Hahaha karibu.. Mimi sina kitambi, na nimeweza ku maintain 62 kg kwa miaka mingiMi Nataka niwe mgeni wako unifundishe namna ya kufanya diet...Nina kakitambi Ka haja
Naam! Nakuja Huko ila nitaishia njiani😳unamtaka pia?
Unakuta mna watoto 3 halafu bado wanataka kugawana mali . Mali zenyewe hata si nyingi. Ila kwa hii kesi sijajua kama walizaa pamojaKama mna watoto kwann mgawane mali
Inategemea na urefu piaAge 33 but 72kg😥
Ni ubinafsi tu.Unakuta mna watoto 3 halafu bado wanataka kugawana mali . Mali zenyewe hata si nyingi. Ila kwa hii kesi sijajua kama walizaa pamoja
Eegh🤣🤣🤣🤣🤸🤸🤸🙌
Sad, alikuwa single mom....watu wakachonga sana. Huolewi coz ni Malaya, kama si Malaya mbona umezalishwa hujaolewa...na blah blah kibao.
Hizo ni nyingi sana kwakoNi 5.5
Watu wanaenda hadi kwa sangoma ili wapate mgao. Na mara nyingi waliochangia kidogo ndio wanataka mgao upite. Nyumba iko moja, unakomaa iuzwe, halafu hela zenyewe hata unakuta hazifanyiwi cha maana.Mkishakuwa na watoto mnagawana mali za nini. Mtu yeyeto mkorofi ye ndo inatakiwa akapange aache familia kwa utulivu
Kuna Mwenzako kule Kigamboni alichomwa moto na magunia mawili ya mkaa na Mwanaume mwenye pesa! tamea mate chini omba majanga ya Dunia yakupitie pembeni ubaki kuyasikia kwa watu tu na wala usihukumu!!Mimi kitu sitofanya hapa duniani, ni kumpenda mwanaume ambae hana pesa.yaani mimi lazima niwe na mwanaume ambae pesa sio tabu kwake, tutakwazana mengine ila sio pesa
Pambana na hali yako wakati unakifuga ulituomba aina ya diet kuleta kitambi???Mi Nataka niwe mgeni wako unifundishe namna ya kufanya diet...Nina kakitambi Ka haja
Labda anamaanisha ukimzidi Mwanamke pesa ndiyo una haki ya kumuwa ukitaka!!!?Je ukimzidi mwanamke? Use common sense.