Mwalimu mwenzangu kafariki kisa ndoa

Mojawapo wa dalili za mwisho wa Dunia Ni kukithiri kwa vifo vya kizembe Kama hivi.Inasikitisha Sana kwa kweli 😥
 
Sasa wahusika wote wamekufa nyie mmejuaje sababu hasa ya mauaji.tuanzie hapo kwanza
Tulikuwa tunaishi nao mazingira ya kaz,ofisi Moja...meza aliyokuwa anakaa yeye now ndo nakakaa...pia ujumbe alioacha marehemu mkaka kabla hajafa.
 
Mimi na ndugu yangu madelu tunasikitika kumpoteza huyo mlipa tozo mana tozo zake tulikua tumezipigia hesabu tununlie mafuta ya yale mabasi 60 tuliyonunua
 
Yaani ni shida , na kaachana na mume wake kwa mbwembwe na kudai mgao na alikuwa anataka 50 % naona hakupata alichotaka sasa anahangaika kutaka kuolewa tena
Vikao vya umbea ndio huwa vianawapoteza.
Wanadanganyana kuwa utagawiwa 50% ya Mali zote.
Na wao wanaamini hivyo.
Akija kupata 15% anachanganyikiwa.
Yaani wewe mapato yako kila mwezi unaingiza 500k.
Mimi naingiza 4000k unategemea mgawo utakuwa 50% ?
Labda Kama mgawaji ni kichaa
 
Vikao vya umbea ndio huwa vianawapoteza.
Wanadanganyana kuwa utagawiwa 50% ya Mali zote.
Na wao wanaamini hivyo.
Akija kupata 15% anachanganyikiwa.
Yaani wewe mapato yako kila mwezi unaingiza 500k.
Mimi naingiza 4000k unategemea mgawo utakuwa 50% ?
Labda Kama mgawaji ni kichaa
Huwa nawaambiaga hakuna mgao wa 50/50 hapa bongo. Ukiwa mahakamani lazima utoe ushahidi umechangia nini? Kujidanganya eti mama wa nyumbani alikuwa unafua, sijui kupika itakula kwako. Itaambulia kidogo sana. Na hasa kama mna watoto wadogo na mume ndio anaendelea kuhudumia watoto utazidi kupata kidogo. Yeye kadanganywa kaingia kingi.

Nilimuuliza ,muda wote wa miaka sijui 5 mmetengana na mumeo huku yeye anahudumia watoto mpaka kaweka house girl , umeingiza mil. ngapi? Huu ndio muda wa ku prove kwamba you can, sio blablaa. Nikamuambia mimi niliachana na mume wangu mwaka 2016, sikuondoka na kitu chochote na mbaya zaidi wakabitapeli gari yangu na mchepuko wake, nilianza kwa kununua kitanda upya ,lakini sasa hivi hata waliokuwa wana dought wameziondoa. Yeye kutwa kukimbizana na kesi
 
Huwa nawaambiaga hakuna mgao wa 50/50 hapa bongo. Ukiwa mahakamani lazima utoe ushahidi umechangia nini? Kujidanganya eti mama wa nyumbani alikuwa unafua, sijui kupika itakula kwako. Itaambulia kidogo sana. Na hasa kama mna watoto wadogo na mume ndio anaendelea kuhudumia watoto utazidi kupata kidogo. Yeye kadanganywa kaingia kingi. Nilimuuliza ,muda wote wa miaka sijui 5 mmetengana na mumeo huku yeye anahudumia watoto mpaka kaweka house girl , umeingiza mil. ngapi? Huu ndio muda wa ku prove kwamba you can, sio blablaa. Nikamuambia mimi niliachana na mume wangu mwaka 2016, sikuondoka na kitu chochote na mbaya zaidi wakabitapeli gari yangu na mchepuko wake, nilianza kwa kununua kitanda upya ,lakini sasa hivi hata waliokuwa wana dought wameziondoa. Yeye kutwa kukimbizana na kesi
Kwenye vikao huwa mnaambizana kuwa hata gari ya mumeo itauzwa upewe nusu!!
 
Sina uhakika, ila mimi ndo mke ninayeishi naye kwa miaka 15 sasa. Namkubali yeye na watoto wake. Ananinkubali mimj na wanangu. Kifupi sijaona tatizo la single mother, bali nimeona matatizo ya tabia za baadhi ya wanawake, wawe single mother au vigori, ni shida tupu.

Jirani yangu mwanamke alimwoa kigori. Kila siku analialia. Tabia mbovu, hadi michepuko inaingizwa chumbani kwa mume anapokuwa safari. Narudia alimwoa kigori tena form two tu.

Kifupi, tatizo ni tabia za binadamu siyo kuzalia home au ubikira. No! no! no!
Wewe utaona ya wenzako,wengine wataona yenu. Huyo jirani yako,nahisi hajui Kama anachapiwa,nawewe sidhani kama unajua kua mkeo anawasiliana kivingine na aliyemzalisha au waliomzalisha.
 
Halafu hii tabia ya kuwatisha wanawake kuzeeka muache..wanawake na wanaume wote

Halafu hii tabia ya kuwatisha wanawake kuzeeka muache..wanawake na wanaume wote huzeeka,.
Yaani eti wanawake wanazeeka mapema, inategemea na jinsi unavyoishi, na genetics. Wako wanaume wanazeeka kwelikweli ukilinganisha na umri wao. Na kizazi cha siku hizi ndio bure kabisa, unakuta vijana wanadogo washazeeka sababu ya kunywa pombe na kula ovyo na kufanya ngono kama chakula
 
Yaani eti wanawake wanazeeka mapema, inategemea na jinsi unavyoishi, na genetics. Wako wanaume wanazeeka kwelikweli ukilinganisha na umri wao. Na kizazi cha siku hizi ndio bure kabisa, unakuta vijana wanadogo washazeeka sababu ya kunywa pombe na kula ovyo na kufanya ngono kama chakula
Ha ha haa
 
Mojawapo wa dalili za mwisho wa Dunia Ni kukithiri kwa vifo vya kizembe Kama hivi.Inasikitisha Sana kwa kweli 😥
Vifo vilikuwepo na vitaendelea kuwepo. Toka dunia inaumbwa watu wanaambiwa mwisho wa dunia ,lakini wanakufa wanaiacha. Na sisi tutakufa na kuiacha.
 
Sad,sad,sad....yaan kumbe jamaa nae kanywa sumu now tumepata taarifa nae kakata moto huko hospital. SINGLE MOMZ MSIFORCIWE....MABACHERORS MSILAZIMISHE NDOA. MARRIAGE IS NOT EVERYTHING! Inyala mbeya.
Dah pole sana kwake, Huyo mtoto Yuko wapi?
 
Unakuta watu wana vitambi sio wake au waume, wanakimbilia gym lakini wapi. Akitoka hapo anaenda kupigilia chips au ugali mkubwa na minyama kibao. Utaachaje kuzeeka mapema
Mi Nataka niwe mgeni wako unifundishe namna ya kufanya diet...Nina kakitambi Ka haja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom