Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

Akya Mungu naapa,huu ni upuuzi na ujinga kwa viongozi wote waliokuja na watakaokuja kujifanya kutatua mgogoro.Kwani katiba inasemaje,acheni kujikomba na kuuzunguka mbuyu.Leo Waislam walikuwa na barua iliyokuwa wanaagiza wawe makini kuna nyama zinazokuwa buchani bila kupitia machijioni.Binafsi,kwa moyo radhi nitakula nyama za waislam ikuwa watajibu mambo yafuatayo.KWANZA WAMASAI HUCHINJIWA NA WAISLAMU.PILI MKRISTO NGURUWE ANACHINJIWA NA NANI?
 
Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?

Soma biblia, kumbukumbu la torati sura ya 12 mstari wa 15-23. Acha kuongea kitu usichokijua.
 
Kama ndio uamuzi wa serikali, basi itamke pia au itunge sheria kuwa asiye muislamu akichinja aadhibiwe mahakamani, na sio achinjwe na waislamu
 
Kwenye mjadala huu nimeanza kukubaliana na zile hoja za wanaodai sisi tz ni taifa changa na dogo sana.
Hivi katika ulimwengu huu wa teknolojia kushamiri ambapo nchi hata za kiafrika zinawekeza katika sekta ya mifugo na usindikaji nyama wa kisasa kwa kuwa na machinjio bora zaidi ili kuwa na nyama bora itakayokidhi mahitaji ya soko la nje na ndani,

sisi waziri mkuu anasafiri kutoka dar mpaka Geita kueleza kuwa msimamo wa serikali kuwa ni uchinjaji wa mazoea yetu??
Haki ya mama nimekoma, kweli sisi kama taifa bado sana na tuna tongotongo la kutosha tu
 
Ni rahisi sana kujua ni nani mwenye fujo na mpenda fujo
'
Kwenye mjadala huu unaweza kufuatilia na ukajua ni nani alieanza kukashifu imani ya mwingine,just like buseresere
'
Hii dini ina matatizo sana imefika mahali tuseme wazi kuwa imani zingine hazina tofauti na NAZI,zipingwe marufuku.
'
Serikali nayo sijui inaogopa nini kuifutilia mbali imani hii ya hovyo,hawana subira
'
Uislam ni janga kwa taifa hili,hatutatulia kamwe
'
Kiongozi wa dini hii alianzisha vita zaidi ya 80,tena kwa watu waliomuonesha upendo,akaoa katoto ka miaka 6 na akakaingilia kakiwa na miaka 9,what a shame!Halafu mtarajie amani kwa wafuasi wake?
'
Huyu hakukosea kabisa, Ali Sina reveals Islam and Prophet Muhammad !
 
kwanza unapaswa kuelewa maana ya injili. Injili maana yake ni Habari njema tena kwa watu wote hata wewe muislamu ili ubadilike na kufuata Mungu wa kweli ambaye ni Yehova Yahwe

Habari njema kuhusu nini !?
 
Yani unaonesha jinsi gani ulivyo kipofu, sasa mbona hiyo Torati, Zaburi na Injiri hamuviamini? Na umekiri ni vitabu vya mungu?
 
Ni rahisi sana kujua ni nani mwenye fujo na mpenda fujo
'
Kwenye mjadala huu unaweza kufuatilia na ukajua ni nani alieanza kukashifu imani ya mwingine,just like buseresere
'
Hii dini ina matatizo sana imefika mahali tuseme wazi kuwa imani zingine hazina tofauti na NAZI,zipingwe marufuku.
'
Serikali nayo sijui inaogopa nini kuifutilia mbali imani hii ya hovyo,hawana subira
'
Uislam ni janga kwa taifa hili,hatutatulia kamwe
'
Kiongozi wa dini hii alianzisha vita zaidi ya 80,tena kwa watu waliomuonesha upendo,akaoa katoto ka miaka 6 na akakaingilia kakiwa na miaka 9,what a shame!Halafu mtarajie amani kwa wafuasi wake?
'
Huyu hakukosea kabisa, Ali Sina reveals Islam and Prophet Muhammad !

Mama yako aliingiliwa na umri gani ? Je, ulikuwepo ?
 
Tangu sept 11 waislam wamejitoa mhanga zaidi ya mara 2000!
'
Eti hiyo ni "Religion of Peace" daah!
 
Wewe mleta mada ni mchochezi na una matatizo, alipoharibu Pinda ni wapi? Mwanzoni alilaumiwa Wassira kwa kuwa alisema kuchinja ni Ibada kwa waislam, hivyo sio rahisi kwa Wakristo kushiriki ibada isiyowahusu. Mizengo amesema ni mazoea na utaratibu uliopo hadi hapo Serikali itakapo badirisha, sasa alipoharibu ni wapi? Mbona nyie Wakristo hamueleweki mnataka nini

Msibague baadhi ya wanyama wa kuchinja; mchinje hadi kitimoto.
 
