Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?
acha upunga wewe
 
Kama hakuwahi Kuwa Mkiristo basi alikuwa mpagani. Swali, ni injili gani inaonyesha yesu alikuwa muislam?

Kwani hiyo Injil ya Yesu mnayo !?
Mie najua mna Biblia na Injili kadhaa, za Luka, Mathayo, Yohana, Marko, lakini ya Yesu haipo ! Au unayo ?
 
Pinda ni haki ayakoroge; ana hulka ya uongo na mshirika wa dhaifu JK kuiislimisha Tz. Lo lote na liwe watu wana uhuru wa kula nyama iliyochinjwa kwa imani yao. Sili makafara ya kuchinjwa kiislamu.
swadakta
 
Wanaishia kutukana tu wanapo kata mnyama, kwa mfano nguruwe hupewa kipondo huku anatukanwa !

Mkuu mbona wewe Muislamu sasa huwa unaenda kuangalia wanavyochinja? huoni kama unakosea kwenda machinjioni kuona wanavyowapa kipondo nguruwe na kutukana? Mie nakushauri usiwe unaenda huko.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Wewe mleta mada ni mchochezi na una matatizo, alipoharibu Pinda ni wapi? Mwanzoni alilaumiwa Wassira kwa kuwa alisema kuchinja ni Ibada kwa waislam, hivyo sio rahisi kwa Wakristo kushiriki ibada isiyowahusu. Mizengo amesema ni mazoea na utaratibu uliopo hadi hapo Serikali itakapo badirisha, sasa alipoharibu ni wapi? Mbona nyie Wakristo hamueleweki mnataka nini
we utakuwa kinondo
 
Kwani hiyo Injil ya Yesu mnayo !?
Mie najua mna Biblia na Injili kadhaa, za Luka, Mathayo, Yohana, Marko, lakini ya Yesu haipo ! Au unayo ?

Ebu Jibu Swali. Au Nasumbuka Na Mtu Wa Elimu Ya Mandrasat Abood?
 
Mhe. Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa madhehebu ya dini, amedai kuwa hakuna mwenye haki ya kuchinja au kutokuchinja kwa sababu kitendo hicho kimetawaliwa na utamaduni tu na si sheria.Ametoa agizo kuwa kwa sasa utaratibu uliopo uendelee huku wakisubiri kamati iliyoundwa kuja na suluhu ya mgogoro.
 
Kama wewe unajua maana ya kuchinja basi chinja kwa faida ya yako na waislamu wenzako.Lakini mkristu hayuko teyari kula vitu vya ajabuajabu!sisi tutachinja kwa faida yetu wenyewe na vizazi vyetu!

Si hatuuamini uislamu na mambo yake yote ikiwemo na suala la kuchinja!

Kuanzia lini ?
 
serikali moja, chama kimoja, uongozi mmoja... sasa 'utaratibu uliopo' ndio upi huo wa kutaka uendelee?
 
Kwani hiyo Injil ya Yesu mnayo !?
Mie najua mna Biblia na Injili kadhaa, za Luka, Mathayo, Yohana, Marko, lakini ya Yesu haipo ! Au unayo ?

Haya tuoneyshe Injili iliyo shushwa na Allah kwenye Kolani?
 
It is very important kwa serikali kutambua HAKI za raia wake........na inabidi watoe tamko kwa MSISITIZO MKUBWA.......ya kwamba hakuna sheria inayomzuia mtu yeyote kuchinja...........kama na hilo limewashinda.......basi viongozi waliopo hawafai..........

Pinda alitakiwa ai-define haki ya kila raia......halafu ndio aseme mengine i.e. kuunda kamati nk nk nk
 
Mkuu mbona wewe Muislamu sasa huwa unaenda kuangalia wanavyochinja? huoni kama unakosea kwenda machinjioni kuona wanavyowapa kipondo nguruwe na kutukana? Mie nakushauri usiwe unaenda huko.

Wakati mwingine ukiwaangalia makafiri na uhayawani wao ni burdani na inakusaidia kukuzidisha imani !
 
Ilete Injil ya Yesu basi kama unayo ?[/QUOTE

kwanza unapaswa kuelewa maana ya injili. Injili maana yake ni Habari njema tena kwa watu wote hata wewe muislamu ili ubadilike na kufuata Mungu wa kweli ambaye ni Yehova Yahwe
 
Muislaam huwezi kuzini kwani, au pengine huelewi maana ya mtu anaye amini na kunyenyekea. We acha kuoa wake wanne na uendekeze kuoana wenyewe kwa wenyewe maana mmeruhusiwa na Biblia !

Wewe unaye fuata Allah, tuambie kwa nini Allah wako anapomba na kuapa tena kwa Nyota aliyo iumba.
 
Back
Top Bottom