Mwalimu mwenzangu kafariki kisa ndoa

Mwalimu mwenzangu kafariki kisa ndoa

Yaani ukiwa single mother inatakiwa uwe careful na mtu wa kuwa naye maishani. Sio una watoto 3 tena wadogo then unataka kuolewa, uko serious kweli. Au unaachana na mume una watoto hata hawajakua tayari uleshapata mwanaume mwingine eti unaolewa. Kuna mmoja huyo kaachana na mumewe na watoto 3 juu anataka kuolewa, namuangalia tu anavyohangaika. Upande wa mwanaume wamemkataa sababu ya tabia zake lakini yupo tu anaforce. Yaani mtu hujali watoto wako uliowazaa utajali wa wengine kweli?
🤣🤣Sasa watoto Watu si wamemtosha....anataka nn tena
 
Yaani, kutwa ni kuzurura. Na aliyekuwa mume wake kapandiswa cheo ndio anazidi kuwa na mpunga. Bado kivuli cha mumewe kinamfuata ,anashindana ili aonekane nayeye analipa.
Aisee
 
Yaani, kutwa ni kuzurura. Na aliyekuwa mume wake kapandiswa cheo ndio anazidi kuwa na mpunga. Bado kivuli cha mumewe kinamfuata ,anashindana ili aonekane nayeye analipa.
Wanawake shida ipo hapo, always want ready made things
 
Mi ninao wawili natamani nifunge uzazi kabisa,kuolewa Tena ni kutesa watoto tu
Pole, kumbe ulishaolewa? Yes 2 wanatosha kabisa. Kuolewa labda watoto wakikuwa kabisa. Unaacha watoto eti unaenda kuolewa tena duu, au unaenda na watoto kwa mume mpya.
 
Sasa wahusika wote wamekufa nyie mmejuaje sababu hasa ya mauaji.tuanzie hapo kwanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom