Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

Hakuna cha kitabu waislamu chinjeni mle sisi wakristo kwa raha zetu tunachinja tunakula tatizo ninini nyie waislamu chinjeni sisi wakristu hatuji kununua tunanua kwetu mwisho wake mtauona ugomvi wa nini?

hivi hakuna mkristo mwenye kibali cha kuchinja? Taifa letu lina maajabu sana,tunagombaniana kuchinja.
 
njoo unichinjie mbuzi katoliki kwani nyie mmekazwa kula, sio kumchinja uyo mkuu wa meza

Injili haijaandikwa mahala popooote kuwa Noah (nguruwe) achinjwe / aliwe ILA imekataza kabisa ulaji na hata kugusa nyama yake. Sasa sijui ninyi mnakula kwa maelekezo ya nani ?

Katika nyama ya noah kuna hasara nyingi kuliko faida . Kuna aina ya minyoo ambao hawafi na ukila nyama ile hupanda mpaka kwenye ubongo , huathiri mfumo wa damu na kufanya uharibifu mkubwa sanaa wa mwili
 
Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?

tatizo sio kula kilichochinjwa na muislam, ila ni kuwa kuchinja ni ibada ya kiislam, sie tusioamini ktk uislamu ili ni kwazo.

tutalishwa mbwa,farasi,punda,nyani,paka kama hakuna udhibiti katika machinjio ya jamii!!!ingawa kuna baa moshi ilikua inachoma nayma za mbwa na tandale kulikuwa na mishikaki ya paka
 
acha mambo ya ajabu wewe, yaani mtu mzima unazungumza maneno kama hayo
 
Vitabu vyoote vimeagiza MUISLAM achinjee kwani yeye ndiye mwenye kibali kutoka kwa MUNGU na pia wamefundishwa wakichinja wasemeje..!

Soma Agano la kale utapata majibu
Sio maandiko yenu yanayochapishiwa Dodoma hayoo !

na ndio maana mkamchinja mchungaji, hii ni dini ya hatari sana, ukristu haustahili kupimwa kwenye mizani moja na uislam, ndo maana iman moja majini ni mifugo huku kwingine majini ni adui.
 
Si muda mrefu Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amemaliza kikao chake na Masheikh pamoja na Maaskofu hapa Mwanza katika ukumbi wa BoT kuhusu nani achinje kitowe.

Katika mazungumzo yake na waandishi wa habari waliotaka kujua msimamo wa Serikali kuhusu nani hasa mwenye uhalali wa kuchinja wanyama kati ya Wakiristo na Waislam, Waziri Mkuu, Pinda amesema mazoea ya tangu zama za kale yanayowaruhusu Waislamu kuchinja yaendelee hadi hapo maamuzi mengine yatapofikiwa na Serikali.

Ameagiza pia kuundwa kamati maalumu itakayohusisha pande zote mbili za Waislamu na Wakiristo, ambayo itashughulikia mgogoro huo, na kamati hiyo iundwe na kufanyakazi zake na kukamilisha haraka sana!.

.
Ubaya mmoja hii nchi inaendeshwa kiujanja ujanja chini ya kivuli cha ustaarabu. Muungano wetu ni ulag'hai wa kiujanja ujanja katiba ina viraka vya ujanja ujanja yaani kila kitu ni usanii. Nchi makini inaendeshwa kwa sheria rasmi zilizoandikwa kwa ajili yao na vizazi vijavyo.
Sasa kama pinda hakuwa na jawabu la serikali juu ya sheria ya kuchinja Geita kaenda kufanya nini?
Kama kauli ndio kama ilivyoripotiwa basi hakuna shaka utawasikia waisilamu wamevamia tena wakristo walioamua kujichinjia kitoweo chao kwenda kuwachinja kisa wamekiuka utaratibu unaotambuliwa na serikali.
.
 
Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?

Heri tusio na dini, tunakula bila kuuliza; nani kachinja?

Dini inageuka kuwa hatari kiasi cha kuua watu! Ni upuuzi ambao mwenye dini hasitahili kujiita ni wa Mungu.

Heri kipi, kuua au kula kama alavyo asiye na dini?

Ukijiita ni wa Mungu ktk dini fulani, tekeleza yanayofanana na ya Mungu. Vinginevyo, hooooooooovyo!
 
Vitabu vyoote vimeagiza MUISLAM achinjee kwani yeye ndiye mwenye kibali kutoka kwa MUNGU na pia wamefundishwa wakichinja wasemeje..!

Soma Agano la kale utapata majibu
Sio maandiko yenu yanayochapishiwa Dodoma hayoo !

Waislamu wanacho kibali cha Allah, siku mkipata kibali cha Mungu dunia itazama kwenda kuzimu.
 
Kama Yesu kwa kujua kwako hakuwa mkristo, basi naomba niachie ngazi, nikupe ushindi!!! Na huyo Barnaba ndiye nani?