Wewe mleta mada ni mchochezi na una matatizo, alipoharibu Pinda ni wapi? Mwanzoni alilaumiwa Wassira kwa kuwa alisema kuchinja ni Ibada kwa waislam, hivyo sio rahisi kwa Wakristo kushiriki ibada isiyowahusu. Mizengo amesema ni mazoea na utaratibu uliopo hadi hapo Serikali itakapo badirisha, sasa alipoharibu ni wapi? Mbona nyie Wakristo hamueleweki mnataka nini

Mkuu, Mtoto wa mkulima hajakosea chochote, kila kitu alichosema yuko sahihi kabisa - wala mimi sioni sababu za Serikali kuhunda tume au kubadirisha chochote katika taratibu zilizoeleka toka enzi na enzi za nani anapaswa kuchinja NYAMA inayo paswa kuhuzwa Buchani, hakuna haja ya kulijadili hilo kama tunataka kuweka maslahi/umoja/amani ya Taifa letu mbele.

Titizo tulilo nalo nchini hasa siku hizi za karibuni linatokana na kuhibuka/kuota kama uyoga Dini za kila sampuli, hao ndio wamegeuza DINI kuwa Bihashara/mali binafsi, watu wa namna hiyo wana ushawishi mkubwa sana kwa waumini wao - wanaweza kabisa kuwashawishi wavunje kanuni/taratibu zilizo zoeleka za uchinjaji NYAMA ili wajionyeshe wao zaidi yaani wana uwezo wa kukomoa madhebu ya dini fulani - mambo ya kitoto tu ya kutafuta publicity STUNT tu wakifikili hilo litawaongezea idadi ya waumini na kuwaongezea kipato - hawatafakali mambo kwa kina kabla ya kutenda!!

Na kusema ukweli mifano ya watu hawa wa ajabu tunayo: Watu wanambiwa na madaktari kwamba jamaa ameaga dunia wafanye taratibu za kumzika, lakini watu wa dini wanakuja na kuwadanganya eti wanaweza kumuombea akafufuka ndani ya siku tatu!!! Hebu niambie katika DINI kuu tatu nchini yaani Waislaam, Wakristo (Wakatoliki,Walutheli) umewahi kuwasikia wapi Sheikh/Padri/Mchungaji wanazungumzi/kuhubiri mambo ya kufufua WAFU au kusikia wanasema wana uwezo wa kukufanya ulale masikini kesho yake unahamuka tajiri, dini hizo tatu azihubiri vitu vya kijinga kama hivyo.

Kama mambo haya yangekuwa nipped in the bud mapema na viongozi wa DINI, kwa kuwaeleza waumini wao tataratibu zilizo zoeleka tangu zamani katika Uchinjaji NYAMA na madhala ambayo yanaweza kujitokeza hiwapo utaratibu huo utasitishwa/kihukwa kwa kisingizio chochote kile, uzuri wa sisi Watanzania ni wepesi kuelewa mambo yakielezwa na watu wasio kuwa na hidden agenda, lakini inaelekea Viongozi wa DINI hilo hawakulizingatia! Badala yake watu wanafika mahali wanashindwa kushiriki kwenye mazishi au misiba ya wenzao kwa kuogopa kulishwa nyama ambazo hawajui nani kachinja, je mnaweza kuwalahumu, kwa nini Taifa lifikie hatua ya Raia wake kufarakana kwa misingi ya kidini kutoka na ujinga wa watu fulani kukihuka kwa maksudi taratibu zilizo zoeleka ili wa-provoke wenzao!!

Yaani wanataka Administration nzima ya Muheshimiwa Jakaya ihamie Geita kusuruhisha mtafaruku ambao kila mtu mwenye akili timamu anajua culprit wa janga ili lote ni NANI.
 
Ni rahisi sana kujua ni nani mwenye fujo na mpenda fujo
'
Kwenye mjadala huu unaweza kufuatilia na ukajua ni nani alieanza kukashifu imani ya mwingine,just like buseresere
'
Hii dini ina matatizo sana imefika mahali tuseme wazi kuwa imani zingine hazina tofauti na NAZI,zipingwe marufuku.
'
Serikali nayo sijui inaogopa nini kuifutilia mbali imani hii ya hovyo,hawana subira
'
Uislam ni janga kwa taifa hili,hatutatulia kamwe
'
Kiongozi wa dini hii alianzisha vita zaidi ya 80,tena kwa watu waliomuonesha upendo,akaoa katoto ka miaka 6 na akakaingilia kakiwa na miaka 9,what a shame!Halafu mtarajie amani kwa wafuasi wake?
'
Huyu hakukosea kabisa, Ali Sina reveals Islam and Prophet Muhammad !

Mkuu hapo kwenye red, siyo janga kwa taifa hili tu, bali ulimwenguni kote hawa jamaa walipo huwa panawaka moto; hata wao kwa wao wanaparuana, angalia mashariki ya kati, Nigeria, Sudan, Egypt, Libya, Afghanstan, n.k
 
Back
Top Bottom