Olmo
JF-Expert Member
- Jun 21, 2026
- 1,013
- 1,855
nina watoto watano wote menSiku ukipata mtoto wa kike sidhani kama utaendelea na huo ujinga ulio kukaa kichwani.
nina watoto watano wote menSiku ukipata mtoto wa kike sidhani kama utaendelea na huo ujinga ulio kukaa kichwani.
Itungwe sheria mwanaume akikutwa na mwanamke wafungishwe ndoa ya lazima.Licha ya Sheria lakini bado tu hamkomi..
Wengine wengi wamefungwa.Ndio kubet ama vipi?
Kuna binti alikuwa anatafutwa kwao week nzima nyumbani haonekani Wala shuleni haonekani.
Wenzie wako kwenye maandallizi ya kufanya mtihani wao wa form four week ijayo.wakajua kapotea kumbe kafungiwa kinyumba Kwa boda hapohapo mtaani kamgeuza mkewe.
Kwa Hali kama hii atarajie Nini?
Hata kama binti kakukubali unashindwa kutumia akili?
Akifungwa atakuwa kaonewa?
Unakuta mwanaume anauwezo wa kutafuta hela ya kubet tuItungwe sheria mwanaume akikutwa na mwanamke wafungishwe ndoa ya lazima.
Ujinga tuu, most of them ni uwezo wa kuposh good girls size yao.Licha ya Sheria lakini bado tu hamkomi..
Wengine wengi wamefungwa.Ndio kubet ama vipi?
Kuna binti alikuwa anatafutwa kwao week nzima nyumbani haonekani Wala shuleni haonekani.
Wenzie wako kwenye maandallizi ya kufanya mtihani wao wa form four week ijayo.wakajua kapotea kumbe kafungiwa kinyumba Kwa boda hapohapo mtaani kamgeuza mkewe.
Kwa Hali kama hii atarajie Nini?
Hata kama binti kakukubali unashindwa kutumia akili?
Akifungwa atakuwa kaonewa?
Dogo mbona upo huku. Si wewe mda wote upo international Forum kutetea magaidi Iran na Hamas.Binti na yeye afungwe kwani hakujua kama anafanya kosa???
Sirikali si iamue tu wasome na kuolewa mambo yaishe🤷🏿♂️
Zamani haya majambo yaliwezekanaje ila kwasasa yashindikane????
Binti ambae amefunzwa , ana hofu ya mungu, na heshima kwa wazi wakekatu hawezi kwenda kulala kwa mwanaumeLicha ya Sheria lakini bado tu hamkomi..
Wengine wengi wamefungwa.Ndio kubet ama vipi?
Kuna binti alikuwa anatafutwa kwao week nzima nyumbani haonekani Wala shuleni haonekani.
Wenzie wako kwenye maandallizi ya kufanya mtihani wao wa form four week ijayo.wakajua kapotea kumbe kafungiwa kinyumba Kwa boda hapohapo mtaani kamgeuza mkewe.
Kwa Hali kama hii atarajie Nini?
Hata kama binti kakukubali unashindwa kutumia akili?
Akifungwa atakuwa kaonewa?
Ukristo tumeukumbatia sie wao hawautakiHawa tunaowaita wayahudi...wana dini nyingine zinatoa makafala binadamu wenzao...
Hawa ndio vijana wa hovyo, wanatuharibia binti zetu.Unakuta mwanaume anauwezo wa kutafuta hela ya kubet tu
Kwa mwanaume tuiiteje?Mmmh!! Inaweza kuwa tamaa au ushirikina, ila mostly ni tamaa ijapokuwa sababu nyinginezo zinaweza kuwepo
🤝Yeah tuwaache wasome mkuu, 🤝🤝
Unamhangaikia mtoto wako aje kuwa na career yake kama doctor au mwanasheriaItungwe sheria mwanaume akikutwa na mwanamke wafungishwe ndoa ya lazima.
Bodaboda akili zao wanazijua wenyewe.Licha ya Sheria lakini bado tu hamkomi..
Wengine wengi wamefungwa.Ndio kubet ama vipi?
Kuna binti alikuwa anatafutwa kwao week nzima nyumbani haonekani Wala shuleni haonekani.
Wenzie wako kwenye maandallizi ya kufanya mtihani wao wa form four week ijayo.wakajua kapotea kumbe kafungiwa kinyumba Kwa boda hapohapo mtaani kamgeuza mkewe.
Kwa Hali kama hii atarajie Nini?
Hata kama binti kakukubali unashindwa kutumia akili?
Akifungwa atakuwa kaonewa?
Hadi binti yako anafikia hatua ya kuwekwa ndani kuna uzembe mkubwa sana ulifanya mzazi ukiwasha moto mkali kwa vijana wanajua na huwa wanaambiana kabisa pale usiguseeHawa ndio vijana wa hovyo, wanatuharibia binti zetu.
Awamu hii nimebashiri vibaya...Hunijui aisee
ENDELEA kukisia
Sana kichwa cha chini ni chakuwa nacho makini sanaNYEGE ni mbaya sana
Kwa hiyo Kwa sababu huna watoto wa kike ndo maana unaona ni sahihi kuharibu watoto wa wenzio ?nina watoto watano wote men
Mabinti wa hivyo ni hasaraNi kuishi kwa mazoea tu. Unatongoza mnaanza kukulana mnanogewa mchezo mnaanza kuoneana wivu. Binti anaona ataibiwa bwana anaamua kuforce waishi wote
Weeee ccm unawalinganisha na malaya wa ngono mzee! ccm ni zaidi ya shetani! kama ulitaka tungumze hapo ndio umeharibu aiseeeKwa hiyo Kwa sababu huna watoto wa kike ndo maana unaona ni sahihi kuharibu watoto wa wenzio ?
Vip siku ukija kusikia Kuna mtu mzima kama ww anamla matako huyo mtoto wako Kwa ushawishi wa vipesa kama ww unavyo haribu watoto wa wengine utajisikiaje?
Ebu tupunguze upumbavu yaani huoni aibu jitu Zima la miaka 40 kushawishi kibinti cha miaka 14_15 ili ulale nacho kutimiza tamaa zako za mwili?
Alafu mkimaliza eti ccm ni mashetani Kuna shetani zaidi ya mtu mwenye mawazo ya kipumbavu kama ww.