master peace
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 1,450
- 444
Somesheni watoto wenu wapate ajira zilizo rasmi kuliko kung'ang'ania kuchinja kama ajira.
Mkuu hapo kwenye red, siyo janga kwa taifa hili tu, bali ulimwenguni kote hawa jamaa walipo huwa panawaka moto; hata wao kwa wao wanaparuana, angalia mashariki ya kati, Nigeria, Sudan, Egypt, Libya, Afghanstan, n.k
na nyerere alikuwa anajipendekeza kwa nani? mawazo kama ya chooni.Lazima ajipendekeze kwa shekh kikwete. Chezea njaa wewe...!
Katika mazungumzo yake na waandishi wa habari waliotaka kujua msimamo wa Serikali kuhusu nani hasa mwenye uhalali wa kuchinja wanyama kati ya Wakiristo na Waislam, Waziri Mkuu, Pinda amesema mazoea ya tangu zama za kale yanayowaruhusu Waislamu kuchinja yaendelee hadi hapo maamuzi mengine yatapofikiwa na Serikali.
Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?
Kwahiyo wakristo waendelee kulazimishwa kufuata ibada ya kiislamu? Hii si haki hata kidogo. Hivi kwanini wale maaskofu hawajaenda mahakamani hadi leo, wanasubiri nini? Hili suala lilipaswa kuamuliwa na mahakama, serikali itekeleze tu.
Lazima ajipendekeze kwa shekh kikwete. Chezea njaa wewe...!
Mi hata sishangai kwani
ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho
kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu )
wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?
wakristo tukimaliza kuchinja kama tunavotaka basi....tuwe na dala dala zetu kwani dereva muislam asubuhi akishika usukani husema bismillahi kama anavosema wakati wa kuchinja, pia tuwe na maduka yetu kwani pia hawa waislam wafunguao maduka husema bismillahi kama wanapo chinja
na pia tusipande taxi zao, tusikodi nyumba zao....tusimalizie hapo tu ...bali tukialikwa na waislam tusinde....akifa muislam tusiende pia kwani tunashiriki ibada ya mazishi ya kiislam....na ikiwezakana tusiajiriwe na makampuni ama ofisi za kiislam kwani humo ndani waanabandika picha za Quraan na hufungua offisi zao wkisema bismillahi
Ama baada ya hapo tutakuwa tumeokoka na bwana yesu atatupokea na kutusamehe dhambi zetu..aleluyaaa
nakumbuka padre nyerere hamkutubutu kumhoji mambo haya ..kwani japo...aliwapedelea basi ...hakutaka kulishwa nyama za maiti....anawajua jamaa zake sio waaminifu ...na alijua alaiyakuta tangu wazungu...na hayakua na matatizo..na pia hakuwapenda walokole...kwani ni vibaraka wa marekani..na ndo wanaoleta hizi fitina ..huko geita kulikua na wazungu wakifatana na huyo padiri alie kufa...na wao ndo walio kua wakitoa maelekezo ya kuwambia musikubali...na walokole hao ...wanataka misaada sasa watafanya nini ? uzalendo baadae.....
Mgalatia mgen mungu wako alikuwa anamuaomba mungu gani pale msalabani ?
Mgalatia kama wewe mgen ni burdani tosha !
Nadhani iko haja ya kuangalia chimbuko la tatizo maana tukigeneralise kwa kutumia maandiko tutaingilia ibada za watu na baadae watu watachelea kula kwenye dhifa za kitaifa,misiba na shughuli mbalimbali hata kujumuika majumbani mwa watu kwani hakuna uhakika nani amechinja...tusifike huko na tusipuuzie hizi cheche ndogo za udini tayari maisha yamepotea....unanikumbusha wimbo flani 'wauguuuzi, daktari na manesi wauguzi....taratibu jamani haya! Tutaonana wabaya haya !'
Haaa haa haaaaah,Kwa akili zako Nabii Issa ( Yesu ) alikuwa Mkristo ? Umesoma Injili ya Barnaba. Endelea kutoka povu tu......Soma vitabu weweee, Achana na avatar kwani avatar ni nini ? Ina faida gani kwako ?