Buberwa James
New Member
- Feb 16, 2013
- 2
- 0
Kama hawako tayari kula nyama iliyochinjwa na mkristo basi wasile nyama
Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?
Unapochinja unatakiwa kutaja jina la Mungu. Sasa mkristo anapochinja huwa anataja jina la Mungu gani, mwana, baba au roho mtakatifu? Utata uko hapo......kwa style hi, nchi zenye wakristu watupu itabidi ziwe zina-import wachinjaji kutoka nchi za kiislamu
This is a non issue na serikali ilitakiwa kukaa pembeni kabisa from the beginning
community yangu itaamua yenyewe, sitakiwi kupangiwa mchinjaji.............
I was in Sudan about 10 years ago na katika discussions hili suala lilikuja na jamaa ambaye ni muislamu safi alijibu kwamba anayetakiwa kuchinja ni mtu anayeamini kuna Mungu, na wapo waislamu wengi sana hawastahili hata kuchinja
Unapochinja unatakiwa kutaja jina la Mungu. Sasa mkristo anapochinja huwa anataja jina la Mungu gani, mwana, baba au roho mtakatifu? Utata uko hapo......
najua nitalimwa ban.......
Lakini wooote wanaoshabikia kuchinja ni wasengery tu....
Kuchinja hakuna lolote zaidi ya source of income hapo hakuna cha dini wala wasotaka kulishwa dini za wengine yotr ni kugombea maslahi ni usengery mtupu
wooote wanaotoka mapovu kukadhifiana humu ni usengery tu wanafanya
hawaangalii impact ya miaka kumi ishirini ijayo kwa sababu wamejaa usengery
hata kushabikia kuanzia nbazi za familia mpaka taifa....kuingiza siasa ndani yake... Yote ni usengery tu
na hata mods mnapoacha kukashifiana kidini humu mnachofanya ni usengery tu.......
Mnaacha kushikana kama taifa mnaleta usengery tu wa udini
usengery kushabikia kuchinja
usengery kulilia kuchinja
yote yaliyotokea geita ni usengery tu hakuna la maana
na watanzania endelezeni usengery wa kujigawa kidini.........muwezr kuishi hadi madhara mnayoyatengeneza yatakapolipuka ili madhara ya dhambi hiyo yawakute mtangetange rwanda burundi kenya kukimbia kushikiana mapanga kama geita
usengery usengery usengery tu hamna la maana
ubatili mtupu
hata mod utakayeniban huu wooooote upuuzi unaoendelea ni usengery tu
Si muda mrefu Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amemaliza kikao chake na Masheikh pamoja na Maaskofu hapa Mwanza katika ukumbi wa BoT kuhusu nani achinje kitoweo.
Katika mazungumzo yake na waandishi wa habari waliotaka kujua msimamo wa Serikali kuhusu nani hasa mwenye uhalali wa kuchinja wanyama kati ya Wakiristo na Waislam, Waziri Mkuu, Pinda amesema mazoea ya tangu zama za kale yanayowaruhusu Waislamu kuchinja yaendelee hadi hapo maamuzi mengine yatapofikiwa na Serikali.
Ameagiza pia kuundwa kamati maalumu itakayohusisha pande zote mbili za Waislamu na Wakiristo, ambayo itashughulikia mgogoro huo, na kamati hiyo iundwe na kufanyakazi zake na kukamilisha haraka sana!.
Zaidi soma -> Pinda aelemewa mgogoro wa nani achinje nyama | Fikra Pevu
whooh, kweli tuna shida kubwa ya upeo
Umeshasema Mungu, ambaye aweza kuitwa Allah, Yehova, God, Mulungu etc. hayo ya roho mtakatifu, baba, ni ya mtu anayeamua kujichanganya ili achanganye wengine etc.
Unaposema nsasadiki, na ash'haddu Allah Ila ha i lallah... ni kitu hichohicho
Anyway, mtu akiamua kuwa mgumu kwenye moyo wake, hata ufanyeje hawezi kubadilika; tunaonekana kuijua dini kuliko dini yenyewe na tatizo kubwa ni abstract info andw e pretend we know everything na kuanza kukuruka mitaani tukidhani tuna knowledge yote tunayostahili
I cant wait wakianza serikali itakapojiingiza kwenye vurugu za kuchuna, kupika makongoro, kuchoma samaki, kuvua samaki na kuweinda digidigi maana inaonekana ina muda kweli na mambo yasiyo yake na kushindwa kusimamia masuala ya msingi kama huduma za msingi za jamii
Labda kutoka kwa Mungu wenu wa machafuko mnaemwabudu aka ShetwaniVitabu vyoote vimeagiza MUISLAM achinjee kwani yeye ndiye mwenye kibali kutoka kwa MUNGU na pia wamefundishwa wakichinja wasemeje..!
Soma Agano la kale utapata majibu
Sio maandiko yenu yanayochapishiwa Dodoma hayoo !
Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?
Mkuu Tiba,
Katika Injili hakuna mahali hata pa sentesi 1 palipoandikwa kuwa Nabii Issa ( Yesu ) ni Mkristo. Yaani ukiisoma Injili kutoka mwanzo hadi mwisho hutakuta sentesi kama hiyo kuanzia Agano la Kale mpaka hili jipya walilolichapisha Dodoma palipoandikwa kuwa Yesu ni mkristo na aliingia kanisani hakunaaa.
hivi kwenye swala la kuchinja wachinjwaji (wanyama na ndege) wanapewa nafasi ya kusikilizwa.?
Si muda mrefu Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amemaliza kikao chake na Masheikh pamoja na Maaskofu hapa Mwanza katika ukumbi wa BoT kuhusu nani achinje kitoweo.
Katika mazungumzo yake na waandishi wa habari waliotaka kujua msimamo wa Serikali kuhusu nani hasa mwenye uhalali wa kuchinja wanyama kati ya Wakiristo na Waislam, Waziri Mkuu, Pinda amesema mazoea ya tangu zama za kale yanayowaruhusu Waislamu kuchinja yaendelee hadi hapo maamuzi mengine yatapofikiwa na Serikali.
Ameagiza pia kuundwa kamati maalumu itakayohusisha pande zote mbili za Waislamu na Wakiristo, ambayo itashughulikia mgogoro huo, na kamati hiyo iundwe na kufanyakazi zake na kukamilisha haraka sana!.
Zaidi soma -> Pinda aelemewa mgogoro wa nani achinje nyama | Fikra Pevu
QUR'AN IMESHASEMA KUHUSU KUCHINJA MUISLAM HARUHUSIWI KULA NYAMA AMBAYO HAIKUCHINJWA KWA MUONGOZO WA KIISLAMU,INA MAANA HATA MUISLAM KAMA ATACHINJA KAMA HAKUFUATA MAELEKEZO YA DINI YAKE BASI HIYO NYAMA NI HARAMU KUILA:target:
Lete fungu hata moja la agano la kale inayotaja uislamu achilia mbali mwislamu kuchinja.Vitabu vyoote vimeagiza MUISLAM achinjee kwani yeye ndiye mwenye kibali kutoka kwa MUNGU na pia wamefundishwa wakichinja wasemeje..!Soma Agano la kale utapata majibuSio maandiko yenu yanayochapishiwa Dodoma hayoo !