Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,635
- 14,335
Licha ya Sheria lakini bado tu hamkomi.
Wengine wengi wamefungwa. Ndio kubet ama vipi?
Kuna binti alikuwa anatafutwa kwao wiki nzima nyumbani haonekani wala shuleni haonekani.
Wenzie wako kwenye maandallizi ya kufanya mtihani wao wa form four week ijayo. Wakajua kapotea kumbe kafungiwa kinyumba kwa boda hapohapo mtaani kamgeuza mkewe.
Kwa Hali kama hii atarajie Nini? Hata kama binti kakukubali unashindwa kutumia akili?
Akifungwa atakuwa kaonewa?