Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?

nenda shule "kumb 12:21 ndipo utakapochinja katika kundi lako la ng`ombena kondoo aliokupa bwana" kila mtu anatakiwa kuchinja ni uamuzi wako usikaririshwe
 
moderator kama unaweza mijadala ya udini humu ndani iwe deleted automaticaly la sivyo tunakoelekea sio kuzuri. mbaya zaidi thread inaweza ikawa na mantik nzuri lakini wachangiaji ndo wanabadili mwelekeo unakuwa mwendo wa kubishana na kutukanana na mlengo wa udini. hii ni hatari kwa ustawi wa AMANI nchini mwetu.
 
Vipi huko nyuma ulikuwa hujapata maono ?.........milele utakuwepo ?

Tulikuwa hatujagundua ushetani wa upande wa pili!

Zamani upande wa pili ulikuwa unaheshimika sana ikizani ni dini inamtukuza mungu,kumbe ni vikundi vya kigaidi na wahuni waliobobea,ambao kazi yao ni fitina na kufanya mauaji ya watu wasikuwa na hatia!

Wakristu wataendelea kuwepo mbaka mwisho wa dunia,watakuwepo wakati huo watatuwakilisha vema kwenye hili!
 
Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?

Isiwe Mshamba wewe, dini ya kwanza ni ukristo nyingine zote zilizo Fugara zilichakachua, hizo nyama zitaliwa na wenyewe Wenye Ibada zao!!
 
Wewe mleta mada ni mchochezi na una matatizo, alipoharibu Pinda ni wapi? Mwanzoni alilaumiwa Wassira kwa kuwa alisema kuchinja ni Ibada kwa waislam, hivyo sio rahisi kwa Wakristo kushiriki ibada isiyowahusu. Mizengo amesema ni mazoea na utaratibu uliopo hadi hapo Serikali itakapo badirisha, sasa alipoharibu ni wapi? Mbona nyie Wakristo hamueleweki mnataka nini

Hatutaki kula Manyama ya Ibada ya watu
 
Sijui tunagombea nini!! Kuran Tukufu imetamka wazi nyama HALAL kuliwa na Mwislamu! Kuran imetoa ruhusa ya Mwislamu kula nyama iliyechinjwa na yeyote miongoni wa Watu wa Kitabu(ambao ni Wayahudi, Wakristo na Waislamu) ili mradi tu uchinjaji huo umefuata kanuni za kawaida kabisa!! Kwamba:
1. Mnyama awe amechinjwa na kitu kikali....ama kisu au kitu kinachofana na hicho!
Jambo hili limesisitizwa sana kwani Uislamu unafundisha kwamba mnyama achinjwae nae anahisi maumivu makali kama mwanadamu hivyo haitakiwi hata kidogo kumchinja kwa mateso!! Si hivyo tu, inashauriwa vile vile kwamba, mara baada ya kupitisha kisu chako shingoni pa mnyama, usimwachie mara moja na kutoa nafasi ya yeye kutapatapa huku na huko wakati anatokwa na roho! Hapa inatakiwa mchinjaji aendelee kumkandamiza hapo hapo chini hadi uhai unapomtoka! Aidha, katika kuchinja huko ni lazima kuhakikisha ile mishipa ya shingoni inakuwa imekatika!

Aidha, kabla ya kumchinja, muoneshe upendo...sio kwavile anaenda kula kisu basi ndo umburuze tu hata chakula siku hiyo asipate! Vile unahimizwa kumpa maji muda mchache kabla ya kumchinja ili kumpooza!

2. Jambo lingine la kuzingatia ni kutaja jina la mungu! Hapa ndipo panapoweza kuleta ubishani usio na maana yoyote hususani toka kwa Wakristo! Waislamu tunaamini Mungu wetu ni mmoja....hawa ni Wayahudi, Wakristo na Waislamu ambao collectively wanaitwa Ahl-al-Kitabu; yaani Watu wa Kitabu; Wayahudi na Torati yao (chini ya Musa), Wakristo na Injili yao (Chini ya Issa.....wala sitakuwa na muda wa kubishana na yeyote atayeleta ligi ya Issa sio Yesu) na Waislamu na Kuran yao(chini ya Muhammad)! Hivyo basi, Waislamu inatosha kabisa wakati wa kuchinja kusema "Bismillah Rahman Rahim....yaani kwa jina la Mwneyezi Mungu, Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu! Sasa tatizo hapa lipo wapi?! And so, ikiwa Mkristo wakati wa kuchinja nae atamtaja Mungu mmoja, wala hakuna tatizo kwa Mwislamu kula mnyama huyo provided condition number one has been met....!

