Mwalimu mwenzangu kafariki kisa ndoa

Sad, alikuwa single mom....watu wakachonga sana. Huolewi coz ni Malaya, kama si Malaya mbona umezalishwa hujaolewa...na blah blah kibao.

Akaona isiwe shida kwa kuwa natongozwa ngoja niolewe na yeyote yule ...akajivutia msukuma ambaye si mtumishi bali mkulima.Kumbe msukuma nae kaenda kimalengo. Mwanamke kanunua uwanja kaanza kujenga bwana kaz yake kusimamia mama yupo job. Mara msukuma kaanza mbwembwe, hamtaki mtoto aliyemkuta, anamhasa mkewe ampeleke kwa baba ake. Mke alishatelekezwa muda huyo baba anamtoa wapi.

Mwalimu ikabidi amwambie bas tuachane, mwanaume kamwambia ukitaka tuachane bas tuuze nyumba tugawane pesa ndo tuachane. Mwanamke kasema siuzi coz ni yangu na nimejenga kwa ajili ya watoto. Ugomvi huo umesababisha mwanaume ajifanye ameaga anaondoka kumbe kaenda kunoa panga kitaa. Ndo ivo mwanamke kaoga, ainame apakae mafuta kakatwakatwa kama mnyama.

Sad,sad,sad....yaan kumbe jamaa nae kanywa sumu now tumepata taarifa nae kakata moto huko hospital. SINGLE MOMZ MSIFORCIWE....MABACHERORS MSILAZIMISHE NDOA. MARRIAGE IS NOT EVERYTHING! Inyala mbeya.
RIP Single Mother
 
Daah
Hii ya kutunga.

Leta uthibitisho
 
Marriage ni kama pesa tuu, it is not everything ila make sure u say that nonsense ukiwa tayari kwenye ndoa
 
Pole kwa mwalimu aliruhusu mihemko ya wapuuzi kuhusu ndoa na yeye akaolewa ili kuridhisha jamii Matokeo yakawa hayo. Daily huwa nawaasa wanawake wenzangu ukiona umemzidi mwanaume kipato au elimu na yeye hana vitu vingi mtakuja kusumbuana na inferiority complex itamtesa then akutese kihisia, ila wanawake huwa wanafikiria kumlea mwanaume kazi ndogo.
R.i.p teacher
Mwanaume hakuumbwa kulelewa na wala haleleki. Mazingira yoyote yanayomfanya mwanaume kuwa inferior ndani ya ndoa, basi jua kuwa lazima ndoa itageuka ndoano mbele ya safari.
 
Mimi kitu sitofanya hapa duniani, ni kumpenda mwanaume ambae hana pesa.yaani mimi lazima niwe na mwanaume ambae pesa sio tabu kwake, tutakwazana mengine ila sio pesa
Huna pesa ndomana unasema hivyo,mimi nimeoa ela ipo wife anafanya kazi nae pesa anayo kila kitu kipo lkn migogoro tunayopitia mm na yy sitaki ongea ukiwa na pesa ndo utajua pesa sio kila kitu....
 
Hakika
 
Ukishakuwa single mama, tafuta wa kuchakatana naye tu.
Yaani ukiwa single mother inatakiwa uwe careful na mtu wa kuwa naye maishani. Sio una watoto 3 tena wadogo then unataka kuolewa, uko serious kweli. Au unaachana na mume una watoto hata hawajakua tayari uleshapata mwanaume mwingine eti unaolewa. Kuna mmoja huyo kaachana na mumewe na watoto 3 juu anataka kuolewa, namuangalia tu anavyohangaika. Upande wa mwanaume wamemkataa sababu ya tabia zake lakini yupo tu anaforce. Yaani mtu hujali watoto wako uliowazaa utajali wa wengine kweli?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom