Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

Muislaam akila anamtaja Mungu, akishtuka anamtaja Mungu, akishangaa ana mtaja Mungu, akishukuru ana mtaja Mungu, akiistajabia uzuri ana mtaja Mungu (angalia Karikoo Magorofa ya Waislaam yanayojengwa yameandikwa 'Masha'Allah')
Kila kitu cha muumin ni ibada !
Ukiangalia Mapigano kule Seria, Libya, Misri, Waislamu walikuwa wanafanayanya maaji huku wakimtaja Allah sasa hiyo haitutishi Wakristo
 
Hata akizini bado anamtaja Allaha. Akioa mke wa pili na wa tatu bado anamtaja Allah. Akiua mchungaji bado anamtaja allah

Muislaam huwezi kuzini kwani, au pengine huelewi maana ya mtu anaye amini na kunyenyekea. We acha kuoa wake wanne na uendekeze kuoana wenyewe kwa wenyewe maana mmeruhusiwa na Biblia !
 
Katika nyama ya noah kuna hasara nyingi kuliko faida . Kuna aina ya minyoo ambao hawafi na ukila nyama ile hupanda mpaka kwenye ubongo , huathiri mfumo wa damu na kufanya uharibifu mkubwa sanaa wa mwili

Duh! Kama ndivyo wajerumani wangekuwa wana matatizo ya ubongo kuliko watu wote duniani!

Lakini cha ajabu, wajerumani hao ndiyo wametengeneza magari ambayo kaka mkuu anayatumia. Mbaya zaidi, wajerumani hao ndiyo wanampa misaada ya kumwaga kaka mkuu, bila kusahau ndiyo wanajenga miundombinu ya DART!!
 
Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?

Serikali haiongozwi na vitabu vya dini yoyote. Sawa ukristo sio dini, wewe unawashwa nini? Akili ndogo? .......
 
Kati ya vitabu hivyo ni kipi kimeagiza Waislamu wachinje kwa niaba ya serikali.
QUR'AN IMESHASEMA KUHUSU KUCHINJA MUISLAM HARUHUSIWI KULA NYAMA AMBAYO HAIKUCHINJWA KWA MUONGOZO WA KIISLAMU,INA MAANA HATA MUISLAM KAMA ATACHINJA KAMA HAKUFUATA MAELEKEZO YA DINI YAKE BASI HIYO NYAMA NI HARAMU KUILA:target:
 
Nadhani iko haja ya kuangalia chimbuko la tatizo maana tukigeneralise kwa kutumia maandiko tutaingilia ibada za watu na baadae watu watachelea kula kwenye dhifa za kitaifa,misiba na shughuli mbalimbali hata kujumuika majumbani mwa watu kwani hakuna uhakika nani amechinja...tusifike huko na tusipuuzie hizi cheche ndogo za udini tayari maisha yamepotea....unanikumbusha wimbo flani 'wauguuuzi, daktari na manesi wauguzi....taratibu jamani haya! Tutaonana wabaya haya !'

Chanzo ni kauli tu ya mkuu wa mkoa wa Mwanza alipoitoa kwa jicho kavu bila kuremba ndipo zogo likashika kasi zaidi kwani mwanzo ilikuwa ni chini chini, lakini aliposema steraight kwamba waislam ndio wanatakiwa kuchinja ikiwa ni sehemu ya ibada basi na upande mwingine ukajitutumua, lakini kama angeanza na story kidogo kwa kuelezea mazoea ambayo yamejengeka kwa watz wengi hata mtaani kama mtu ana kitoweo chake anamtafuta muislam amchinjie ili pindi anapopata mgeni wa kiislamu ndani ya nyumba yake asimkwaze (na kama angezungumza kwa kauli za kuremba nadhani angeeleweka)

Kingine na heading za magazeti yetu baada ya kauli ya mkuu wa mkoa nayo yalichangia maana jinsi heading za magazeti zilivyokuwa zilivuta attention sana kiasi kwamba upande wa pili wa shilingi ukataka kuonyesha na wao ni sehemu ya jamii hivyo wanapaswa na wao kushiriki kwenye hili zoezi
 
Serikali haiongozwi na vitabu vya dini yoyote. Sawa ukristo sio dini, wewe unawashwa nini? Akili ndogo? .......
Watu wake wana dini ndio maana inatenga maeneo ya kujenga nyumba za ibada,inasajili nyumba za ibada na inaheshimu sikukuu za kidini,KAMA UNA AKILI NA HAYA YAPINGE:shut-mouth:
 
Hapa ndipo wengine tunaona Tanzania tukoje na nchi yetu ikoje, badala ya kujadili mambo ya maana watu wanapoteza muda kujadili nani achinje, nadhani inafaa tujiulize kama hilo nalo ni lazima kupoteza muda, Kwanini Serikali amabayo haina Dini iingilie na kulikuza jambo hili? kwani kabla ya hapa mambo yalikuwaje? Nao samaki wanaovuliwa wakiwa wamekufa itakuwaje? Imefika wakati Watanzania tuamue kutowapa nafasi watu watuyumbishe kwa manufaa yao ya kisiasa, majirani wanatucheka sana kupoteza muda kujadili jambo ambalo kama lisingekuzwa tusingefikia hapa.
 