Hivyo basi, hizo condition zisipotekelezwa, basi nyama hiyo ni HARAM hata kama imechinjwa na mtu aitwae Mohammed Abdulkadir Kareem hata kama anapiga Swala Tano!

Haya yote yapo kwenye Kuran na Hadith, mathalani Quran 5:5 inasema "Leo mmehalalishiwa kila vilivyo vizuri. Na chakula cha wale waliopewa Kitabu(Ahl-al-Kitab) ni halali kwenu, na chakula chenu ni halali kwao....!" Lakini unaporudi Quran 5:3, ndiko unakuta vile vilivyo HARAM "Mmeharamishiwa nyamafu(mnyama aliekufa mwenyewe), na damu, na nyama ya nguruwe na kinyama kilichochinjwa si kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, na kilichokufa kwa kusongeka koo, na kilichokufa kwa kupigwa, na kilichokufa kwa kuanguka, na kilichokufa kwa kupigwa pembe(na mwingine) na alichokila mnyama(kikafa), ila mkiwahi kukichinja(kabla hakijafa). Na pia(mmeharamishiwa) kilichonjiwa panaponyiwa ibada isiyokuwa ya mungu.....!"

So, hiyo Quran 5:3 maana yake nini...unaweza kuta mnyama amechinjwa na ile misingi niliyotaja hapo juu lakini kumbe lengo la nyama hiyo ni kutambika, zindiko, kuagua mashetani na mambo mengine kama hayo....basi nyama hiyo ni HARAM kwa sababu haikuchinjwa kwa ajili ya mwenyezi mungu!

Na mwisho ningependa kutoa wasia kwa Waislamu wenzangu...si busara wala hekima kukashifu dini ya mtu mwingine kwani hata Kuran imekemea jambo hilo: Quran 6:108 inatuasa Waislamu "Wala msiwatukane wale ambao wanawaabudu, kinyume na Mweneyezi Mungu wasije wakamtukana Mwenyezi Mungu kwa jeuri zao bila kujua.Namna hivyo tumewapambia kila watu vitendo vyao. Kisha marejeo yatakua kwa Mola wao. Naye atawaambia (yote) waliyokuwa wakiyatenda." Ni nini basi Tunachokihitaji zaidi ya haya mafundisho ya Kuran?! Waacheni wao waitukane dini yenu kwani wengi wao kama sio wote hawaifahamu na badala yake wanaishia tu kuongozwa na propaganda za kusikia! Kama jambo limekuuma sana, muombe akuoneshe andiko la yale anayoyasema ambayo kwa yakini hatayatoa! Acheni waite Uslamu ni dini ya Kishetani wakati wenyewe tunafahamu kwamba kila tufanyalo ni lazima kwanza tumuombe Mwenyezi Mungu atukinge na Shetani.....sasa hivi hamuoni kwamba wao wamepotoka kuita dini yenu ni ya kishetani wakati tufanyapo Ibada huwa tunamuomba mungu atukinge na shetani?! Kama shetani ndie tunamwamini ni kwanini basi kwenye ibada tujikinge nae?! Acheni waite kwamba ni dini ya Majini kwani wenyewe tunafahamu fika Mwenyezi Mungu amesema kwenye Kuran 6:128 ---Na (wakumbushe) siku atakapowakusanya wote, (awaambie); "Enyi makundi ya Majini! Hakika nyinyi mmechukua wafuasi wengi katika wanadamu", na marafiki wao katika katika wanadamu(watawagombania) waseme "Mola wetu! Tulinufaishana sisi na wao, na tumefikia muda wetu uliotuwekea." Basi Mungu atasema: "Moto ndio makazi yenu, mtakaa humo milele" ila apende Mwenyezi Mungu(kuwarehemu), hakika Mola wako ndiye mwenye hekima(na) ndie ajuaye. Hivyo ni busara na hikima kubishana na watu kama hao(kama unazani ni muhimu) kupitia maandiko kuliko kashfa kwani Mwenyezi Mungu ameshawakanya kuwakashifu wale wanaowaabudu!
 

na ndio maana mkamchinja mchungaji, hii ni dini ya hatari sana, ukristu haustahili kupimwa kwenye mizani moja na uislam, ndo maana iman moja majini ni mifugo huku kwingine majini ni adui.

