Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

ndugu zangu waislamu sasa hapa hoja kubwa ni ipi, mambo ya imani haya tutabishana mpaka kesho na tutakufa tutayaacha. sisi waislamu tunapenda kubishania vitu vidogo sana ndio maana hata wenzetu wakristu wanatupuuzia tu! wakristu wanachinja kama kawa huko majumbani kwao na tunakula kama kawa! tubishanie hoja za msingi kama mashule, mahospitali n.k! sasa hata kama tumeruhusiwa na serikali kuchinja SO! yaani sisi tutaendelea kuchekwa mpaka milee kwa kubishania vitu vidogo!
 
udini tayari umeshalitafuna taifa hili.....
 
Vitabu vyoote vimeagiza MUISLAM achinjee kwani yeye ndiye mwenye kibali kutoka kwa MUNGU na pia wamefundishwa wakichinja wasemeje..!

Soma Agano la kale utapata majibu
Sio maandiko yenu yanayochapishiwa Dodoma hayoo !

Soma agano la kale manake nini? weka kifungu tukisome sio unaleta hoja za kubahatisha hapa! kwenye biblia hakuna neno muislam au uislam! utapekua biblia yote hadi ujinyee na hutaona kamwe! ukristo ulikuwepo kabla ya uislam na uislam unakiri hivyo, je wakristo kipindi hicho walikuwa wanachinjiwa na nani? au unadhani walikuwa hawali nyama!!?
 
akili ya mbayuwayu
vitabu ulivotaja viko kwenye Quran?
Uislamu umekuja miaka 622 AD.
kasome hivi aya. Leviticus 17:3-4 yaani walawi Zechariah 11:4 , Gen.22:13,14 hapa utaona namna abrahamu alipomchinja kondoo badala yamwanae, Hii Quran imecopy kwenye biblia vipo vifungu vingi kwenye injili pia soma biblia.
sisi wakristo hatuwezi kulazimishwa kula nyama zenu mnazochinja kwa ibda zenu za kiislamu.
Cha muhimu kila dini iwe huru kuchinja na kuwa na mabucha yao mtu achague wapi pa kununua nyama
nchi haina dini kwanini tuchinjiwe na watu wengine? ahhhh wapi serikali hapa ndio inachemka.


QUOTE=The Fixer;5707913]Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?
[/QUOTE]
Tatizo Nchi imeshaanza kuangamia na ubaguzi umeshashika hatamu. nyama za kuchinjwa na waislamu watu tumekula hapa bongo miaka nenda rudi na hakuna kilichotokea.Ni kuheshimiana ndiyo kulikuwa kunapewa kipau mbele. Kama mtu kwenye kile unachokiamini unakula chochote kwani ukimheshimu binaadamu mwenzako kwa kumpa haki ya kile anachoamini ambacho hakikiuki haki yako tatizo linakuja wapi?Kila siku zinavyosonga mbele tunapoteza uwezo wetu wa kufikri na kuheshimiana kwa kukubali tofauti zetu kama Taifa na hili is a great concern for me as a Tanzanian.Ktk zama za utoto wangu,maisha yangu ya ujana na uzee na shule zote nilizopitia na sehemu zote nilizoishi na watanzania.Imani zetu hazikuwa issue ya kututenganisha bali ilikuwa ni zipo kututofautisha kiimani na kuelewa mipaka yetu ktk kujenga msingi madhubuti wa kujua tofauti yako na mtanzania mwenzako na kujenga heshima baina yetu huku tukizingatia utofauti bila ya kujenga migogoro na majadiliano yasiyo na tija.Tatizo ktk swala la uchinjaji linagusa imani kwa baadhi ya watanzania, nyumbani kwako chinja unavyotaka kwasababu utakula wewe na familia yako na hakuna atakayeathirika kiimani. Na miaka nenda rudi, majumbani watu wamechinja wanavyotaka..Serikali inaliendea hili swala kwa uangalifu kwani wanajua linagusa imani za watu na watakao athirika zaidi ni waislamu kwani ndiyo ambao wanaamini ktk kuchinja kwa taratibu maalumu.swala linakuwa gumu zaidi kwani uchakachuaji upo kila sehemu TZ kuna watu wenye nia mbaya watachinja na kuzisambaza nyama ambazo zitaishia kulishwa waislamu bila ya kuzingatia kile wanachokiamini na wengine mitaani wataanza kuwakebehi kwamba mbona mnakula tulichochinja bila ya kujali wanaathiri imani ya mtu mwengine na hili likitokea litaleta mtafaruku mkubwa ndani ya jamii yetu.Mimi ningeomba viongozi wa dini zote ngazi ya Taifa na viongozi wa serikali wakae pamoja na watafute njia muafaka itakayokubalika na watu wa imani zote bila ya kuathiri imani zao na kuufanya utaratibu huo kuwa wa kitaifa.Na litakalokubaliwa na viongozi wote, kila mmoja kwa nafasi yake wawaelimishe watanzania juu ya uamuzi waliokubaliana.Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu, swala la ujinjaji wa nyama usitutenganishe kama Taifa.Na ninaamini kupitia majadiliano ufumbuzi wa tatizo hili utapatikana na bila ya kuathiri umoja na imani za watanzania wote.
 
