Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

Soma Agano la kale vizuri, Soma tenaa. Isome Injili kwa makini sanaaa kama alikuwa mtoto wa nje maana ya haramu hilo jina lake alipewa na nani ?

Soma Injili muda woote uijue vizuri sio jumapili mpaka jumapili tena kwa kuambiwa fungua mahala flani

YESU hakubatizwaa, YESU hakutundikwa msalabani na wala YESU hakuingia kanisani ! Dunia imejaa upotoshwaji mkubwa sana hasa kutoka Israel ili kukidhi matakwa yao lakini mwenye akili hurudi kwenye Kitabu alichoelekezwa na kujifunza upya

Nawaagiza mkasome kwa makini tena kwa makini sana INJILI hasa AGANO LA KALE. Mkibahatika kuiona INJILI YA BARNABA mtafaidi sanaaa maana ile ni " the world untold stories "



Mkuu naona unawapa darasa la kusoma Injil vizuri inabidi ili wao kuelewa zaidi maana kila unapouliza swali dogo unapata matusi naona kila la kheri mkuu
 
Wewe ndio hujadili hoja, pia vibudu umeshakula sana pamoja na kuwa wanachinja waislamu. Labda ishauri serikali yako iweke mabucha ya kwenu msiopenda kula vibudu na wale wanaokula vibudu ili uone raha.

Aisee..... Kumbe ndo mnatulishaga vibudu ninyi, sikujua.
 
Vitabu vyoote vimeagiza MUISLAM achinjee kwani yeye ndiye mwenye kibali kutoka kwa MUNGU na pia wamefundishwa wakichinja wasemeje..!

Soma Agano la kale utapata majibu
Sio maandiko yenu yanayochapishiwa Dodoma hayoo !

Basi wawachinjie hata wale wala nguruwe!
 
Back
Top Bottom