Maneno kungu!!!!!! Hazitakuwa Sawa asilani!
 
sijui tunagombea nini!! Kuran tukufu imetamka wazi nyama halal kuliwa na mwislamu! Kuran imetoa ruhusa ya mwislamu kula nyama iliyechinjwa na yeyote miongoni wa watu wa kitabu(ambao ni wayahudi, wakristo na waislamu) ili mradi tu uchinjaji huo umefuata kanuni za kawaida kabisa!! Kwamba:
1. Mnyama awe amechinjwa na kitu kikali....ama kisu au kitu kinachofana na hicho!
Jambo hili limesisitizwa sana kwani uislamu unafundisha kwamba mnyama achinjwae nae anahisi maumivu makali kama mwanadamu hivyo haitakiwi hata kidogo kumchinja kwa mateso!! Si hivyo tu, inashauriwa vile vile kwamba, mara baada ya kupitisha kisu chako shingoni pa mnyama, usimwachie mara moja na kutoa nafasi ya yeye kutapatapa huku na huko wakati anatokwa na roho! Hapa inatakiwa mchinjaji aendelee kumkandamiza hapo hapo chini hadi uhai unapomtoka! Aidha, katika kuchinja huko ni lazima kuhakikisha ile mishipa ya shingoni inakuwa imekatika!

Aidha, kabla ya kumchinja, muoneshe upendo...sio kwavile anaenda kula kisu basi ndo umburuze tu hata chakula siku hiyo asipate! Vile unahimizwa kumpa maji muda mchache kabla ya kumchinja ili kumpooza!

2. Jambo lingine la kuzingatia ni kutaja jina la mungu! Hapa ndipo panapoweza kuleta ubishani usio na maana yoyote hususani toka kwa wakristo! Waislamu tunaamini mungu wetu ni mmoja....hawa ni wayahudi, wakristo na waislamu ambao collectively wanaitwa ahl-al-kitabu; yaani watu wa kitabu; wayahudi na torati yao (chini ya musa), wakristo na injili yao (chini ya issa.....wala sitakuwa na muda wa kubishana na yeyote atayeleta ligi ya issa sio yesu) na waislamu na kuran yao(chini ya muhammad)! Hivyo basi, waislamu inatosha kabisa wakati wa kuchinja kusema "bismillah rahman rahim....yaani kwa jina la mwneyezi mungu, mwingi wa rehema mwenye kurehemu! Sasa tatizo hapa lipo wapi?! And so, ikiwa mkristo wakati wa kuchinja nae atamtaja mungu mmoja, wala hakuna tatizo kwa mwislamu kula mnyama huyo provided condition number one has been met....!

Hivyo basi, hizo condition zisipotekelezwa, basi nyama hiyo ni haram hata kama imechinjwa na mtu aitwae mohammed abdulkadir kareem hata kama anapiga swala tano!

Haya yote yapo kwenye kuran na hadith, mathalani quran 5:5 inasema "leo mmehalalishiwa kila vilivyo vizuri. Na chakula cha wale waliopewa kitabu(ahl-al-kitab) ni halali kwenu, na chakula chenu ni halali kwao....!" lakini unaporudi quran 5:3, ndiko unakuta vile vilivyo haram "mmeharamishiwa nyamafu(mnyama aliekufa mwenyewe), na damu, na nyama ya nguruwe na kinyama kilichochinjwa si kwa ajili ya mwenyezi mungu, na kilichokufa kwa kusongeka koo, na kilichokufa kwa kupigwa, na kilichokufa kwa kuanguka, na kilichokufa kwa kupigwa pembe(na mwingine) na alichokila mnyama(kikafa), ila mkiwahi kukichinja(kabla hakijafa). Na pia(mmeharamishiwa) kilichonjiwa panaponyiwa ibada isiyokuwa ya mungu.....!"

so, hiyo quran 5:3 maana yake nini...unaweza kuta mnyama amechinjwa na ile misingi niliyotaja hapo juu lakini kumbe lengo la nyama hiyo ni kutambika, zindiko, kuagua mashetani na mambo mengine kama hayo....basi nyama hiyo ni haram kwa sababu haikuchinjwa kwa ajili ya mwenyezi mungu!