Vitabu vyoote vimeagiza MUISLAM achinjee kwani yeye ndiye mwenye kibali kutoka kwa MUNGU na pia wamefundishwa wakichinja wasemeje..!

Soma Agano la kale utapata majibu
Sio maandiko yenu yanayochapishiwa Dodoma hayoo !

hii dini ya chekechea inasumbuaga sana.
miaka 1600 bado tongotongo hazijatoka,mara kuchamba mara mahurulain peponi mara sijida taa ya kumulika kaburini yaani taabu tupu.

mtoto wangu mchanga anavyonisumbua mara pipi mara pampasi nilifikiri ni yeye tu kumbe hata taasisi changa nazo ni hivyo.
 
Kama hakuwahi Kuwa Mkiristo basi alikuwa mpagani. Swali, ni injili gani inaonyesha yesu alikuwa muislam?

INJILI YA BARNABAA na INJILI yenyewe original sio hizo mnazochakachuliwa Dodoma na kusambaziwa majumbani mwenu
 
Uislam ni dini ya Kuzimu full stop. Quran si kitabu cha Mungu wa kweli YEHOVA, ni usanii wa kubumba. YESU sio Mkristo ila YESU NI KRISTO. Wafuasi wake ndio WAKRISTO. Poleni Waislam na Allah wenu asiyefanana na kitu chochote,Anayepiganiwa, Asiye na Mshirika, Asiye na mwana, Lakini YEHOVA wetu anafanana na mwanadam aliemuumba, ana mshirika ambae ni YESU KRISTO na ROHO MTAKATIFU, anae mwana wake pekee YESU, na anajipigania mwenyewe, Wala Allah sio YEHOVA, Mnae mungu wenu na Wakristo tuna MUNGU wetu. Bwana Yesu asifiweee!
 
serikali moja, chama kimoja, uongozi mmoja... sasa 'utaratibu uliopo' ndio upi huo wa kutaka uendelee?

Utaratibu uliopo ni Muislam akichinja wale Geita nzima na hao wanaojiita " Wakristo " wakichinja ( wakiuwaa ) wale wenyewe tu na familia zao wasitoe hata mnofu mmoja wa vibudu vyao vizingitini mwao
 
Haya ni maamuzi ya Pinda au makubaliano ya kikao?

Sentensi yako ni FUPI SANA lakini imebeba ujumbe wenye mantiki ya kutosha! Title ya mtoa mada ni moja ya Title ambazo hazina nia njema zaidi ya kutaka kubomoa. Anachofanya ni kuonesha kwamba hayo si makubaliano, bali Pinda kama PM ametoa agizo hilo na Wakristo lazima wafuate no matter what...hii ni hatari sana!!
 
kama ilivyokuwa kwa wasira, pinda nae asingeweza kusema chochote kinyuma na maagizo ya aliyemtuma. Kuwa serekali ya tanzania ni dola la kiislamu lisilo rasmi. Katika kutatua migogoro, hakuna kitu kibaya kama kuelemea upande mmoja, watu wamevamia watu wakila chakula chao, wamechinjwa, bado unaelemea upande mmoja ni dhahiri kabisa serekali inawapendelea waislamu, wamekuwa untouchables na ndio maana waislamu wamekuwa wakijichukulia sheria mikononi mwao bila kuguswa na dola hapo hakuna suluhu, na huu mgogoro utasambaa nchi nzima, hivi toka lini uungwana ukawa sheria.

huwezi kujua....labda nia yao nyuma ya pazia ni mgogoro huu kuenea nchi nzima. Kumbuka hata udini aliuanzisha fastjet
 
udini tayari umeshalitafuna taifa hili.....

Nilidhani ujinga wa Mwafrika umefutika kumbe bado!

Acha wauane tu kisa hayo madini waliyoletewa.

Wengine hatujali nyama kachinja nani. Tunakula na kusonga mbele.
 
Uislam ni dini ya Kuzimu full stop. Quran si kitabu cha Mungu wa kweli YEHOVA, ni usanii wa kubumba. YESU sio Mkristo ila YESU NI KRISTO. Wafuasi wake ndio WAKRISTO. Poleni Waislam na Allah wenu asiyefanana na kitu chochote,Anayepiganiwa, Asiye na Mshirika, Asiye na mwana, Lakini YEHOVA wetu anafanana na mwanadam aliemuumba, ana mshirika ambae ni YESU KRISTO na ROHO MTAKATIFU, anae mwana wake pekee YESU, na anajipigania mwenyewe, Wala Allah sio YEHOVA, Mnae mungu wenu na Wakristo tuna MUNGU wetu. Bwana Yesu asifiweee!

Mtu kama wewe huna tofauti yoyote na watu kama akina Ponda na wafuasi wake! Kinachokosekana kwako na watu wa aina yako ni kukosa umoja ama mtu wa kuwaunganisha kusambaza chuki zenu! Jifahamu wazi kwamba, wewe ni mtu hatari sana ambae hata kama leo hii YESU anarejea kisha unajinadi kwake, am sure atakuambia...."Ondoka, sikujui utokako!"
 
