Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,801
- 14,890
- Thread starter
- #181
Na kijana Ambae anajitambua amepata malezi yenye maadili hawezi ruhusu binti wa mtu Tena mwanafunzi under 18 aje Aishi kinyumba kwake.angemuomba amsubiri afuate taratinu hata kumposaBinti ambae amefunzwa , ana hofu ya mungu, na heshima kwa wazi wakekatu hawezi kwenda kulala kwa mwanaume
Makosa ya wazazi wa mabinti wanapewa vijana wa kiume
Zaidi sana madhara ya kutembea na mtu bado anasoma