na mwisho ningependa kutoa wasia kwa waislamu wenzangu...si busara wala hekima kukashifu dini ya mtu mwingine kwani hata kuran imekemea jambo hilo: Quran 6:108 inatuasa waislamu "wala msiwatukane wale ambao wanawaabudu, kinyume na mweneyezi mungu wasije wakamtukana mwenyezi mungu kwa jeuri zao bila kujua.namna hivyo tumewapambia kila watu vitendo vyao. Kisha marejeo yatakua kwa mola wao. Naye atawaambia (yote) waliyokuwa wakiyatenda." ni nini basi tunachokihitaji zaidi ya haya mafundisho ya kuran?! Waacheni wao waitukane dini yenu kwani wengi wao kama sio wote hawaifahamu na badala yake wanaishia tu kuongozwa na propaganda za kusikia! Kama jambo limekuuma sana, muombe akuoneshe andiko la yale anayoyasema ambayo kwa yakini hatayatoa! Acheni waite uslamu ni dini ya kishetani wakati wenyewe tunafahamu kwamba kila tufanyalo ni lazima kwanza tumuombe mwenyezi mungu atukinge na shetani.....sasa hivi hamuoni kwamba wao wamepotoka kuita dini yenu ni ya kishetani wakati tufanyapo ibada huwa tunamuomba mungu atukinge na shetani?! Kama shetani ndie tunamwamini ni kwanini basi kwenye ibada tujikinge nae?! Acheni waite kwamba ni dini ya majini kwani wenyewe tunafahamu fika mwenyezi mungu amesema kwenye kuran 6:128 ---na (wakumbushe) siku atakapowakusanya wote, (awaambie); "enyi makundi ya majini! Hakika nyinyi mmechukua wafuasi wengi katika wanadamu", na marafiki wao katika katika wanadamu(watawagombania) waseme "mola wetu! Tulinufaishana sisi na wao, na tumefikia muda wetu uliotuwekea." basi mungu atasema: "moto ndio makazi yenu, mtakaa humo milele" ila apende mwenyezi mungu(kuwarehemu), hakika mola wako ndiye mwenye hekima(na) ndie ajuaye. Hivyo ni busara na hikima kubishana na watu kama hao(kama unazani ni muhimu) kupitia maandiko kuliko kashfa kwani mwenyezi mungu ameshawakanya kuwakashifu wale wanaowaabudu!

nadhani una jukumu kubwa la kuwaelimisha maana wengi hawajitambui!!!!!
 
jamani hawa wenzetu wanaojiita waislamu kumbe ni wakristo wa waliopotea wamelelewa katka ubishi tu na kutopendana. tuwaache maana siku moja watakuja kuuamini ukristo na wakati huo watomba warudishwe duniani ili wakawaambie wenzao ukweli lkn haitawezekana.
 
Mkuu Pokofame,
Nakushauri na nnakushauri tena ukiitafuta INJILI na kuisoma yoote kama vile una mtihani kwa mwezi mzima ukipata mahala hata pa sentesi 1 tu palipoandikwa kuwa YESU NI MKRISTO mimi ntakwenda kulibusu Sanamu la YESU pale kanisani kwenu mitaa ya Posta.

Ntaanza kuyaabudu masanamu kuanzia siku hiyo utakayo nipa ushahidi huo

The Fixer,
Yesu ni KRISTO,na alijitangaza hivyo.
Tunao mfuata Yesu ndio wafuasi wa KRISTO,yaani WAKRISTO.
Sijui ni jambo gani gumu ambalo hulielewi hapo!
 
Last edited by a moderator:
hamna kitu pinda amefanya... hii ni ile stail ya kizamani sana... inaitwa zima moto.
 
sasa Pinda alienda kufanya nini mwanza,wakati anajua hana kauli tofauti na ya Wassira?.....tatizo CCM inatoa maamuzi ya kutongozea kura za waislam 2015, wanasahau kuwa wanabomoa zaidi upande wa pili sababu ya tamaa zao za madaraka.!!
 
Vitabu vyoote vimeagiza MUISLAM achinjee kwani yeye ndiye mwenye kibali kutoka kwa MUNGU na pia wamefundishwa wakichinja wasemeje..!

Soma Agano la kale utapata majibu
Sio maandiko yenu yanayochapishiwa Dodoma hayoo !

Pumba...vuuuu!!
 
Huko ni kukosa hekima na kuchochea migogoro unnecessarily. Tayari anajua kuna moto kwanini asishughulikie kiini cha tatizo anakimbilia kutoa matamkoa ambayo hayatapunguza wala kumaliza tatizo? Naona hawa viongozi wetu wanatuogopa sana sisi waislamu!
 
Back
Top Bottom