Tiba

Mkuu Tiba,
Katika Injili hakuna mahali hata pa sentesi 1 palipoandikwa kuwa Nabii Issa ( Yesu ) ni Mkristo. Yaani ukiisoma Injili kutoka mwanzo hadi mwisho hutakuta sentesi kama hiyo kuanzia Agano la Kale mpaka hili jipya walilolichapisha Dodoma palipoandikwa kuwa Yesu ni mkristo na aliingia kanisani hakunaaa.
 
akili ya mbayuwayu
vitabu ulivotaja viko kwenye Quran?
Uislamu umekuja miaka 622 AD.
kasome hivi aya. Leviticus 17:3-4 yaani walawi Zechariah 11:4 , Gen.22:13,14 hapa utaona namna abrahamu alipomchinja kondoo badala yamwanae, Hii Quran imecopy kwenye biblia vipo vifungu vingi kwenye injili pia soma biblia.
sisi wakristo hatuwezi kulazimishwa kula nyama zenu mnazochinja kwa ibda zenu za kiislamu.
Cha muhimu kila dini iwe huru kuchinja na kuwa na mabucha yao mtu achague wapi pa kununua nyama
nchi haina dini kwanini tuchinjiwe na watu wengine? ahhhh wapi serikali hapa ndio inachemka.

QUOTE=The Fixer;5707913]Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?[/QUOTE]
 
na ndio maana mkamchinja mchungaji, hii ni dini ya hatari sana, ukristu haustahili kupimwa kwenye mizani moja na uislam, ndo maana iman moja majini ni mifugo huku kwingine majini ni adui.

Tatizo unajadli vitabu ucvyoamini achen kujisumbua Biblia c gazeti wala msahafu na ucmlazimishe m2 kuamin kile unachotaka mbona Mungu hana cfa hizo?
 
Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?

Mkristu hafungwi kwa habari ya vyakula-mambo ya kimwili. Hata akichinja asiyeamini mkristu atakula tena kwa moyo wa shukurani. KATAZO PEKEE kwa habari ya vyakula ni kama vimetolewa kwa MAPEPO. Mkristu haruhusiwi kula chakula kilichotolewa kwa ibada za sanamu. Katika ukristu Allah ni pepo, huo ndio ukweli. Kwa hiyo nyama yoyote iliyochinjwa kwa jina na Allah - mambo ya rohoni - ni chukizo mbele za Yehova.
 
Mkuu Tiba,
Katika Injili hakuna mahali hata pa sentesi 1 palipoandikwa kuwa Nabii Issa ( Yesu ) ni Mkristo. Yaani ukiisoma Injili kutoka mwanzo hadi mwisho hutakuta sentesi kama hiyo kuanzia Agano la Kale mpaka hili jipya walilolichapisha Dodoma palipoandikwa kuwa Yesu ni mkristo na aliingia kanisani hakunaaa.
Mpumbavu hamwamin Mungu moyon ndo maana unalazimisha Yesu aitwe Issa ipo siku utampgia magot tu we endelea kuamin mila za kiarabu bla kujua unachofanya
 
Mkuu Tiba,
Katika Injili hakuna mahali hata pa sentesi 1 palipoandikwa kuwa Nabii Issa ( Yesu ) ni Mkristo. Yaani ukiisoma Injili kutoka mwanzo hadi mwisho hutakuta sentesi kama hiyo kuanzia Agano la Kale mpaka hili jipya walilolichapisha Dodoma palipoandikwa kuwa Yesu ni mkristo na aliingia kanisani hakunaaa.

Hivi unajua nini maana ya neno "kristo" na asili yake? Usijidai unaijua biblia zaidi ya wakristo wewe!!!! Nenda kasome zile satanic verses zenu huko kwenye kitabu chenu kilichoshuka kutoka mbinguni!!!

Tiba
 
akili ya mbayuwayu
vitabu ulivotaja viko kwenye Quran?
Uislamu umekuja miaka 622 AD.
kasome hivi aya. Leviticus 17:3-4 yaani walawi Zechariah 11:4 , Gen.22:13,14 hapa utaona namna abrahamu alipomchinja kondoo badala yamwanae, Hii Quran imecopy kwenye biblia vipo vifungu vingi kwenye injili pia soma biblia.
sisi wakristo hatuwezi kulazimishwa kula nyama zenu mnazochinja kwa ibda zenu za kiislamu.
Cha muhimu kila dini iwe huru kuchinja na kuwa na mabucha yao mtu achague wapi pa kununua nyama
nchi haina dini kwanini tuchinjiwe na watu wengine? ahhhh wapi serikali hapa ndio inachemka.

QUOTE=The Fixer;5707913]Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?
[/QUOTE]

Kwani wee mkuu !
Kwa imani yako Mzee Ibrahim alikuwa mkristo ? Kuanzia Nabii Adamu mpaka kwa Mtume Muhammad . Manabii woote walikuwa ni Waislamu, Rejea Injili ya Barnaba na Injili yenyewe kwani kwenye vitabu vya MUNGU hakuna kitabu kinachoitwa BIBLIA (Biblia) ni mkusanyiko wa mkusanyiko wa maandiko ya Injili nzima na ambayo kwa 99% yamechakachuliwa ili kukidhi mahitaji yao hao wahuni. Kumbuka vitabu vya MUNGU ni TORATI, ZABURI,INJILI na QURAN
 
kwahiyo YESU alivyobatizwa ni nguzo ya uislamu ? alivyokua anaudhuria kanisani ni uislamu ? na unajua nini maana ya msalaba na kwanini YESU aliwekwa msalabani....?

ukiyajua hayo ndio utafahamu kuwa waislamu ni wakristo wasiojitambua hila kuna siku mtarudi kundini na kusema YESU yupo
 
kesho tuna kanguruwe ketu hapa nyegezi kona naombeni kuja kuchinjiwa,pinda amefanya maamuzi ya busara kabisa!
 
Back
Top Bottom