uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 11,784
- 27,974
Akili inafungwa kwenye mambo mengi tu yakiwamo hayoAkili isifungwe kwenye mambo mengine mkuu ila ifungwe kwenye kujiopolea kimwana.au semeni tu size Yao hawaombi Hela kubwa.
Mambo mengine mbona yanawezekana ukituliza akili
Mfano huyo binti alikuwa anakaribia kumaliza form four week hii si angemsubiri?
Kama binti angeamua kwenda mfano chuo haya yote yangetokea?
Kwenye kununua nyumba au uwanja ,bidhaa ,kupanga ,kuoa na Sasa kutongoza napo Kuna saa akili hufungwa kingine ndio hiyo "access"nimeweka hapo
Wakati mwingine unaingia kwenye mahusiano na mtu maana ndie anaepatikana wakati huo
Nyege(njaa)ikikushika akili inaweza isiwaze sawa sawa