Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,771
- 14,769
- Thread starter
- #141
Komaa na threadKweli inabana yako please naomba tuu mara moja nionje kipenz changu
Komaa na threadKweli inabana yako please naomba tuu mara moja nionje kipenz changu
SiaminiIlikuwa zamani sana, kabla Ndevu hazijaota.
Hapo nilikuwa natoa ushuhuda tu 😅😅,
HakikaChanzo kikuu ni tamaa tu hakuna kipya
Baluza tu mkuu Sheria zipo zivunjwe na kuzihepaNdio hivyo... Kama hauna ile self control ya kiutuuzima unaweza kuanguka kwenye huu mtego wa hawa watoto.. na mbaya zaidi vinatoa greenlight vyenyewe ... Ni wewe tu ujiongeze... Hapo ndio shetani anakuangalia hivi ujichanganyeView attachment 3693132
Mchunguze Mama yake huyo binti utapata jibu la swali lakoAkifungwa atakuwa kaonewa?
Hawakutoa watoto wao?Ingawa Eipsein alikuwa anachukua teneegers anawapelekea wakubwa. Wanawafanya wanayotaka na hata kuwaua na kuwala....na dini yao ya Baal. Ushetani mtupu.
Wanadai watoto wadogo wana nyota zinang'aa bado
Hawakutoa watoto wao?
Kwa mkutadha wa mada...mwanamme!Upande gani?
Mwanafunzi au boda?
Na ndio hao hao watetezi WA haki za binadamu.lakini sirini..Wanachukua watoto nchi maskini...Far East, South America...waafrika ngozi yetu ilituangusha. Kuna majina ya wakubwa yakitajwa leo, dunia itasimama.
Unafiki wetu binadamu wa leo, ni wa kiwango cha juu sana. Kumtendea mtu wa mtu mwingine namna hiyo, unategemea wa kwako atafanyiwa nini?
Na ndio hao hao watetezi WA haki za binadamu.lakini sirini..
Ubaya ukimtendwa mwingine hauumi..ila akitendewa wako Sasa.
Mfano huyo trump binti yake auawe kama anavyoua wa wenzie uone reaction yake
Acha waendekeze mkuuKwa mkutadha wa mada...mwanamme!
dalili hizo ni zenyewe wala sikushangaiWe ni mpuuzi walahi.
Nitoe kwenye mawazo yako aisee
Comment Kwa michango yanaoyoendelea hapa
Sio mie
Kukemea mapenzi na under age ni kupandwa kichaa
Mpuuzi nini
Wanatumia nguvu yasivujeUnafiki...DT na magroup yao ya elite people, yana mambo magumu hayaelezeki
Wanatumia nguvu yasivuje
Halafu usione haya mavitabu tunaandikiwa kama motivation,
Sijui namna walivyoweza kufikia mafanikio
Kumbe mafanikio Yao yana Siri nyuma yake
Mmmh!! Inaweza kuwa tamaa au ushirikina, ila mostly ni tamaa ijapokuwa sababu nyinginezo zinaweza kuwepoNdiyo ukweli
Hebu tugeuze kinyume chake mdada wamiaka 40 amfanyie hivyo mtoto wa shule miaka 15
Itaonekanaje?
Mbona hujanijibuAcha waendekeze mkuu
Mradi sheria ipo
Siku ukipata mtoto wa kike sidhani kama utaendelea na huo ujinga ulio kukaa kichwani.dalili hizo ni zenyewe wala sikushangai