comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,704
- 18,001
Hapana.Mpangilio wa hii habari ni 💯.
Hata kama ni propaganda ila kongole kwa muandishi katiririka kiandishi kwerikwerii!!
Back up anayo tena kubwa sana anyway bi chura akijichanganya tu kwenye maamuz yale kuhusu Ima itakula kwake Big time.Huenda ana backup ya kutosha najaribu kurejea ile kauli ya yule jamaa aliyesema mkutanoni Mgombea awapishe wanachama wajadili zawadi yao kwake lakini mgombea akagoma
Ndiyo sababu nitamheshimu Nchimbi kama ataamua kutojiuzuru na kuhama chama. Asimame humo humo kama kuna analoliamini juu ya chama chake na kulisimamia.Siasa za Africa ni kichekesho
Sijui kwanini historia hujirudia
Utasikia someone kahama chama na anaenda kugombea
What a load of rubbish
Natumaini iwe hivyoNdiyo sababu nitamheshimu Nchimbi kama ataamua kutojiuzuru na kuhama chama. Asimame humo humo kama kuna analoliamini juu ya chama chake na kulisimamia.
That would certainly not be a "load of rubbish"!
Ni Bora kubaki humo humo,kuliko akiwa NJENdiyo sababu nitamheshimu Nchimbi kama ataamua kutojiuzuru na kuhama chama. Asimame humo humo kama kuna analoliamini juu ya chama chake na kulisimamia.
That would certainly not be a "load of rubbish"!
Za siku mkuu.Natumaini iwe hivyo
Are there chances he is putting himself into serious risks?CCM and their internal drama are just unmatched. Makonda is playing a very dangerous game ahead of 2030.
Wacha wapasuane tu, mimi nafarijika sana hawa fusion wakiumana.
Makamu wa Raiono kwenye safari yake ya kisiasa, hali Inayotajwa kuwa chama hicho, kina wakati mgumu…
Chanzo: Mwanahalisi.
Pia soma: Dkt. Nchimbi: Hakuna sheria inayotengua Katiba. Watanzania pambaneni kupata Katiba mpya
Naam!Pamoja na ubovu ilioufikia CCM; siamini hata mara moja kwamba ndani ya chama hicho hawamo waTanzania wanaoumizwa sana na hali ilivyo sasa katika taifa hili.
Kama waTanzania hawa watashindwa angalau kujipanga nyuma ya huyu mmoja anayejaribu kuonyesha uthubutu mbele ya Genge lililokiteka chama chao, hawa wanaCCM tuwaelewe vipi?
Hii ni fursa nadra sana inayojitokeza kwao kuanza kukiokoa chama chao; maana sioni ni jinsi gani CCM itaendelea kwa mtindo huu unaotumiwa sasa hivi na hili Genge chini ya Samia.