Mwanaume, Nini kinachangia utembee na mwanafunzi, tena under 18?

Mwanaume, Nini kinachangia utembee na mwanafunzi, tena under 18?

Huyo achana nae weekend ndio imeisha hajatumiwa hata sms ya kutakiwa siku njema lazma kichaa kimpande
We ni mpuuzi walahi.
Nitoe kwenye mawazo yako aisee
Comment Kwa michango yanaoyoendelea hapa
Sio mie

Kukemea mapenzi na under age ni kupandwa kichaa
Mpuuzi nini
 
Binti na yeye afungwe kwani hakujua kama anafanya kosa???
Sirikali si iamue tu wasome na kuolewa mambo yaishe🤷🏿‍♂️
Zamani haya majambo yaliwezekanaje ila kwasasa yashindikane????
Hata kama Binti aliridhia (consent) ,ila bado yupo chini ya Sheria inayomlinda ya defilement....kama boda kakamatwa , wish him a god life under prison
 
Sheria zinalinda ujinga vibinti vyenyewe vimecharuka unavilinda vya Kaz gan
Ndio hivyo... Kama hauna ile self control ya kiutuuzima unaweza kuanguka kwenye huu mtego wa hawa watoto.. na mbaya zaidi vinatoa greenlight vyenyewe ... Ni wewe tu ujiongeze... Hapo ndio shetani anakuangalia hivi ujichanganye
Screenshot_20261003-084427~2 (1).jpg
 
Omba mungu akufanye mwanaume hata wiki tu utapata jibu la uhakika jibu la maneno utaona unadaganywa
Sawa hata kama ni kutafuta vizuri.kuvingoja vifikishe wakati sahihi Kuna shida?

Au unadhani wanawake hawana matamanio ya kupelekewa moto na vijana fresh na wenye nguvu kama zote wa miaka 17 wawawahi?

Ukimkuta mwanamke kamfungia ndani kijana wa miaka 15 amalomba kule wenzie wapo shule wanafanya mitihani utamuonaje?
 
Licha ya Sheria lakini bado tu hamkomi..
Wengine wengi wamefungwa.Ndio kubet ama vipi?
Kuna binti alikuwa anatafutwa kwao week nzima nyumbani haonekani Wala shuleni haonekani.
Wenzie wako kwenye maandallizi ya kufanya mtihani wao wa form four week ijayo.wakajua kapotea kumbe kafungiwa kinyumba Kwa boda hapohapo mtaani kamgeuza mkewe.
Kwa Hali kama hii atarajie Nini?
Hata kama binti kakukubali unashindwa kutumia akili?

Akifungwa atakuwa kaonewa?

Uliposema wanaume nikajua wanaume labda walimu au mfanyakazi fulani wa kueleweka...kumbe bodaboda!😛😛😛😛
 
Back
Top Bottom