Ubaguzi wa kidini umeshika kasi jf

Na hakika endapo JF ingekuwa ndio taifa basi tayari tumechinjana zamani.....tena nawashangaa sana Mods!! Unajua kutokana na upumbavu wetu Waafrika tunazani huu ndio uhuru wa habari! Habari kama hizi ambazo zinaamsha mihemusho na jazaba za watu zilikuwa hazistahili kabisa....ni habari gani hii inaachwa kuendelea wakati haina maslahi wala manufaa yoyote kwa taifa!? Wakati wa Nyerere ambao tunaamini Watanzania walikuwa wamoja, kingine ambacho kilichangia ni kutotoa habari za kipuuzi kama hizi!! Habari zingine hazijengi hata chembe, bali zinabomoa mustakabali wa taifa letu!
 
Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?

Makubwa!! Watanzania tunahitaji amani zaidi ya chochote, lakini wewe mwenzetu naona unaleta mada ambayo yaweza umuka na baadaye kupandikiza mbegu za chuki kati ya dini na dini. Tukumbuke maneno ya Mwalimu Nyerere: "Mtu aliyefilisika kisiasa, hakawi kukimbilia ukabila na udini ......"
 
Vitabu vyoote vimeagiza MUISLAM achinjee kwani yeye ndiye mwenye kibali kutoka kwa MUNGU na pia wamefundishwa wakichinja wasemeje..!

Soma Agano la kale utapata majibu
Sio maandiko yenu yanayochapishiwa Dodoma hayoo !

Ni kweli hata kitimoto mmeagizwa kuchinja.Unaishi wapi nikutafute uje nichinjia nguruwe wangu?hayo uliyoandika ni upuzi wa hali ya juu.Tunatakiwa kutafuta solution ya matatizo na sio ujinga uliouandika.Pinda yupo right mi ni mkristu na tulishazoea hivyo na kuvumiliana inatupasa tuendelee kuvumiliana.
 
sasa jaman waziri amekoroga nini hapo? Mimi ni mkristo na katika hili ningewaomba wenzangu kuwa na hofu ya mungu maana kwetu kuchinja hakuna maana yeyote mpaka kupigana uvumulivu uko wapi? Kama tukiachana na huu mtindo wa jino kwa jino naamin tukirudi ktk vitabu vyetu vinavyotutaka kutoa na shavu langine baada ya kupigwa kofi lilotangulia!
Pinda kachemsha kwa kuendeleza tabia ya uongo,kusema kwamba serikali itabadirisha ni uongo mkubwa sana kwa sababu serikali haina haki ya kulazimisha nani achinje wanyama kwa misingi ya kidini ama sivyo iwe imeamua kuingilia uhuru wa watu,zaidi ni kwamba kama anakiri kwamba swala la waislamu kuvjinja lilikuwa ni la mazoea in fact anakili kwamba kuna error fulani imekuwa ikilithiwa kizazi na kizazi.hapa hakuna alichosaidia kwa msimamo wangu,

Alichotakiwa kufanya ni kuhakikisha waislamu wanaelewa kwamba ibada zao za kuchinja zinawahusu waislamu pekee na ni makosa makubwa kulalamika au kulazimisha wamchinjie kila mtu na kwamba serikali kupitia sheria zilizopo na vyombo vyake vya usalama itahakikisha wote waliohusika katika furugu za geita wanachukuliwa hatua ili iwe mfano,kisha awaombe wakirsto kukubali kuendelea kuwachukulia wenzao na kuwaachia kuchinja kama yalivyo mazoea,na hili angeliendeleza kwa kufanya vikao zaidi na wakirsto ili kupata maridhiano sababu hawa ndio walioshika mpini na wanasimamia haki,sio ya kidini tu bali uhuru wa kuchinja kitoweo ulio kwa watu wote. Na sio kujipigisha kifua as if kweli serikali inamamlaka au chochote kile cha kuweza kubadirisha tabia za watu.
 
eheeee wabongo nyiye basi muwe veji nyote amani kwa wanyama na amani kwa dinii .........hii ndiyo suluhisho. badala kukaa na kufikiria mambooo muhimu ya kiuchumi mna gombana kwa ajili ya kuchinjaa ... kweli hamuna kazi.......
 
Wewe unaota? Dini ya kiislamu imekuwepo baada ya Yesu kristo. Ina maana kabla ya dini ya kiislamu kuwepo ilikuwa hakuna uchinjaji? Acha kuiiaibisha hiyo avatar yako!!!

Tiba
ngoja nikuelmishe dini ya kiislam ni dini ya dhati na iliruhusiwa kuchinja kipnd cha ibrahm alipoambiwa amchinje mwanae mbadala akaletewa kondoo ndo hpo mungu alipoamrsha wa2 wachnje kma ishara ya ibda
 
Usipotee kwa kutokujua maandiko na kwenda na upepo na kukaririshwa " kumb 12:21 ndipo utakapo chinja katika kundi lako la ng`ombe na kondoo aliokupa bwana" kila mtu anatakiwa kuchinja ni wewe kamua tu
 
Back
Top Bottom