni kwanini sasa hivi 2024/2025 mwaka wa uchaguzi?

Kuna jambo hapa si kawaida kwetu!

Zamani ilikuwa CHADEMA wakifanya maazimio tu ya kuandamana tayari taarifa za 'kiintelijensia' zinasambaa, na kuzuia maandamano.
 
Back
Top Bottom