Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,664
- 14,437
- Thread starter
- #41
Mkiletewa stock mpya mtanunua?Upwiru controller sold out since 1998
Mkiletewa stock mpya mtanunua?Upwiru controller sold out since 1998
Kama umeanza kudate ukiwa under age utaelewa ila kama umeanza sex na 29years uwez elewaWanatimiza fantasy zao
How?
NazijuaUnazijua vizuri
Ndio huko mtaani kwenu wanatoa papuchi Kwa huruma?Wewe si mwanamke kweli na una huruma nenda kwa yule jamaa kafungiwe wewe ili mtoto aende shule hapo sasa ndio nimeongea kama mwanaume
We ruka nacho hamna mazoea ya hivoKuna kitoto jana kimenilingishia chuchu kesho nakifata hakuna uvumilivu wa hivyo
Mkuu niko huku kijijini Izumacheli, sijui chochote huko mjini, kwamba??Mwenzenu manfongo alieimbaga hainaga ushemeji saizi yupo jela
Wanafunzi!
Hadi shule ya msingi jamaa wanajisevia, inatia hurumaHadi misingi?
Na ndio kinachofuatiaHuyo bodaboda akale 30 iliyoshiba ili awe funzo.
Taarifa potoshiMwenzenu manfongo alieimbaga hainaga ushemeji saizi yupo jela
Wanafunzi!
Hamuoni watu wa Rika lenu?
Hamuwezi basi hata kuwasubiri wamalize shule?
Hamuwezi kuvumilia?
Halafu mtu anakuuliza kwanini unadate na kitoto cha form two kama hawajui chanzo ni niniWe ruka nacho hamna mazoea ya hivo
Sheria ikikushika haikuonei huruma.Mkuu niko huku kijijini Izumacheli, sijui chochote huko mjini, kwamba??
1. Wengi hutafuta bikraLicha ya Sheria lakini bado tu hamkomi..
Wengine wengi wamefungwa.Ndio kubet ama vipi?
Kuna binti alikuwa anatafutwa kwao week nzima nyumbani haonekani Wala shuleni haonekani.
Wenzie wako kwenye maandallizi ya kufanya mtihani wao wa form four week ijayo.wakajua kapotea kumbe kafungiwa kinyumba Kwa boda hapohapo mtaani kamgeuza mkewe.
Kwa Hali kama hii atarajie Nini?
Hata kama binti kakukubali unashindwa kutumia akili?
Akifungwa atakuwa kaonewa?
Wanashindwa hata na mbuzi au mbwa! Huwezi kukuta mbuzi au mbwa anakipanda kitoto cha mbuzi au mbwa respectively.Licha ya Sheria lakini bado tu hamkomi..
Wengine wengi wamefungwa.Ndio kubet ama vipi?
Kuna binti alikuwa anatafutwa kwao week nzima nyumbani haonekani Wala shuleni haonekani.
Wenzie wako kwenye maandallizi ya kufanya mtihani wao wa form four week ijayo.wakajua kapotea kumbe kafungiwa kinyumba Kwa boda hapohapo mtaani kamgeuza mkewe.
Kwa Hali kama hii atarajie Nini?
Hata kama binti kakukubali unashindwa kutumia akili?
Akifungwa atakuwa kaonewa?
Mkuu acha basi 😄😄Form four mbona mkubwa sana kuna founder wa dini aliweka ndani mtoto wa miaka 9 na bado Mungu kampa miongozo.
So jamaa kahukumiwa 30yrs?Sheria ikikushika haikuonei huruma.
Nimeshihudia wengi wanafungwa