Muislaam huwezi kuzini kwani, au pengine huelewi maana ya mtu anaye amini na kunyenyekea. We acha kuoa wake wanne na uendekeze kuoana wenyewe kwa wenyewe maana mmeruhusiwa na Biblia !
Watu kama hao unaobishana nao humu ndio ETI wanaitwa verified user,mxiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.JF BWANA
 
Kama wewe kama ni mwenye koran baada ya kifo cha Muhamad wote waliokua wanaamini na kuijua hio koran waliuawa je waliobaki je ni akina nani. Na koran haukushushwa ni simulizi tu kutoka kwa wale waliokua karibu na Mohamad. Kama korani ingeshushwa basi wanaotumia au kugusa kitabu hicho wangeondokewa na matatizo yao au kwa ubaya wao wangelikufa. Neno Takatifu sio kitu cha mzaha. SOMA kitabu chako kielewe na kisha usome na vingine ili kumjua Mungu na sio utafute vijineno kutoka kwa kitabu cha wengine ili kuwakashifu, hiyo ni mbinu ya mwovu na watumishi wake., je utakubali ya kuwa imani unayoisimamia haijui? Tafuteni kweli kisha hiyo kweli itawaweka huru



Umezaliwa muislam umjifunza uislam kwa hiyo ukristo huujui ni bora ukae kimya,the same to me uislam si hujui na nimezaliwa kwenye ukristo,ni bora nikae kimya kuliko kuongeea pumba na ushabiki kwa dini au imani nisiyoijua.

Usitoe povu sana kunipangia mimi niamini kitu ambacho hata wewe huwezi kukikubali,kaam wewe huukubali ukristo the same way mimi sihukubali uislam ila kwa vile tumeishi miaka yote hiyo tukivumiliana kwa nini sasa tuanze kuuwana?
Kila mtu ana haki ya kufuata kile anachoamini kwa misingi ya dini yake bila kulazimishwa au kushurutishwa na dini nyingine.
Ningekuona una busara sana na Allah wako angekupa thawabu kama usingekuwa shabiki wa kupendelea kile unachoamini wewe na kulazimisha wenginE,ni bora hata ungekuwa neutral au ungekaa kimya kuliko kuonyesha upumbavu wako hapa.
 
Hayo uliyajuaje wakati unapaswa kukaa mbali na nguruwe?acha unafiki na majungu ya msikini!

Majungu ni haya mliokuja nayo nyie kuona Muislaam kuchinja ni kioja, wakati hata kuchinja hawajui maana yake ni nini !
 
Soma Agano la kale vizuri, Soma tenaa. Isome Injili kwa makini sanaaa kama alikuwa mtoto wa nje maana ya haramu hilo jina lake alipewa na nani ?

Soma Injili muda woote uijue vizuri sio jumapili mpaka jumapili tena kwa kuambiwa fungua mahala flani

YESU hakubatizwaa, YESU hakutundikwa msalabani na wala YESU hakuingia kanisani ! Dunia imejaa upotoshwaji mkubwa sana hasa kutoka Israel ili kukidhi matakwa yao lakini mwenye akili hurudi kwenye Kitabu alichoelekezwa na kujifunza upya

Nawaagiza mkasome kwa makini tena kwa makini sana INJILI hasa AGANO LA KALE. Mkibahatika kuiona INJILI YA BARNABA mtafaidi sanaaa maana ile ni " the world untold stories "
hiyo inijili unayosema ni ya BARNABA haijawahi kuandikwa na Barnaba kama unavyozani. Hiyo Injili imeandikwa na Ahmad Shafaat ambaye ni Muislamu na lengo lake nikupotosha ukweli, kifupi hata Injili ya Barnaba ambayo waislamu wengi wamepotoka kwayo ninapinga na Hiyo Quran ( satanic Verse) yenu. kama unajua kimombo soma hapa
 
Majungu ni haya mliokuja nayo nyie kuona Muislaam kuchinja ni kioja, wakati hata kuchinja hawajui maana yake ni nini !
Kama wewe unajua maana ya kuchinja basi chinja kwa faida ya yako na waislamu wenzako.Lakini mkristu hayuko teyari kula vitu vya ajabuajabu!sisi tutachinja kwa faida yetu wenyewe na vizazi vyetu!

Si hatuuamini uislamu na mambo yake yote ikiwemo na suala la kuchinja!
 
Back
Top Bottom